Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

labda Precision wanawataarifu wateja wao , ya kinachoendelea.
Na Precision wana ndege kumi (tano =ATR 72-500) (Nne=ATR 42 ) na pia wana Boing 737 moja.
Kwa hiyo wanaweza kuwa change timetable yao fast na ku replace ndege iliyo kunye matengenezo.

eaither way taratibu tu

Boeing wanazo mbili mkuu..B737 5H-PMS na 5H-PKS
 
asante kwa marekebisho..

Lakini mi nimechemsha samahani kusema na we hukupatia pia ..
Wanazo tatu ... kwa hiyo wana ndege 12 pamoja...

Hapana ile Boeing ya 3 wali "lease" so wameshairudisha..ilikuwa 5H-PAZ...Sasa wamebaki na 5H-PMS na 5H-PKS...Hizi ndo zaenda Hahaya-Comoro na Lubumbashi..hata route yao ya J'burg nasikia wamevunja!Bila kupepesa hawa ndo wafitini wa "My Dear ATCL"
 
Duuuuhhh
Sikufahamu hilo asante kwa taarifa.
Maana huwa napitia sana haya mambo..

Bado kwenye website yao wanasema wana "3 boeing 737" hata sasa
 
Makosa?ndo mana panaitwa "HOME OF GREAT THINKER"..Kwanza nataka kukuliza vimaswali vichache

Haya bana..
ntakujibu tu kama vipo ndani ya uwezo wangu .
Na kama sio "Personal" information. asante

Ujanjaujanja tu!wana Boeing mbili Tu

hahahahahahaah Ndo raha ya Bongo lakini na hakuna
anaeuliza kwa nini wanasema wanazzo tatu na wanamatarajio ya kuleta nyingine soon ..

Kwa raha zao bana .
 
Hapana si Persona kiivyo! Tuanzie huku kwanza..Nataka kujua kwanini marubani Tz wengi n wazungu?hata ktk kampuni ambazo ni local?kuna sababu yoyote ya kihistoria?
 
Haya bana..
ntakujibu tu kama vipo ndani ya uwezo wangu .
Na kama sio "Personal" information. asante

hahahahahahaah Ndo raha ya Bongo lakini na hakuna
anaeuliza kwa nini wanasema wanazzo tatu na wanamatarajio ya kuleta nyingine soon ..

Kwa raha zao bana .

ndo mana Kenya wenzetu wapo mbali sana ktk Aviation Industry!sijui wapi tumekosea kama Taifa
 
me NACHOJUA TAARIFA HUWA ZINATOLEWA KWA ABIRIA WOTE HASA SHIRIKA LINAPOJUA CANCELLATION MAPEMA ILAUNAKUTA WENGINE WANATUMIA TRAVEL AGENTS KUBOOK TICKET ZAO ALAF WANAPOPEWA TAARIFA HAWAFIKISHI KWA WATEJA WAO. POLE SANA ILA BORA BADO NDEGE IPO.
 
Hapana si Persona kiivyo! Tuanzie huku kwanza..Nataka kujua kwanini marubani Tz wengi n wazungu?hata ktk kampuni ambazo ni local?kuna sababu yoyote ya kihistoria?

Swali lako zuri sana tena sana ..

Ntakupa jibu sababu mimi nalijua.
Ni vumilie kama ntaingia ndani sana..

Ukiwa kwenye aviation college "nje ya Africa"
kuna mambo mengi ambayo unatakiwa kufanya ili upate leseni yako
leseni ya kwanza inaitwa (PPL=Private Pilot Licence) kuapat hiyo leseni
unatakiwa kupasi mitihani sita na kufanya masaa kama hamsini/sitini hivi ya kuruka.
(Hayo masaa ni combination ya Duel hrs & Solo hrs)

Ukitaka kupata kazi ya kuruka na kulipwa lazima uwe na CPL licence.
(CPL= Commercial Pilot Licence) na kupata hiyo licence unatakiwa kupasi mitihani
mingine sita pamaja na masaa "minimum of 200 hrs" to be more realistic masaa 250 hivi.

sasa ngoja nijibu swali lako kwa maaelezo kidogo niliyotoa hapo juu.
Nchi za nje haupati kazi ukiwa na masaa 250.

