Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

cancellation ya safari ya ndege si jambo la ajabu duniani. pole kwa disappointment lakini jipe moyo utaondoka saa 4

Nakubali si jambo la ajabu, lakini taarifa inabidi itolewe atleast 24 kabla ya safari.
 
Ni kweli maana walikuwa na safari tatu kulingana na wateja kwa muda fulani lakini wakipingua wanaondoa safari moja. Nadhani sasa watabaki na ile ya saa nne na na saa moja kutoka Dsm - Kia.

Halafu mbons Precion nao huwa wana cancel sana safari watu hawalalamiki?

labda Precision wanawataarifu wateja wao , ya kinachoendelea.
Na Precision wana ndege kumi (tano =ATR 72-500) (Nne=ATR 42 ) na pia wana Boing 737 moja.
Kwa hiyo wanaweza kuwa change timetable yao fast na ku replace ndege iliyo kunye matengenezo.

eaither way taratibu tu
 
Nakubali si jambo la ajabu, lakini taarifa inabidi itolewe atleast 24 kabla ya safari.
Nadhani katika hili kuna shida, mpaka sasa sijaona njia muafaka zaidi ya kuwafikia wateja wengi kwa wakati mmoja bila kuleta madhara kibiashara, mf ukitangaza kwenye TV's unaweza kujikuta unapiteza wateja wengi kwa wakati mmoja tofauti na wakija wakapewa taarifa.

Nadhani hapo wamaangalia na impact pia ya biashara yao.
 
Nakubali si jambo la ajabu, lakini taarifa inabidi itolewe atleast 24 kabla ya safari.

Sio kweli 24hrs kabla ya safari ..

Kuna checks nyingine unafanya lisaa au masaa mawili kabla ya safari ..
mfano mdogo tu umewasha ndege una subiri Ts & PS ( temperature na Pressure ) instruments
ziende kwenye "Green range" au ziwe kwenye range inayotakiwa kabla ya flight na haikutokea hivyo.
Inabidi wa cancel flight kuangilia na kuchunguza nini kulikon ...
 
Niko hapa Dar international Airport, yaani ni kizungumkuti jamaa wame cancel ndege
Ya asubuhi ya kwenda KIA ambayo wengine ndio tulikuwa tunawahi kazini . Hawa jamaa biashara imeanza kuwashinda.
Kibaya zaidi hawajatufahamisha, wengine tumeamka saa 9 usiku ili tuwahi.

Pole ndg yangu ila kumbuka rahisi aghali. Hayo mafast jet yenu yatawatoa roho sikumoja.
 
Ndege ya asubuhi walisha cancel toka last Thursday wanadai wakati huu ni low season.
 
Sio kweli 24hrs kabla ya safari ..

Kuna checks nyingine unafanya lisaa au masaa mawili kabla ya safari ..
mfano mdogo tu umewasha ndege una subiri Ts & PS ( temperature na Pressure ) instruments
ziende kwenye "Green range" au ziwe kwenye range inayotakiwa kabla ya flight na haikutokea hivyo.
Inabidi wa cancel flight kuangilia na kuchunguza nini kulikon ...

Hivi Afrodenzi weye Rubani? Huwa naona unaenda kwenye details hasa. Naomba unifundishe
kuendesha, nataka kurusha vile vidogodogo kama ya BS........Unifundishe wewe tu nahisi nitaelewa haraka.
 
Napendaga watu wajuzi kuongelea uzoefu, big-up shasti
 
wacha kulalamika, yawezekana matatizo ya kufundi...
 
Ni kweli maana walikuwa na safari tatu kulingana na wateja kwa muda fulani lakini wakipingua wanaondoa safari moja. Nadhani sasa watabaki na ile ya saa nne na na saa moja kutoka Dsm - Kia.

Halafu mbons Precion nao huwa wana cancel sana safari watu hawalalamiki?
soko la Tz linaonekana ni zuri kwa kila kitu na ukifanya feasibility study unaona neema nje nje lakini ukiingia kwenye ground mambo ni tofauti. Hii ndio sababu hata kampuni nyingi zinazowekeza hapa wanajitahidi kubuni strategy ya ziada ya 'Tanzania strategy' mbali na zile zinazotumika kwingineko duniani. Mojawapo ni 'do not keep time'!

Hivi Afrodenzi weye Rubani? Huwa naona unaenda kwenye details hasa. Naomba unifundishe
kuendesha, nataka kurusha vile vidogodogo kama ya BS........Unifundishe wewe tu nahisi nitaelewa haraka.

unaweza kujifunza kitu chochote mkuu..
uwe unataka kweli kujifunza .. ( Everything is possible, that is a beaty of life)..
 
Tell him.
Mie huwa nashukuru sana nikisikia ndege iko cancelled nikiwa ardhini, sitaki niambiwe ndege mbovu nikiwa hewani.

Kabisa mkuu.
Hata marubani wenyewe wakiwa wana "Preflight" au wakiwa wanafanya "Inspection run"
Huwa wanajaribu kutafuta au kuona kama kuna kitu chochote kibovu kabla ndege haija paa.

Ndege ikiwa na matatizo mtu anaweza kufanya kitu kinaitwa "Force landing"
Ila hizo force landings zikienda vibaya salaleeeeee kasiikolomayooo hahahah lol .
 
Niko hapa Dar international Airport, yaani ni kizungumkuti jamaa wame cancel ndege
Ya asubuhi ya kwenda KIA ambayo wengine ndio tulikuwa tunawahi kazini . Hawa jamaa biashara imeanza kuwashinda.
Kibaya zaidi hawajatufahamisha, wengine tumeamka saa 9 usiku ili tuwahi.

Sema kwa vile unawahi kazi, they will accomodate you mpaka mpate usafiri!
 
Back
Top Bottom