Human Nature

ShesRise_1 moja ya conv yenu ni kwamba wote mlipigwa na wajanja wa mjini, ulijisikiaje baada ya kujua umeingizwa mjini
Nilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ’”
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea

Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
 
0
Nilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ’”
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea

Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
Nacheka utafikiri mazuri,pole sana aisee

Sasa wewe mwanamke wa town ilikuwaje,au ndio kumuamini mtu kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