1.sababu moja wapo ni kwamba huna experience ya kutosha.

2. Masaa machache sana.

3.Na sababu nyingine ni kwamba hawana vitu kama "Bush flying"
ambavyo ni kitu ambacho sisi waafrica tumebarikiwa nacho .

Ndip maana marubani wengi wanakimbilia Australia na Africa kujenga masasa.
Ukifikisha masaa 1000. una chance kubwa ya kupata kazi makwao .Ndio maaana unawaona
wengi sana . wako hapo kujenga masaa na kutimua wakisha yapata.

kusema hivyo kuna wengine wanakuwa ma Instructor ili kujenga masaa yao .
Lakini wengi wako Africa.. Tena sio Africa yote nchi mbili zinazosifika sana kwa hili ni
"Botswana na TAnzania"

Nadhani nimekujibu . samahani kwa mlolongo mrefu .
 
Hawa jamaa kweli biashara imewashinda mimi niliwakatia wadogo zangu tiketi za kutoka Mwanza to KIA wiki ijayo eti yamenipigia simu safari za mwanza kia zimefutwa nikachukue hela yangu ubabaishaji mkubwa.
 
Swali lako zuri sana tena sana ..

Ntakupa jibu sababu mimi nalijua.
Ni vumilie kama ntaingia ndani sana..

Ukiwa kwenye aviation college "nje ya Africa"
kuna mambo mengi ambayo unatakiwa kufanya ili upate leseni yako
leseni ya kwanza inaitwa (PPL=Private Pilot Licence) kuapat hiyo leseni
unatakiwa kupasi mitihani sita na kufanya masaa kama hamsini/sitini hivi ya kuruka.
(Hayo masaa ni combination ya Duel hrs & Solo hrs)

Ukitaka kupata kazi ya kuruka na kulipwa lazima uwe na CPL licence.
(CPL= Commercial Pilot Licence) na kupata hiyo licence unatakiwa kupasi mitihani
mingine sita pamaja na masaa "minimum of 200 hrs" to be more realistic masaa 250 hivi.

sasa ngoja nijibu swali lako kwa maaelezo kidogo niliyotoa hapo juu.
Nchi za nje haupati kazi ukiwa na masaa 250.

1.sababu moja wapo ni kwamba huna experience ya kutosha.

2. Masaa machache sana.

3.Na sababu nyingine ni kwamba hawana vitu kama "Bush flying"
ambavyo ni kitu ambacho sisi waafrica tumebarikiwa nacho .

Ndip maana marubani wengi wanakimbilia Australia na Africa kujenga masasa.
Ukifikisha masaa 1000. una chance kubwa ya kupata kazi makwao .Ndio maaana unawaona
wengi sana . wako hapo kujenga masaa na kutimua wakisha yapata.

kusema hivyo kuna wengine wanakuwa ma Istructor ili kujenga masaa yao .
Lakini wengi wako Africa.. Tena sio Africa yote nchi mbili zinazosifika sana kwa hili ni
"Botswana na TAnzania"

Nadhani nimekujibu . samahani kwa mlolongo mrefu .

Asante sana sana!hakuna mlolongo..zaidi umenipa uwelewa mpya!Hapo umejibu swali moja...ya kwanini Wazungu ni wengi!Je ni kwanini "waswahili" wachache?swali je kuna sbb yoyote?
 
La kwanii waswahili wachache..
Mi ntasema fedha.

Kuwa rubaini una spent $200 kwa lisaa limoja.
unahitaji masaa 250 hivi kupata CPL.
Halafu masaa mengine kama 40 hivi kupata Multi Engine Instrument rating
ambapo kwa lisa itaku cost approximately $500.

Hapo hujaweke fedha za darasa wala mtihani hata mmoja .

Na kwa wenzetu wanaweza kupata student loan kwa hilo.

kwa hiyo mi ntasema ni fedha ndio inayotunyima nguvu .
Lakini uwezo wa ki akili upo sana .

nathani nimekujibu
 
Back
Top Bottom