Kaka hii habari mbona hipo humu Kitambo!Ndege mbili za kampuni ya
FastJet zimeondolewa kwenye
safari zake na kusababisha
usumbufu kwa wateja
wanaotumia usafiri huo.
Kampuni hiyo inakabiliwa na
hali tete baada ya kudaiwa
kuwa wasafiri wake kukosa
huduma ya vinywaji na chakula.
Kufutwa kwa safari kulitokea
kipindi kifupi baada ya uongozi
wa kampuni hiyo kuitisha
mkutano na waandishi wa
habari na kueleza kuwa wana
mpango wa kuongeza safari katika maeneo yenye vivutio
vya utalii.
Hivi karibuni, FastJet iliamua
kusimamisha huduma ya ndege
zake mbili kwa madai ya mvua
nyingi zinazoendelea kunyesha
nchini.
Kutokana na uamuzi huo,
kampuni hiyo imeandika barua
kwa mawakala wa kukatisha
tiketi kuwaelekeza kurudisha
fedha kwa abiria waliokuwa
wamewakati tiketi.
Katika taarifa yake kwa mmoja
wa wakala wa kukatisha tiketi
(jina tunalo) kampuni ya Fastjet
inasema kuwa inasikitisha
kumjulisha wakala huyo kuwa
imebadilisha muda wa safari za ndege yake.
"Tumesimamisha safari kama
ifuatavyo. Kilimanjaro kwenda
Mwanza kwa ndege namba FN
141/142. Kilimanjaro kwenda
Zanzibar kwa ndege namba FN
131/132," ilisema sehemu ya taarifa ya kampuni hiyo.
Taarifa hiyo ilisema safari za
ndege hizo zimesimamishwa
kuanzia Aprili 18 hadi Juni 30
mwaka huu na kuwa abiria
ambao walikwishakata tiketi
watarejeshewa fedha zao.
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Fastjet Shikamoo! Kwa kweli Tanzania hii inahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya usafiri wa anga. Nadhani Fastjet bila kutazamwa na serikali wamejiwekea uzio wa kutokamatika kisheria. Jana usiku saa 3:15 tumeruka kutoka JNIA kuelekea KIA na tulipokaribia kutua control tower wakaripoti kuwa kuna hitilafu ya umeme hivyo hatuwezi kutua kwa sababu taa za runway zimezima. Tukarudishwa JNIA..tukaambiwa ndege inajaza mafuta turudi KIA kwa sababu tatizo limekwisha. Wakati tunashangaashangaa tunashushwa kwenye ndege na kuambiwa kuwa masaa ya crew yamekwisha hivyo tusingeweza kuruka tena. Na wanasema ndege iliyopo ni ya leo saa 5 asubuhi. Wamekataa kutoa nafasi kwa ndege ya saa 12 asubuhi KIA - Jomo Kenyatta ambayo inaweza kubeba abiri wote tulioshindwa kutua KIA usiku wa jana. Maamuzi yote yanafanywa London,...tumepiga simu London kwa simu zetu na kueleza ugumu uliopo kwetu abiria na udhalili wa mazingira ya airport kama mnavyoona kwenye picha akina mama wamelala kwenye conveyor belt baada ya uchovu kuwazidia. Jitihada zetu zimeishaia patupu..na ukweli wenzetu wa ulaya hawaoni kama sisi huku unyanini tunastahili kupata treatment kama watu wa huko kwako. Tumepata emergency lakini wao wanaichukulia kama kitu ya kawaida sana. Hapa kuna watoto wadogo..wagonjwa...wamama wajawazito...na watu wenye mahitaji maalum. Fastjet kwa kujidai wao ni "low cost" airline hawatoi malazi, nauli za kurudi majumbani, chakula wala viburudisho panapotokea kuahirishwa kwa safari. Nimemua nikae hapa na wenzangu kama 60 nione mwisho wake itakuwaje. Wanachokifanya Fastjet ni kinyume na Conventions na Protocol zinazohusu usafiri wa anga pamoja na sheria yetu ya ndani..masharti yao kwenye mtandao ambayo ni sehemu ya ticket yanamkandamiza sana abiria bila kujali sheria za ndani na kimataifa wa hali halisi kwa wakati husika..hiki kiburi wamekipata wapi? Nataka nikirejea nipeleke petition ya kufanya yafuatayo: moja ni kupata declaration kuwa Fastjet haistahili kuwa kwenye category ya "low cost airlines " na pili ilazimishwe kutekeleza matakwa ya sheria za kitaifa na kimataifa za uendeshaji wa huduma za usafiri wa anga na wawajibike kisheria kwa mteja kwa wanavyofanya Precision Air na ATCL...nadhani katika Afrika ni Tanzania peke yake ambapo Fastjet inaendeshwa kama local flight na hizo local flights nasikia zina faida zaidi ya maradufu kulinganishwa na international flights. Nchi yetu kwa nini tuteseke? Au kuna watu wanafurahia hawa akina Fastjet kuendelea kuiibia ATCL soko la ndani kwa hila na kuwahi ticket mapema kwa 200,000/= na kulipa 700,000/= siku ya safari au kwa kubadili siku au muda wa kusafiri?.

Sijaelewa huu msemo mkuuWatz bwana mzizi wa tatizo tunaupigia vigelegele kila siku then tunaanza kuhangaika na Malawi,the the the
Mzizi Ni Nani Mkuu?Watz bwana mzizi wa tatizo tunaupigia vigelegele kila siku then tunaanza kuhangaika na Malawi,the the the
Yani hili neno "mkono" litatuua mana kila kitu utasikia kuna "mkono" wa........Fastjet ina mkono wa wazito, usiulize zaidi, wako juu ya ule mhimili kiboko ya Kasusura
Malizia bhana...,........ "mkono wa sweta"Yani hili neno "mkono" litatuua mana kila kitu utasikia kuna "mkono" wa........
Mkuu umesoma masharti yaliyopo kwenye ticket yao lakini? Au hujui maana ya masharti kuzingatiwa?
MziziMkavuMzizi Ni Nani Mkuu?