Nadhani hawa jamaa wanachukiwa sana na kina Precision and the like...... manake naona kama nauli zake zinalipika unless kuwe na hiden charges kibao!
kaka shukuru Mungu mnarudishiwa pesa! mie hapa sijarudishiwa na ATCL tangu kipindi kile ife 2010,mnakumbuka wakati uleee, yaani nimefatilia nimechoka!wameniboa nimekasirika hadi hasira ziliisha zenyewe wamekuwa wakitupiana mpira weee nikaamua kuachana nao...[/QUOT
Tuko wengi
Tanzania akuna sheria bana ukirudishiwa nauli unashukuru ck zinaenda
kwikwiPdidy umeandika hii ukikimbizwa na vibaka!!
NIlishaweka uzi hapa nikisema hili shirika muda si mrefu litabaki katika historia tu hapa nchini. Ni wababaishaji mno! Wameshachuma vya kutosha, sasa wanaanza kukata ruti ili baadaye waondoke kilaini.

Tumia Hedex!maumivu ya kichwa yaanza pole pole