Humphrey Polepole akabidhi ofisi kwa Shaka

Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.

Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.

Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Hii takataka ya mwendazake
 
Na huo ndio mwisho wa hadithi ya polepole. 2025 hata ubunge atakuwa hana atakuwa kama akina sisi tu. Azitunze vizuri pesa za ubunge otherwise amekwisha
Yule ni bilionea, amepiga hela ndefu kwenye ile project ya kununua wapinzani uchwara,yale maradhi yake tu ndiyo yanamfanya aonekane mchovu.
 
Magembe naona huwa unatumia nguvu nyingi sana kuanzia kwa Sabaya na sasa huyu PolePole. Ume TARGET NINI HASA!!

Anyway najua unapambana
Huyo mbwiga anaishi kwa matumaini ya kuonwa na sponsor
 
Na huo ndio mwisho wa hadithi ya polepole. 2025 hata ubunge atakuwa hana atakuwa kama akina sisi tu. Azitunze vizuri pesa za ubunge otherwise amekwisha
Wewe ndio wasema, hakuna aijuae kesho,tuweke akiba ya maneno.
 
Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.

Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.

Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Duuh! Makabidhiano yamo ndani ya hilo boksi la maxons!
 
Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.

President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.

Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?

Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.

Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
Kwa hiyo wewe ndiye mpambe wake! Uzuri mliyemtegemea amekwisha oza!
 
Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.

President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.

Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?

Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.

Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.

Hapa ndio unaona umemsifia kumbe umeweka ukilaza wako hadharani. $300 ni shilingi 700,000, hiyo hela itajenga reli gani zaidi ya chai kwa vibarua? Kama ana sifa zote hizo, kipi kilimfanya aache mpaka aje kushiriki siasa za kishenzi, chini ya yule dhalimu aliyeko jehanamu? Ni hivi, Polepole ni jizi la kura kama majizi mengine fullstop.
 
Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.

Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.

Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Unaongea umbea kweli; ni nani alikuambia kuwa nafasi za uongozi ndani ya CCM ni za kudumu? unadhani kuweli kuwa pole pole alikuwa hajui hilo? Tangu Moses Nnauye mwenyewe aliywkuwa anajulikana kama "Katibu wa Oganaizesheni, unenezi na Propaganda"hadi mtoto wake Nape Nnauye na leo huyu Pole Pole huwa inajulikana wazi kuwa madaraka yao yana mwisho; sasa wewe kudai kuwa kakabidhi kinyonge, ulitaka afanye nini ndipo ujue kakabidhi kwa kuelewa kuwa muda wake umekwisha
 
Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.

President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.

Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?

Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.

Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
KABLa CHADEMA HAIjAFA wanakufa WAO.mungu huyu
 
Back
Top Bottom