Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Hujalazimishwa kupanda Fast jet, uelewe kuwa PW wameshusha gharama sababu ya uwepo wa Fastjet!
Huduma kama za Fastjet zipo pia kwa Arabian air, nauli yao ni cheap x3 chini ya emirates kwa safari ya UAE.
Uchaguzi ni wako sio kulaumu kitu ulichoandikiwa kabla ya kukata ticket
 
hii safari sio ya kikazi au serious trip so i have to check best fares.. Nilipenda precision 179 on wekend, nikaona chance za fast jet za bei nzuri nikasema ngoja nikate mapema then nipite nikalipe.. Ndo nikakutana na hicho kisanga,,,

binafsi nilijua ni kwa walipa ticket za best fares tu ndo wanapata masharti mengi kumbe wote ni sawa sawa.. Nikachoka na kui miss precision mzee wa kubadili ratiba..
Nimekoma na sitarudia na huyu kasuku ni bora prescision hata kama ukikosa best fares bado masharti yao nafuu..

Kaka tunatofautiana binafsi kulipa 315 mwanza ni ngumu labda niwe na emergency nzito lakini kikawaida huwezo wangu hauruhusu ndo maana nafanya booking mapema mara nyingi so kama wewe kwako ni poa hongera
mkuu ukunielewa vyema nilimaanisha tulishaoe zile fare za 312 za pw sasa huyu fastjet kaja na chini yahapo kwanini tulalamike;nikujulishe tu nenda kaangalie kwenye sytem zao kbla ya kuja kasuku walikuwa na bei ya sh ngap kwenda na kwenda na kurudi binafsi namfurhia kasuku mpwa
 
Haaahaaa mgagaaa na mpwa hali wali mkavu nilifikiri badala ya kukaa mjadili mtausaidiaje pw kuachana na dly za kila siku mnakuja na majungu haya ngoja nicheze ;;;l;;;;;;tugite kighomaaaa kigomaaa maaaa l؛؛؛؛؛tugite ;tukae tuangalie tutabireshaje huduma ya anga kwa bei nafuu anaetaka kwenda mwanza shy;kili asbh kama ikiwezekana kila baada ya masaa mawili ama matati kuwe na uchaguzi na affordable fare bila kuangalia ni ndege gan fjet;pw;tc nasema hivi hii ndio KASUKU
 
bora shetani unayemjua....kuliko malaika usiyemjua......
hii fastjet ilishagoma kabisa kwenye roho yangu..........Precision is there to stay.....kwa upande wangu........

ingekua mjengoni ningegonga meza mara kumi lakini huku ngoja ni hit like yatosha sana Tanzania ndio kichaka cha kila kitu
 
Ka;ma uamini pamoja na maneni yite nenda kaangalie kila ndege wanaondoka na pax wangapi na hapo awajui hizo bagamoyo zenu wakijua si watangangania kwenye bawa kabisa;;;;;roho zakwenda bagamoyo nasema zishindwe kwa jina la YESU
 
kwa ndege kama FastJet inabidi uwe unafanya booking mapema (miezi kadhaa) siyo kuibuka leo tu na kusafiri next week ukute Tshs. 32,000 bila VAT. Inawezekana ulipaji huu wa kitu kipya kwa watanzania na hivyo kupelekea baadhi yetu kulalamika..Ukiwa umezoea EasyJet, Rayanair, Vueling & other low cost arlines hii ya FastJet ni kawaida sana!!

Vizuri kusoma Terms & Conditions zake na kuzielewa..
 
Mpika majungu mkubwa wewe, usiye na haya mwana mtoka pabaya. Very irrational, vitu vyote ulivyosema na kulalamika viko wazi kabisa. Hakuna kilichofichwa hata kimoja. Na unathubutu kabisa kuandika kwamba ulianza kusoma terms na conditions baada ya kukata tiketi. Ridiculous, sasa unazisoma za nini wakati umeshakata tiketi? Hii yote inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu. Nahisi wewe ndiyo mwalimu wa hawa watoto waliomaliza juzi, 90% failure. Pathetic. Umeniharibia siku.
a

"Ukali na jazba yako yaelekea ukweli umegusa mfupa." Anataka ukale polise?
 
