Huduma ya internet ya bei nafuu zaidi tz 2500 tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ya internet ya bei nafuu zaidi tz 2500 tu!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yericko Nyerere, Mar 22, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,234
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sounds too good to be true!

  whats the catch here..haya wenye kuhitaji...tafitini kwanza
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  coverage...?

  MB au GB ngapi ... toa full info hapa JF ....sio mpaka uingie gharama za kupiga smu kupata details
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  tuwekee necessary info sio jujuu kiivyo
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Asante broda kwa swali hili!
  Airtel wanalipisha kiasi hichohicho ambapo wanasema ni kwa mwezi, ambapo wanatoa 400MBS, lakini mtu anaweza kuzimaliza MBs hizo ndani ya siku 10, na akanunua zingine!
  Je hawa wanatoa MBs ngapi, au ni unlimited service?!
   
 6. Marahaba

  Marahaba Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kuweni serious,ni kweli haya?
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Airtel nao wezi, kimahesabu kwa Tanzania 1GB ni Tsh 5000 hii ni kwa makampuni yote yanayotoa internet. Hivyo 2500 ilipasa tupate 500MB. Hivyo kila bundle ikalkuleti ukichukulia 1GB=5000 Tshs.
   
 8. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Nasikia harufu ya Ufisadi
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... hii ni bei elekezi kutoka authority gani..?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mnapatikana maeneo gani ?
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  jamani mbona haya mambo kama tarehe 1 April vile.
  Naombeni website ya yecco ili tumalize zogo
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  usanii na wezi wa mchana kweupe.
   
 13. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kama ulikuwa hufahamu ndo ufahamu sasa. 1GB=5000 kwa ilivyo sasa na ni kwa makampuni yote uyajuayo yanayotoa bundle cha muhimu tupige kelele ishuke!
   
 14. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  muanzisha mada anaitwa yericko na kampuni inaitwa yecco........ naomba muongozo mheshimiwa spika
   
 15. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kweli Watanzania wote ni Misukule.
  Yaani wametutongoza na kutulainisha kwamba Internet nilazima iuzwe kwa MB nasi tumelainika na kuingia Gauge.

  Simu tunalanguliwa kwa kuuziwa muda wa kimagendo tumekubali na kuridhika.

  Mjadala mzima kuhusu namna tunavyouziwa huduma ya Simu na Internet umeingia Gundu na haukubaliki kabisa.

  Internet inatakiwa kuuzwa kutokana na speed yake ya kudownload vitu au ku upload. Mambo ya capacity ni yao ndani kwa ndani.


  Ni mpka tutakapo amka na kuwakabiri wezi hawa sivyo tutaendelea kufa kifo cha Mchicha.
   
 16. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa, yapasa tuuziwe kwa speed sio ilivyo sasa
   
 17. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi napata hzo MB 400 na sikumaliza! I think i have more than enough, na ninashinda mtandaoni na kulala pia!
   
 18. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hili nalo neno!
   
 19. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata hizo zinazoitwa "unlimited" haziko km ziitwavyo. Inakuwaje ziwe unlimited huku unakuwa limited na MB/GB fulani?!
   
 20. D

  DOCTORMO Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi niko hapa china ninalipa tsh.2000 kwa 10GB na average kwa mwezi nahitaji kama 15-18GB ili kukidhi mahitaji yangu sasa jamani bado tunaongelea mambo ya MB tena karne hii? mimi nahisa mb hazitoshi unatakiwa ufikirie kununua package kubwa , na tofauti iliyopo sisi tunalipa kwa mwezi na kwa mwaka kama unataka unafuu unalipa maramoja unaenjoy kwa raha zako . Chamuhimu inabidi ufanye juu chini bei zishuke home
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...