Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Rogie achana na hawa watu waliotumwa na PW kwa malipo ya peanut, fahamu kuwa fitina na majungu ya PW at work!
hayo uliyo andika ayawezi sababisha fastjet kufa....au umetumwa.
Mkuu hayo unayoyaongea ndiyo siri na upekee wa fastjet ukilinganisha na mashirika mengine.mfano precission,unapolipa nauli unakuwa umelipia chakula,vinywaji na usafiri wa mizigo,bila kujali km unahitaji huduma hizo au hapana. Ubebe mizigo au usibebe utakuwa umeilipia. Lakini kwa fastjet unalipia huduma unayohitaji.km una mzigo utaulipia,km unahitaji maji utayalipia.km huitaji huduma hizo basi hauzilipii kinyumena wengine. Hiyo ndiyo ndiyo nafuu unayoiona kwenye nauli. Swala la pafyumu ni swala la watu wa usalama! Hata ukipanda precission km una pafyumu kubwa(over 100ml) utapata usumbufu pale checking point.
watu wanne wanapanda ndege na kila mtu analipa kwa bei yake
Kila nikitazama huduma zinazotolewa na FastJet, sioni kama ina uhai mbele ya safari. Precision nadhani wamejiimarisha, na wana ubunifu wa kweli wa kibiashara.
FastJet wana bei nafuu kuliko Precision, lakini saikolojia ya binadamu ni ya ajabu na hii itawasaidia wapinzani wa FastJet. Ukiingia kwenyue FastJet, unalazimika kununua maji (hata kama ni ya kunywea dawa), soda, bia, kahawa au chakula chochote. Ukiwa na mzigo hadi kilo 20, ni kazima ulipe dola 5 za Marekani. Kuanzia kilo 21 na kuendelea, kila inayozidi unapaswa kulipia dola 5. Ukiwa na ka-perfume au lotion, hata kama ni mikebe miwili, unapaswa ku-check in kwa kulipia dola 5( bila kujali ukubwa au uzito wa kitu).
Wenzao Precision wanachofanya ni kwamba nauli zao ziko juu, lakini ndani ya ndege wanatoa maji, pombe, soda na vyakula japo ni vya ujanja ujanja (hasa chakula). Wanaruhusu abiria kuwa na mzigo wenye uzito wa hadi kilo 30! Hii imewafanya abiria wanaotoka Mwanza wawe na samaki wengi. Ndoo zenye samaki ndizo zinazopamba Precision. FastJet hawataki kusikia kitu "ndoo za samaki". Kwa mazingira yetu ya Kiafrika, unaona hapa Precision wana nafasi nzuri zaidi kibiashara. Kulithibitisha hili, nimeanza kuona FastJet wakianza kukosa wateja. Kwa mtazamo tu wa kawaida, sioni kama hawa jamaa watadumu kwenye soko. Kama wana madeni, TRA wafanye haraka! Hawa wanaweza kuwa kama Meridian Biao Bank! Wanaweza kutuacha kwenye mataa!!
Ni myazamo wangu tu.
Bossman, mbona hilo ni jambo la kawaida sana katika airline industry!
Hebu ingia hapo ujipe darasa kidogo
Understanding Airline Ticket Prices: Why Your Seatmate's Airfare Cost More (or Less) than Yours
Kila nikitazama huduma zinazotolewa na FastJet, sioni kama ina uhai mbele ya safari. Precision nadhani wamejiimarisha, na wana ubunifu wa kweli wa kibiashara.
FastJet wana bei nafuu kuliko Precision, lakini saikolojia ya binadamu ni ya ajabu na hii itawasaidia wapinzani wa FastJet. Ukiingia kwenyue FastJet, unalazimika kununua maji (hata kama ni ya kunywea dawa), soda, bia, kahawa au chakula chochote. Ukiwa na mzigo hadi kilo 20, ni kazima ulipe dola 5 za Marekani. Kuanzia kilo 21 na kuendelea, kila inayozidi unapaswa kulipia dola 5. Ukiwa na ka-perfume au lotion, hata kama ni mikebe miwili, unapaswa ku-check in kwa kulipia dola 5( bila kujali ukubwa au uzito wa kitu).
Wenzao Precision wanachofanya ni kwamba nauli zao ziko juu, lakini ndani ya ndege wanatoa maji, pombe, soda na vyakula japo ni vya ujanja ujanja (hasa chakula). Wanaruhusu abiria kuwa na mzigo wenye uzito wa hadi kilo 30! Hii imewafanya abiria wanaotoka Mwanza wawe na samaki wengi. Ndoo zenye samaki ndizo zinazopamba Precision. FastJet hawataki kusikia kitu "ndoo za samaki". Kwa mazingira yetu ya Kiafrika, unaona hapa Precision wana nafasi nzuri zaidi kibiashara. Kulithibitisha hili, nimeanza kuona FastJet wakianza kukosa wateja. Kwa mtazamo tu wa kawaida, sioni kama hawa jamaa watadumu kwenye soko. Kama wana madeni, TRA wafanye haraka! Hawa wanaweza kuwa kama Meridian Biao Bank! Wanaweza kutuacha kwenye mataa!!
Ni myazamo wangu tu.[/QUOTES
Sina uhakika kama unajua unachoandika.....fastjet itakufa kama meridian Bank kwa kutobeba samaki...Nahisi. I hope you are not suggesting kwamba fastjet haitakufa kama itabeba samaki MWZ.