Wabongo tabu yenu ndo hiyo.mkiahidiwa mbunye huko mwanza au kili mnakimbilia kununua tkt bila kusoma rules.kikwetejet wako very right.weka booking mapema ulipe bei rahisi,ukitaka ku-book leo uondoke leo you have to pay more for it.hizo rules zina-apply kwenye airline kibao.wabongo kwenu hiyo punctuality imekuja kama suprise,na ndege mnataka kupanda.kutoka kupanda air msae au mohamed trans na kula pipa ni hatua.fateni masharti japo mpate nafasi ya kupanda ndege mpate kuona kwa juu mabati yenu yalivyooza pale kipawa angalau muyabadili mkirudi.nawapa hongera
 
Ha ha ha Mkuu nimepata bahati ya kutoka toka nje ya africa sijui nilikuwa naenda na treni ya mwakyembe... Mi nilicho ongelea utofauti na unachokiongelea.. Rudia kusoma post pole pole kisha njoo u comment...

Pole sana kama mpaka dunia ya leo unaona kupanda ndege dili wakati ni usafiri tu kama ma bus,,nyi ndo mnaotisha wenzenu vijiweni kuongelea story za ndege kama ni tofauti sana kumbe hamna kitu..
 
bora shetani unayemjua....kuliko malaika usiyemjua......
hii fastjet ilishagoma kabisa kwenye roho yangu..........Precision is there to stay.....kwa upande wangu........
ile ya usiku tu ndo unapandaga
 
Unauwezo mdogo kwa kufikiri.. ukisoma terms and conditions zao fast jet zpo wazi. Tatizo letu wa tanzania ni watu wa kulaumu na majungu pasipo kuliza utaratibu. kwa ndugu zangu waliopata kuish abroad nahc si wageni na easyjet hli ni shirika la ndege lina operate same way na fastjet na limefanikiwa sana sababu wenzetu wapo organised na safari zao zipo planned...hawakupuki kama sisi thats y wana enjoy na kufanikiwa...ukijarib kuangalia fastjet wapo sawa na bei zao ni cheap. Sana hata ndege zao ni mpya na kubwa na usalama ni mkubwa kulinganisha na precision ambao kla cku wanahairisha safari kwa kgezo cha ndege zna hitilaf angali ipo waz ndege zao ni mbovu na nyng ni zakizaman.

Mimi nina imani ukifuata T&C hawa Fastjet unaendana nao sawa sawa tu. Nilikata nilifanya booking a week before na leo alfajiri nimesafiri nayo kutoka Dar to Mwanza,hakuna chochote nilicholipia zaidi ya tiketi..nilikuwa na kibegi kdg cha mgongoni sikuambiwa kukilipia.
 
True say....tatzo letu wa tz weng we2 wanapenda kukurupuka na kushabkia k2 bla uelewa... na weng we2 ha2jpang kabla ya safari..
 
1) Fast jet hawana round trip ticket
2)PW roundtrip ticket ya bei rahisi mw/dar ni 199 na kodi
3) Uwe unapenda kusomasoma,vyote vimeandikwa kwenye matangazo yao,hata nauli ya 32 bila kodi imeandikwa unatakiwa uwahi angalau wiki mbili kabla.
 
Fanya research kwa uyakinifu ndo uje u comment.. Precision wana 179.. naomba uende kwenye website yao upande wa best fares uone..

Na fast jet wana round trip (return ) na one way napo naomba uende kwenye website yao ukapitie kama hautaona uje nitaweka my ticket japokuwa nitaficha jina..

Wamenikatia 198 jana ya kwenda mwz jumamos jion na kurudi jumapili jion

Katika pita pita zangu sijawai kuona airline isiyo na round trip ticket
 
I travelled to dsm frm mza to nd fro last week end nd i only paid 102000. With fast jet. At a low price nd a comfortable travel. In a jet of about 156 passengers.u wl pay for what u want not wat not needed. For businessmen ts a big deal. Lakin kama unataka ubishoo dont go for it
 
Mimi nina imani ukifuata T&C hawa Fastjet unaendana nao sawa sawa tu. Nilikata nilifanya booking a week before na leo alfajiri nimesafiri nayo kutoka Dar to Mwanza,hakuna chochote nilicholipia zaidi ya tiketi..nilikuwa na kibegi kdg cha mgongoni sikuambiwa kukilipia.

