Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

binafsi nnafurahia hudama za fastjet, leo nmesafiri na fastjet niko mwanza na sijapata usumbufu wowote
 
Ndugu mtoa mada, Mimi nitakuwa tofauti na wewe. Ebu fikiria ni wa tz wangapi wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege kabla ya fast jet? Hata Kama hivyo vinywaji watacharge 10000 kila kimoja na hata Kama mizigo BEI itakuwa mara 2 ya BEI wanayoitoza kwa sasa bado haiwezi kufikia BEI ya precision na bado wengi wataimudu. Sitaki Kuamini Kama una ubia na precision lakini kwa post yako ni ngumu mtu kuamini
 
mleta uzi am sorry to say but hana xposure jamani uzi zingine ni kujichora tu hahaha....google for low budget airlines na angalia how they operate world wide e.g Ryanair na Easy Jet etc etc tena uyo easy jet ndo kaka wa fast jet.
Yani hizo mbona unaingia na mikate yako..Hupewi chochote
 
Huu uzi umejaa propaganda na hakuna information yoyote mpya zaidi ya hisia.
 
hivi KLM haifanyi route ya JRO - DIA..........? au Qatariya.....?
 
Selfishness inatusumbua sana wa tz ,mara nyingi mada za kuilalamikia fast jet huwa zinatoka kwa watu ambao ni wateja wa precison air , simply watu ambao pesa kwao sio issue sana.
Ukweli ni kuwa kuna watu wengi ambao ndege wamepanda baada ya ujio wa fast jet ,na hawataweza kumudu gharama za usafiri wa anga ikitokea fast jet wataondoka .
Kikubwa ninachokiona ni kuwa kuna watu wanahisi ile sifa ya kutumia usafiri wa anga ilikuwa inawastahili wao tu ,na sasa inapotea kwa sababu sasa kila mtu hata wa chini anaweza kuafford usafiri huo! Fast jet wako clear sana kwenye term and condition , lakini utakuta watu wanalalamikia kulipishwa mizigo na onboard food & refreshment . Check in times plus journey times kwa karibu destination zote za fast jet nchini hazizidi masaa manne ,kwa wenye shida ya kusafiri tu chakula hakiwezi kuwa issue .
Nashangaa safety issue ambayo ni muhimu sana kwenye usafiri wa ndege na ambayo Fastjet ana rank juu sana ukilinganisha na Precision air huwa haizungumziwi na watu hawa kama moja ya credit kwa fast jet .
 
Fastjet lazima itakufa
hawako reliable that much kwenye price
watu wanne wanapanda ndege na kila mtu analipa kwa bei yake

Airlines zote wako hivyo. Nauli ya ndege inapanda kadri siti zinavyojaa ndio maana unaambiwa Tanya booking mapema. Hata precision bei si moja kwa abiria wote.
 
Wabongo kwa kupenda kula.sasa kwenye ndege unataka uuziwe chai 500.na bia 2000?one hr trip kuna ulazima wa kula kweli.basi panda precision ukalipe hayo malaki kwa kupewa kikombe cha chai na biscut.
Punctuality kwa precision ni zero kitu ambacho wanawezana na mswahili.kuna siku nipo aiport pale wametangaza kuahirisha kuondoka zaidi ya mara 5 na walipotaka kuondoka abiria mwingine akawa hajafika sijui kakwama kwenye foleni wp huko ikabidi wamsubiri tena
 
fastjet kweli imesaidia hakuna ubishi!kinacholera ni utaratibu wao kwa upande wa watoto unapokata tkt unawaeleza wanaosafiri ni watoto muda wa ukaguzi wanawazuia mpk wawe na mtu mzima,binafsi nashindwa kuelewa kazi za airhostes ni nn wakati watoto ni 10-12yrs!wanakera sana
 
fast jet nimeikubali sana, ndege kubwa,nzuri na bei poa.Kutoka KIA kwenda Mwanza nililipa nauli ya sh elf 43 wkt nauli ya basi MS kwenda Mwanza ni sh elf 40.Naiombea iendelee kudumu!
 
fast jet nimeikubali sana, ndege kubwa,nzuri na bei poa.Kutoka KIA kwenda Mwanza nililipa nauli ya sh elf 43 wkt nauli ya basi MS kwenda Mwanza ni sh elf 40.Naiombea iendelee kudumu!
 
Acheni uchuro jamani. Nimeshalipia ticket ya next month. Fastjet isije ikanifia mikononi.
 
fastjet+suspends+routes.jpg
 
Nadhani hawa jamaa wanachukiwa sana na kina Precision and the like...... manake naona kama nauli zake zinalipika unless kuwe na hiden charges kibao!
 
Fastjet mmeondoa route ya kilimanjaro to mwanza wakati watu tayari wanatiket washalipia,mnasema watu warudishiwe ela zao ndio sheria za za mmamlaka ya anga zinasema hvyooo au mnafikiri kila anayepanda ndege yupo cheap kama bei zenu za nafuuuu,ktk ili mjipange sana jitaidi watu wasfiri kama mm ninatakiwa kusafiri alhmisi tar 25 to mwanza mnitafutie mbadala wa kufika mwanza...Naona amjuwi sheria za airline
 
hapo mbona kesi tayari wameshajitengenezea!! hii deal ya kupata hela kutoka kwa fast jet. Wanasheria mko wapi tusaidieni tuisukume hii mahakamani fast
 
hahahaha vita ya panzi furaha ya kunguru we[MENTION]SASATELE[/MENTION] unawaita wanasheria wale pesa kiulaini
 
Back
Top Bottom