Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Kaka Your flight may be delayed only if the winds are perpendicular to the airport runways.(high crosswind) Since most airport runways are placed in common wind directions of that particular area, it is unlikely that you will find a high enough crosswind that will cause airport authorities to delay departures/arrivals.

A Boeing 737 can certainly hand 20-35 mph winds from any direction, so you're cleared on that.

A headwind and tailwind are not big factors in determining whether or not a flight takes off

every aircraft has a different "tolerance" to winds. Generally, the bigger they get the more crosswinds (or winds from any other direction for that matter) they can take. The manufacturer determines this with flight tests and calculations. Common landing crosswind limit for most commercial aircraft is around 36 knots or around 41 mph. This could be given by the manufacturer or airline policy. Give or take a few knots depending on aircraft type and size
Some time temperature n pressure can cause plane to be cancel
 
Afadhali wewe una ticket moja kuna watu wanazo 20 na wameshajipanga kusafiri
 
Niko hapa Dar international Airport, yaani ni kizungumkuti jamaa wame cancel ndege
Ya asubuhi ya kwenda KIA ambayo wengine ndio tulikuwa tunawahi kazini . Hawa jamaa biashara imeanza kuwashinda.
Kibaya zaidi hawajatufahamisha, wengine tumeamka saa 9 usiku ili tuwahi.

Hata Mwanza pia wamecancel flight ya saa mbili na robo kuelekea Dar. Watu tumefika airport saa kumi na moja halafu saambili wanatueleza ----- wao. Hii ndo Tanzania bana,kila kitu ubabaishaji.OSH KOSH B'GOSH
 
Abiria waliokuwa wasafiri na ndege ya fast jet saa 2 asubui toka mwanza kwenda Dar. wametelekezwa na wafanyakazi wa fast jet airport bila maelezo ya msingi. alitokea jamaa mmoja aliyejitambulisha kama incharge wa fast jet mwanza airport akawataarifu abiria ndege imekuwa cancelled, abiria wasubiri mpaka saa 11 jioni.
 
Abiria waliokuwa wasafiri na ndege ya fast jet saa 2 asubui toka mwanza kwenda Dar. wametelekezwa na wafanyakazi wa fast jet airport bila maelezo ya msingi. alitokea jamaa mmoja aliyejitambulisha kama incharge wa fast jet mwanza airport akawataarifu abiria ndege imekuwa cancelled, abiria wasubiri mpaka saa 11 jioni.

Sijakusoma Mkuu, hizo sentensi zako mbili naona zinapingana!
 
Abiria waliokuwa wasafiri na ndege ya fast jet saa 2 asubui toka mwanza kwenda Dar. wametelekezwa na wafanyakazi wa fast jet airport bila maelezo ya msingi. alitokea jamaa mmoja aliyejitambulisha kama incharge wa fast jet mwanza airport akawataarifu abiria ndege imekuwa cancelled, abiria wasubiri mpaka saa 11 jioni.

Kwa tunaofahamu vizuri maisha ya watz pamoja na bei za fastjet kuwa kiduchu kulinganisha na bei za ndege zingine tunafahamu haitadumu fastjet hapa tz hakuna biashara nzuri za anga kwa hapa tz (zone ya tz peke yake) !!!!!!
 
kaka shukuru Mungu mnarudishiwa pesa! mie hapa sijarudishiwa na ATCL tangu kipindi kile ife 2010,mnakumbuka wakati uleee, yaani nimefatilia nimechoka!wameniboa nimekasirika hadi hasira ziliisha zenyewe wamekuwa wakitupiana mpira weee nikaamua kuachana nao...


sasa kama ushahidi unao unasubiri nini kuwapeleka mahakaman hao? Udai na mafidia kibao, nini unangoja sasa..!
 
