Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

Walio karibu na spika Ndugai wanadai kuwa kauli ile ulimuudhi na kumkasirisha spika Ndugai, na ipo siku atatapika nyongo.
Ukipita mle mle mkuu. Hongera kwa maono.

Aisee! Ulipiga kwenye mshono. Nitaanza kukufuatilia nyuzi zako zote
 
Watu mna data + info haya uzi umeishi yametimia .
 
GT, I second you.
 
Muda ndiyo jibu na jibu limepatikana. Hongera Zanzibar-ASP kwa maoni yako. Wewe ni Great thinker
 
Muda ndiyo jibu na jibu limepatikana. Hongera Zanzibar-ASP kwa maoni yako. Wewe ni Great thinker
“Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nayo sawa waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa, endapo hiyo namna ya ku-run nchi (kuongoza nchi) hivi sasa deni letu ‘seventy trilioni’ (Sh70 trilioni). hivi nyinyi si wasomi ‘is that healthy’ (hiyo ni afya). Kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” alihoji Ndugai kwenye mkutano huo wa kimila wa kabila la Wagogo
 
Jf ni kiboko
 
Ni jambo la furaha kuona mashetani yote ya uchafuzi mkuu yakipotea kwenye ramani za kisiasa
 
Amepoa sana Ndugai ipo siku atasema......ana wazee washauri wengi ...msikivu mgogo wa watu ila nae kuna wakati alijisahau madaraka matamu banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…