unafikiri sekta ya anga Tz inakua sana kiasi tunahitaji uwekezaji mkubwa kiasi hicho?Ukijua Ndege unaweza pia kuendesha Helicopter?Je kuna tofauti ya Elimu kati ya rubani anayeendesha C208,CRJ,LJ27,A320 na B738?
Sekta ya anga TZ inakua kwa kweli.
Ila si kwa kasi sana.
Yes . tunahitaji uwekezaji wa hali na mali kwenye hii sekta.
Angalia ukubwa wa nchi na angalia idadi ya watu .
Hapana ..
licence ya "fix wing " ni tofauti na licence ya "helicopter"
na kasheshe nyingi ni fedha helicopter kwa lisaa ni kama $400 hivi na fix wing ni $200.
chukulia masomo ya CPL "fix wing"
Human Factors,(HF) Air Law, Meteorology,(MET) Principles of Flight,(POF) Navigation, General Aircraft Technical Knowledge (Air tech)
na ukiamua kufanya helicopta utafanya " POF"Helicopter na Ait Tech Helicopter" mengine yote ni sawa kabisa.
lakini ukija kwenye kurusha kila kitu ni tofauti kabisa.
unaweza kuendesha vyote lakini utasomea kwa majira tofauti na licence ni tofauti pia.
Kwenye Urubani kuna vitu viwili muhimu sana "VFR= Visual flight rules" na "IFR=Instrument flight rules"
Hizo ndege ulizitaja hapo ni IFR halafu pia ni Multi Engine(sio zote c208 ni VFR , single engine) .
Kwa hiyo unatakiwa uwe na Multi Engine Instrument rating kurusha.
unaweza kurusha ndege yeyote ili
Lakini lazima uwe na "Type rating ya hiyo ndege"
ama sivyo ni big No. Kurusha solo labda iwe duel flight.
Hopeful nimekujibu maswali yako yote na mi ngoja nikimbie kidogo...
asante kwa maswali yako ya kujenga.
AfroD