[QUOTE ]:Hii si mara ya kwanza, ilikuja ndege ikashusha nauli nayo ikafa.Wa tz waliuliza kwanini bei ya ndege kwenda Mz ni nafuu kuliko nauli ya Train?😛anda:
 
ha ha ha lako afadhali kuna ndugu yangu alienda kikazi zanzibar jana yupo mizunguko yake anapigiwa simu njoo uchukue hela hakutakuwa na ndege tena hadi mwezi sijui wa ngapi yaani kwa nini watu wanafikiri wenzao wajinga we need to get somewhere where even the government can be sued. kwa nini watu wabebe matatizo za wengine?


the government can be sued but its all about our infiriolity comlex
 
Wtz hatushangai,ilikuja ndege kwa nauli ya daladala kwenda Mwz ikafirisika.Tz mahali pa majaribio
 
Kuna yule jamaa wa alikuwa humuu jamvini kujibu hoja za Fastjet, aje aweke sawa hayaa mambo!
 
Loading.... Air cummunity, 540, fast jet
Jana abiria wa FastJet ndege ya saa tatu na dk 45 usiku toka Kilimanjaro to Dar wapatao 62 wamelala KIA bila huduma wala maelezo yeyote kwa maafisa wa uwanja na wafanyakazi wa fastJet waliwakimbia,pia polisi wa kituo cha KIA hawakutaka kuandikisha maelezo ya tukio hilo a kuonyesha wazi kuwakingia kifua fastJet na uongozi wa kituo,uzuri abiria walishikamana na kurekodi mahojiano yote na mkuu wa kituo na pia wamechagua kamati ya kwenda kuifungulia kesi shirika hili la ndege,chama cha wasafiri baada ya kuwasiliana nao wameonyesha nia nzuri ya kutoa ushirikiano.Pia number ya mwakyemve ilitafutwa kwenye website ya Bunge na aliandikiwa text usiku uleule.Ndege ilikuwa mbovu na imeondoka leo saa saba mchana
 
Katika hali ya kushangaza ndege ya fastjet imebuma jana kilimanjaro nakufanya abiria zaidi ya 160 kushindwa
;kuondoka asbh;habari zaidi zinasema ndeg hiyo moja ambayo ndio pekee iliobaki baada ya zingine mbili kurudishwa ;habari zinasema ndege hiyo ilitua mida ya mchana na kufanikiwa kuondoka kwenda mwanza hata hivyo kasheshe lipo jion hii kuna pax zaidi ya 200 wanakwenda mwanza na tayari wameshaanza kugombana na wafanyakazi wa ndege kuhusu nani aende nani abaki
 
Ndege mbili za kampuni ya
FastJet zimeondolewa kwenye
safari zake na kusababisha
usumbufu kwa wateja
wanaotumia usafiri huo.

Kampuni hiyo inakabiliwa na
hali tete baada ya kudaiwa
kuwa wasafiri wake kukosa
huduma ya vinywaji na chakula.

Kufutwa kwa safari kulitokea
kipindi kifupi baada ya uongozi
wa kampuni hiyo kuitisha
mkutano na waandishi wa
habari na kueleza kuwa wana
mpango wa kuongeza safari katika maeneo yenye vivutio
vya utalii.

Hivi karibuni, FastJet iliamua
kusimamisha huduma ya ndege
zake mbili kwa madai ya mvua
nyingi zinazoendelea kunyesha
nchini.

Kutokana na uamuzi huo,
kampuni hiyo imeandika barua
kwa mawakala wa kukatisha
tiketi kuwaelekeza kurudisha
fedha kwa abiria waliokuwa
wamewakati tiketi.

Katika taarifa yake kwa mmoja
wa wakala wa kukatisha tiketi
(jina tunalo) kampuni ya Fastjet
inasema kuwa inasikitisha
kumjulisha wakala huyo kuwa
imebadilisha muda wa safari za ndege yake.

"Tumesimamisha safari kama
ifuatavyo. Kilimanjaro kwenda
Mwanza kwa ndege namba FN
141/142. Kilimanjaro kwenda
Zanzibar kwa ndege namba FN
131/132," ilisema sehemu ya taarifa ya kampuni hiyo.

Taarifa hiyo ilisema safari za
ndege hizo zimesimamishwa
kuanzia Aprili 18 hadi Juni 30
mwaka huu na kuwa abiria
ambao walikwishakata tiketi
watarejeshewa fedha zao.

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
 
Back
Top Bottom