Human Nature

Hapo kwenye hela mwenyewe nimepigwa japo nilitoa ki roho safi
Then mtu kajikataa safiiiπŸ˜…πŸ˜­πŸ’”
 
Wamekuharibu bro dah morning ugali aisee nasikia tena ugali kwa wingi unadumaza akili
Sahihi kabisa ugali unadumaza akili.

Ukila ugali usiku sana au asubuhi sana Yaani mwili unachoka ni balaa.

Kama ulishawahi kukaa na akina Ngosha utakubaliana na hilo. Akili zao ni ngumu sana kuelewa lakini kuhusu nguvu wako vizuri sana.
 
Sijawahi kukaa nao sana lakini kuna rafiki yangu huyo ni mbishi sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
Sema sionani nae mara kwa mara ila siku tukionana hua nina kazi sana

Sasa mkuu wewe unakula ugali kila siku hapo porini vipi huoni unaweka rehani uwezo wako wa akili
 
Sijawahi kukaa nao sana lakini kuna rafiki yangu huyo ni mbishi sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
Sema sionani nae mara kwa mara ila siku tukionana hua nina kazi sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sio kwa ubaya ila jamaa wanafaa kukaa na ng'ombe tuu maana ni wabishi na wagumu kuelewa.

Sasa mkuu wewe unakula ugali kila siku hapo porini vipi huoni unaweka rehani uwezo wako wa akili
Mkuu nilishagundua hilo, kiukweli Mimi ikishazidi saa 2:30 usiku siwezi kula chakula pia asubuhi nakula chakula kuanzia saa5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…