Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Mleta mada nenda Polisi.
Ha ha ha ha ha haA! Sawa Mkuu!
well said mkuu. Tupende vya kwetuMasharti ya kipuuzi hayo. Safari ikivunjika abiria lazima Wapewe malazi na chakula. Mamlaka ya usafiri wa Anga futa leseni ya hao mafisadi na wanyanyasaji. Tuiunge mkono Precission yetu wakati tukisubiri ndege za ATC MPYA.
Polisi hawadeal na aviation cases. Nakwenda TAA mkuuMleta mada nenda Polisi.
Polisi hawadeal na aviation cases. Nakwenda TAA mkuu