Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,993
Alimaanisha anguko la jiwe na genge lakeAliwahi kutoa unabii kuhusu mwisho wa Dunia na ujio wa masihi !!!sijui alimaanisha nini!!
Alimaanisha anguko la jiwe na genge lakeAliwahi kutoa unabii kuhusu mwisho wa Dunia na ujio wa masihi !!!sijui alimaanisha nini!!
Bushiru atamkabidhi Mponjoli ofisi lini?Dr Mashinji hakumkabidhi J J Mnyika ofisi!
Yule ni bilionea, amepiga hela ndefu kwenye ile project ya kununua wapinzani uchwara,yale maradhi yake tu ndiyo yanamfanya aonekane mchovu.
Marafhi Tena mkuu? Hebu tupeane code tafadhali.Yule ni bilionea, amepiga hela ndefu kwenye ile project ya kununua wapinzani uchwara,yale maradhi yake tu ndiyo yanamfanya aonekane mchovu.
Wala sihitaji akiba ya maneno maana kwa sasa amekwisha na ndio maana nimesema ajitahidi atunze pesa meaning zitamsaidia mbele hata akihitaji kugombea Jimbo lazima awe na hela that's it. Kwa sasa amekwisha akiibuka hiyo ni yake na Mungu wake.Wewe ndio wasema, hakuna aijuae kesho,tuweke akiba ya maneno.
Wakati wa baba yenu yupo ikulu mlikuwa mnajua au kufikiria kuwa mtaishi kwenye nafasi zenu milele.Unaongea umbea kweli; ni nani alikuambia kuwa nafasi za uongozi ndani ya CCM ni za kudumu? unadhani kuweli kuwa pole pole alikuwa hajui hilo? Tangu Moses Nnauye mwenyewe aliywkuwa anajulikana kama "Katibu wa Oganaizesheni, unenezi na Propaganda"hadi mtoto wake Nape Nnauye na leo huyu Pole Pole huwa inajulikana wazi kuwa madaraka yao yana mwisho; sasa wewe kudai kuwa kakabidhi kinyonge, ulitaka afanye nini ndipo ujue kakabidhi kwa kuelewa kuwa muda wake umekwisha
Bado anayo ya kibunge!Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Ha ha ha!!! Umenichekesha sana kuhusu ya mshika dola na dola imemponyoka!!! Ameloaje!!!! Piga kelele kwa mshika dola ambaye imemponyoka! Weweeeeeeeh!Wote watatu hawakua na akiba ya maneno. Kuanzia 1.mwendazake,2. Mshika Dola ambaye alitumia Dola kubaki kwenye Dola lakini kwa kua alikua Hana upeo na uungwana Dola ikamponyoka na Sasa hivi Yuko ligi moja na mzee Halima. This world buana....3. Dogo slowmotion
USD 300. Dola mia tatu.Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.
President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.
Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?
Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
Haaaaha punguza kuunda maneno ambayo hayapo.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark, President wa Shirika lake ambalo limemkuza na kumsomesha. Na amekuwa mwakilisha kwa mambo ya policy for youth in Developing Countries kwa Danish Development Agency na Malkia Margerethe 11 wa Denmark.
Hao kina Maria Sarungi wanakua shavu lá Pole pole, ndio maana hakuna siku Maria Sarungi na NGOS karibu zote watamzungumzia vibaya Pole pole.
NGOs zinatamani arudi uwanjani wale shavu.
Anapaswa sasa ajikabidhi polisi.Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
mbona ni box sio officeWatu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Misleading....Wako watu wa wengi wa NGO, watazungumza wanachokijua. Mimi ikifika ukweli nasema Kama ulivyo, na sina cha kupoteza kwa umri wangu. Nafahamu mengi na kama ilivyo ada mengine nitahifadhi.
Kuna tulioshangaa kwenye siasa anaenda kufanya nini? Lakini mimi ni mtu wa corporate world yeye ni NGOs, na tuna juwa wengi kwenye NGO ni watu wa siasa.
kumbe ana ndoa za siri na, mabeberuNi vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.
President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.
Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?
Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
sio chake alikuwa kaajiriwa tuAtarudi kwenye kibanda chake cha M-Pesa pale Bahari beach!!