Karibu tukuandalie Hesabu za Biashara yako “Financial Statements” kwa bei nafuu

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,738
15,859
Ndugu zangu habari zenu.

Tunakwenda kwenye kipindi cha kuwasilisha Hesabu za kampuni, Taasisi na watu binafsi ( Financial Statements and Accounts). Due date ni tarehe 30.06.2023, na penati zake kwa kuchelewa kuwasilisha hesabu hizo ni 75,000 kwa mtu binafsi (Individuals) na 225,000 kwa Kampuni (entities) kila mwezi.

Insider Business solutions tunatoa huduma ya kuandaa Financial statements zote kwa bei nafuu na haraka sana. Pia tunasaidia kusajili Makampuni na Business names BRELA kwa haraka sana. Pia tunatoa huduma ya kutuma Ritani (Tax returns) za kodi mbalimbali kama VAT,PAYE, SDL nknk.
 
Back
Top Bottom