ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,600
- 46,140
- Thread starter
- #241
Muhimu afya ipoFunzo kubwa sana.
At some point ila ningekuwa mbali sana mkuu.
Ningekuwa nalia kivulini baada ya kuchuma juaniš
Piga kazi mkuu mambo yanaweza kua zaidi ya awali