Atarudi kwenye kibanda chake cha M-Pesa pale Bahari beach!!Na huo ndio mwisho wa hadithi ya polepole. 2025 hata ubunge atakuwa Hana atakuwa kama Amina sisi tu. Azitunze vizuri pesa za ubunge otherwise amekwisha

Hahah kumbe unapajua mkuu😃😃😃 pale karibu na Budget 😃Atarudi kwenye kibanda chake cha M-Pesa pale Bahari beach!!
Wewe nae pia tunza akiba ya maneno... Utakuja shangaa ...nyuma geuka anakuwa right marker... Siasa haitaji hasira... HahahaNa huo ndio mwisho wa hadithi ya polepole. 2025 hata ubunge atakuwa Hana atakuwa kama Amina sisi tu. Azitunze vizuri pesa za ubunge otherwise amekwisha
Dr Mashinji hakumkabidhi J J Mnyika ofisi!Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Hahah kumbe unapajua mkuu😃😃😃 pale karibu na Budget 😃
Labda anaweza pata kwao Njombe hukoNa huo ndio mwisho wa hadithi ya polepole. 2025 hata ubunge atakuwa Hana atakuwa kama Amina sisi tu. Azitunze vizuri pesa za ubunge otherwise amekwisha
Atabebwa tu isionekane amekuwa deserted same as bashiru Ila kama wataonyesha allegiance kwa serikali iliyopo otherwise itakula kwao mazima.
Haaaaha punguza kuunda maneno ambayo hayapo.Atarudi kwenye kibanda chake cha M-Pesa pale Bahari beach!!
mbona kafurahi sana kwa mujibu wa pichaWatu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
VieiteUnyonge unapimwa kwa vifaa vipi?
Kuna unyonge hapo mbona mie siuoni? Mwenyewe alisema CCM wana miiko yao huwezi ukawa Mbunge halafu katibu mkuu, wengi tulimwelewa kwa nia nzuri tu. Besides, badala ya kuhudumia wanaCCM milioni 19 sasa atahudumia Watanzania milioni 55. Unyonge wa nini Kamanda?Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Angeita TBC akarusha live makabidhiano hayo. Enzi za mwendawazimu mwendazake chakubanga alikuwa kama Mungu.Huo unyonje ni upi!?? Alipaswa afanyeje!??
Magembe naona huwa unatumia nguvu nyingi sana kuanzia kwa Sabaya na sasa huyu PolePole. Ume TARGET NINI HASA!!Haaaaha punguza kuunda maneno ambayo hayapo.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark, President wa Shirika lake ambalo limemkuza na kumsomesha. Na amekuwa mwakilisha kwa mambo ya policy for youth in Developing Countries kwa Danish Development Agency na Malkia Margerethe 11 wa Denmark.
Hao kina Maria Sarungi wanakua shavu lá Pole pole, ndio maana hakuna siku Maria Sarungi na NGOS karibu zote watamzungumzia vibaya Pole pole.
NGOs zinatamani arudi uwanjani wale shavu.
Kwa udalali wa wasanii kavuta pesa ndefu Sana kodi yetu
Huyu hapaWatu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.