Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
Asante broda kwa swali hili!coverage...?
MB au GB ngapi ... toa full info hapa JF ....sio mpaka uingie gharama za kupiga smu kupata details
Airtel nao wezi, kimahesabu kwa Tanzania 1GB ni Tsh 5000 hii ni kwa makampuni yote yanayotoa internet. Hivyo 2500 ilipasa tupate 500MB. Hivyo kila bundle ikalkuleti ukichukulia 1GB=5000 Tshs.
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
Jamani kuweni serious,ni kweli haya?
mkuu ... hii ni bei elekezi kutoka authority gani..?
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
Kweli Watanzania wote ni Misukule.
Yaani wametutongoza na kutulainisha kwamba Internet nilazima iuzwe kwa MB nasi tumelainika na kuingia Gauge.
Simu tunalanguliwa kwa kuuziwa muda wa kimagendo tumekubali na kuridhika.
Mjadala mzima kuhusu namna tunavyouziwa huduma ya Simu na Internet umeingia Gundu na haukubaliki kabisa.
Internet inatakiwa kuuzwa kutokana na speed yake ya kudownload vitu au ku upload. Mambo ya capacity ni yao ndani kwa ndani.
Ni mpka tutakapo amka na kuwakabiri wezi hawa sivyo tutaendelea kufa kifo cha Mchicha.
kama ulikuwa hufahamu ndo ufahamu sasa. 1GB=5000 kwa ilivyo sasa na ni kwa makampuni yote uyajuayo yanayotoa bundle cha muhimu tupige kelele ishuke!