Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,600
- 16,233
Umenena haswa sijutii kabisa kusoma hili gazetiUmenena vyema hapo kwenye human nature, unajua ipo wazi kila kitu lazima kiwe na positive na negative side, hapo kwenye human nature ni kweli Kuna ile asili ya binadamu kuwa na uwezo wa kupenda, kuona huruma, kuhisi maumivu nk hio ni positive halafu pia Kuna nature ya binadamu kuwa wabinafsi, wivu, hasira nk hiyo ni negative side, na Kila upande hapo unaweza kuwa na madhara tofauti katika maisha yetu kutokana na mazingira yaliyopo, mfano mtu huyohuyo anaweza kukuonea huruma kutokana na wewe kukosa hata pesa ya kula lakini mtu huyohuyo ikatokea kutokana na juhudi zako ikatokea mathalani umefanikiwa kumzidi mtu huyohuyo anaweza kukuonea wivu kwasababu umemzidi, dunia ilipo na vitu vinavyoendelea ni kutokana na hiyo unayoiita human nature na hapo umezungumzia issue ya ku control hapo sasa ndipo utofauti unapoanzia, mfano watu wawili wanaweza kwenda bar kunywa bia na wote wakanywa bia tano, lakini katika kuhimili madhara ya ulevi ukakuta mmoja ulevi haujamsumbua sana kama mwenzake ijapokuwa wote walikunywa bia tano na zote ni safari hapo sasa naifananisha na uwezo wa kucontrol human nature, uwezo wa mtu mmoja na mwingine katika ku control hasira, wivu, chuki pamoja na kupenda nk vinaweza kutofautiana na ndiyo maana tunaona matukio mengi mazito na yakutisha yanayoendelea duniani kote
HaswaaUmenena haswa sijutii kabisa kusoma hili gazeti
Ni kweli kabisa tatizo sio hisia
Tatizo ni namna ya ku control hisia zako
Hapo ndio ukomavu wa mtu utaonekana
Yeah π₯Haswaa
Kwamba kuiba kura ni asili ya mwanadamu?
Labda ni asili ya mboga mboga mkuu
makaveli10 upo jukwaani kweli?Sijasoma mpaka mwisho sijui umemaliziaje, ila kiukweli woote tuna hisia na zote zina kinyume chake..
Tunatofautiana katika kuchukua hatua(akili zetu zinavyochanganua mambo)
Mfano naweza nikawa na hisia ama kumtamani demu fulani, zile za lutamani kuishi nae kabisa ila nikaja nikaambiwa no kicheche hatari tena kwa kuthibitisha kwa macho, hapo akili yangu inaniambia huyu sio mke, mwingine inamwambia atabadilika n.k..
Kujipendelea kwa maana ya kutaka kila kizuri kiwe chako huku ukiumiza wengine ?Kwa upande wangu naweza nikasema ni human nature kwa sababu mpka mtu anaiba inakuwa ni nature ya kujipendelea na nahitaji apate hicho kitu kwa hali na mali yaan kiufup mtu anajifikiria yeye bila kuangalia hisia, mitazamo na mahitaji ya wenginee
Hvyo ndivyo navyowaza mm kwa upande wangu
ipo asili itamuadhibu makosa magapi umefanya? Kama kila jambo tunalotendewa tukisema tulipe kisasi dunia itakuweje?Kwahiyo hakuna haja ya kumuwajisha mtu aliekosea ?
Kwa sababu kwa falsafa yenu mnachukulia kama mtoto mdogo?
Unajua kua baba yake Yesu alie Mbinguni kwa mjibu wa maandiko ni Mungu
Na huyo baba ake Yesu Mungu amesema kwenye bibilia kua
Hakuna msamaha kwa watenda maovu bali watochomwa milele?
Wewe ni nani usimuwajibishe mtu kwa kutenda mabaya ?
Eti mtu aue kisha asamehewe tu
Sasa watu si watachukulia ni jambo la kawaida kukatisha uhai wa mwanadamu
Hapo ndio umejibu hoja yangu?ipo asili itamuadhibu makosa magapi umefanya? Kama kila jambo tunalotendewa tukisema tulipe kisasi dunia itakuweje?
najaribu kuwaza kwa mtazamo wako.Hapo ndio umejibu hoja yangu?
Sawa mkuunajaribu kuwaza kwa mtazamo wako.
Sheria zipo za asili na nchi ndo maana kuna amri za M-ngu ukivunja lazima upate adhabu.
kwa mtu binafsi anachagua maisha ya amani. kufanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wake ambayo yapo nje anaachana nayo. mtu ameua kwaakili zake sheria zipo mm jambo la kumuhukum lipo nje ya uwezo wang.
Mkuu kama hutaki bhasi Leo nachaji simu na kulinda kiporo tuuπππ.Chai chai chai
ππ€£ nipo ndugu yangu, hawajambo namshukuru mungu.makaveli10 upo jukwaani kweli?
Za masiku bro hawajambo K/koo
Nilijua mfano wako ungehusu demu π ππΌ
Acha tamaa pika chai unywe πMkuu kama hutaki bhasi Leo nachaji simu na kulinda kiporo tuuπππ.
Ila kusema ukweli wa moyoni nimeitamani hiyo chai maana ni kitambo sana sijanywa chaiππ€€
Kwakweli huo mfano unagusa wengi sana kasoro mimi tu πππ€£ nipo ndugu yangu, hawajambo namshukuru mungu.
Unapotoa mfano, toa ule unaogusa wengi, na huo Ndio mwepesi kueleweka ππ€£
NAkataa π€£ππ huu ni mfano unaomuhusu kila kiumbe, kikubwa sehemu zake za kujamiiana ziwe nzima tu, anahusika.Kwakweli huo mfano unagusa wengi sana kasoro mimi tu π
Hata mimi huu ujinga nilikua nao, ila Kuna dogo alinifundisha kwa njia ngumu sana.Hapa kwa watu nisiowafahamu vizuri kimeshanilamba mara nyingi
Kuna akili za kijinga kudhani kila mtu yupo kama nilivyo mimi
Lakini sasa nimejifunza tayari
Zangu sio nzima mfano haunihusuπ’π’NAkataa π€£ππ huu ni mfano unaomuhusu kila kiumbe, kikubwa sehemu zake za kujamiiana ziwe nzima tu, anahusika.
Sukari hamna, afu kupika chai ya watu kumi ni hasara labda nifungue mgahawa.Acha tamaa pika chai unywe π