Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,140
Wanakabidhiana stationery au ofisi?Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398