Rogie achana na hawa watu waliotumwa na PW kwa malipo ya peanut, fahamu kuwa fitina na majungu ya PW at work!
 
heshima kwenu wanajamvi

for the first team nimepata ticket ya fast jet nikagundua ni wasanii bora precision air yetu tulioizoea japokuwa inatuzingua sana..

Nimekata ticket ya mwanza next week kwa kujua zile swaga zao za kibegi kidogo, hamna vinywaji zipo kwenye ticket za bei rahisi tu kumbe tofauti..

Nimelipishwa 198 roundtrip ticket ya dar mwz ya next wekend so nikaanza kusoma terms and condition kwenye ticket zao nikakuta ni vile vile kama umelipa 32,000, kwanza ndege haina classes, pili wote mnachukuliwa kama mmelipa bei moja hakuna kitu kilicho tofauti..

Nikamdodosa dada aliyenikatia ticket akanikandamizia kubeba samaki hairuhusiwi.. Nikajuta mara mbili zaidi maana precision yangu niliacha ticket juzi ya 179 online, begi unabeba size ya kutosha tu, kwenye fast jet kila kitu kununua hata ukate ticket ya bei gani,,,

halafu wanachokera zaidi bei wanazoweka kwenye website zao ni xcluding other charges ili wakuvutie unapofanya malipo unakuta imepanda mbaya tofauti na precision..

Ngoja nikaingie ndani nione huduma zao zikoje but kwa jicho la kwanza wameshanikera na nitatumia precision kama kawaida, naona ni wazuri kuliko huyu kasuku anaejiita low cost airline...

Kabla hamjakata fast jet kuweni makini wadau, ni pasua kichwa mbaya hawa watu kila kitu unalipishwa...

Nilitamani niikatae ticket sema tu sikuwa na jinsi

aaaah mkata kiu weeeeee
 
Una zungumza kitu usichokifahamu, hasa tofauti kati ya cheap flights(fast jet na normal flights (prescision) kama ungefahamu au kufanya utafiti kidogo tu, usingeandika haya yote. Siku njema.
Heshima kwenu wanajamvi

For the first team nimepata ticket ya fast jet nikagundua ni wasanii bora precision air yetu tulioizoea japokuwa inatuzingua sana..

nimekata ticket ya Mwanza next week kwa kujua zile swaga zao za kibegi kidogo, hamna vinywaji zipo kwenye ticket za bei rahisi tu kumbe tofauti..

Nimelipishwa 198 roundtrip ticket ya dar mwz ya next wekend so nikaanza kusoma terms and condition kwenye ticket zao nikakuta ni vile vile kama umelipa 32,000, kwanza ndege haina classes, pili wote mnachukuliwa kama mmelipa bei moja hakuna kitu kilicho tofauti..

Nikamdodosa dada aliyenikatia ticket akanikandamizia Kubeba samaki hairuhusiwi.. Nikajuta mara mbili zaidi maana precision yangu niliacha ticket juzi ya 179 online, begi unabeba size ya kutosha tu, kwenye fast jet kila kitu kununua hata ukate ticket ya bei gani,,,

Halafu wanachokera zaidi bei wanazoweka kwenye website zao ni xcluding other charges ili wakuvutie unapofanya malipo unakuta imepanda mbaya tofauti na precision..

Ngoja nikaingie ndani nione huduma zao zikoje but kwa jicho la kwanza wameshanikera na nitatumia precision kama kawaida, naona ni wazuri kuliko huyu Kasuku anaejiita low cost airline...

Kabla hamjakata fast jet kuweni makini wadau, ni pasua kichwa mbaya hawa watu kila kitu unalipishwa...

Nilitamani niikatae ticket sema tu sikuwa na jinsi
 
Rogie achana na hawa watu waliotumwa na PW kwa malipo ya peanut, fahamu kuwa fitina na majungu ya PW at work!

Kweli kbsa mkuu..na nitarudi nayo Dar hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom