Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Badala yake wangeamzisha route ya Mbeya. maana Precision wanatutesa sana na mabei yao
Nadhani hawa jamaa wanachukiwa sana na kina Precision and the like...... manake naona kama nauli zake zinalipika unless kuwe na hiden charges kibao!
Kwa nauli ndogo kama hii wanakosa abiria, je precision wenye nauli za kupaa mbona bado wana-operate!
Hiyo route wameisitisha sababu ya uchache wa abiria kwa kipindi hiki ila wataianza tena mnamo mwez wa July na kuendelea,ila ukae ujue kuwa kwa asahv ni kuwa wanatarajia kuanza route ya kwenda afrika ya kusin na ndege yao moja iko huko na itakaa kwa kipindi kiref km advertisement na wiki hii mwishon au wik ijayo mwanzon wanapeleka ndege yao ingine lubumbashi km advertisement maana pia wanatarajia kuanzisha route ya Dsm-Lubumbashi! So usione hiyo route ya Kilimanjaro-Mwanza ukaona ndio wanaiiitegeeemea? Walaaah! Theny think outside the borders!
Kumbe Ndo product za CSEE hizi... Yaani hujui hata reason ya kwa nini wamepiga stop hiyo ruti.. Wewe umeshaanza kutoa hisia zako hapa. Huduma za ndege ndo rahisi duniani sema ufisadi wa kitanzania tu hapa... Thread yako haihalalishi shirika kufa
Ni bora ukachunguza kwanza sababu za wao kusitisha
NIlishaweka uzi hapa nikisema hili shirika muda si mrefu litabaki katika historia tu hapa nchini. Ni wababaishaji mno! Wameshachuma vya kutosha, sasa wanaanza kukata ruti ili baadaye waondoke kilaini.
NIlishaweka uzi hapa nikisema hili shirika muda si mrefu litabaki katika historia tu hapa nchini. Ni wababaishaji mno! Wameshachuma vya kutosha, sasa wanaanza kukata ruti ili baadaye waondoke kilaini.
Unamaanisha nini Mkuu??Akauna kesi mkuu hayta wakaikau؛lsaza wikai yshahdi ndege aikauukaa watakachofanya nikutakiwa kukupa ndege nyingine na s nauli
Fastjet mmeondoa route ya kilimanjaro to mwanza wakati watu tayari wanatiket washalipia,mnasema watu warudishiwe ela zao ndio sheria za za mmamlaka ya anga zinasema hvyooo au mnafikiri kila anayepanda ndege yupo cheap kama bei zenu za nafuuuu,ktk ili mjipange sana jitaidi watu wasfiri kama mm ninatakiwa kusafiri alhmisi tar 25 to mwanza mnitafutie mbadala wa kufika mwanza...Naona amjuwi sheria za airline
Kweli nauli za precisionair zinaumiza ile mbaya.Nadhani hakuna haja ya fastjet kuumiza vichwa na hao abiria kiduchu wa Kilimanjaro-Mwanza. Mbeya abiria kibao hata wakiweza ndege zote wahamishie kule sababu zitajaa kwenda na kurudi.Badala yake wangeamzisha route ya Mbeya. maana Precision wanatutesa sana na mabei yao
Kweli nauli za precisionair zinaumiza ile mbaya.Nadhani hakuna haja ya fastjet kuumiza vichwa na hao abiria kiduchu wa Kilimanjaro-Mwanza. Mbeya abiria kibao hata wakiweza ndege zote wahamishie kule sababu zitajaa kwenda na kurudi.
Bora ku cancel safari kuliko ku panda ndege mbovu.
Ni kweli maana walikuwa na safari tatu kulingana na wateja kwa muda fulani lakini wakipingua wanaondoa safari moja. Nadhani sasa watabaki na ile ya saa nne na na saa moja kutoka Dsm - Kia.Bora ku cancel safari kuliko ku panda ndege mbovu.