Huduma ya internet ya bei nafuu zaidi tz 2500 tu!

Status
Not open for further replies.
Anyway dawa ni kukata ndefu,
Inafuta lawama nunua blackberry alafu lipa elfu thelathini na tano kwa mwezi mimi nilifumbua ttz hilo namna hiyo.

Mc!
 
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544

Hii si kama ya Airtel tu ya 400MB/month au?
 
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544

Hueleweki, ninunue modem, kisha niwe nalipa elf2500 tena kila mwezi kwa huduma ipi? hiyo nikodi ya kumiliki hiyo modem au...!?
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi

Hiyo bei mimi hoi tanzania bado kuna modern bei kubwa hivyo ngoja nipige hesabu na pesa ya huku itakuwa ngapi duh hiyo ni pesa nyingi sana.

Yaani ni sawa na 39,666.67??? Ha hiyo mbona ngumu sana maana hapa unanunua kwa 2500 moderm na kila kitu kimeungwa kwa mwezi unalipa 400 unapata 3GB+
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi

huu ni wizi uliopitiliza, utawapata mapuza tu wasiojua kitu. Ongeza bidii Bongo wajinga wengi utawapata tu.
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi

Wizi mtupu, hiyo moderm unaitumia popote duniani au? Siku nisiporidhishwa na huduma mtarudisha hiyo 350,000?
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi

Dah, umenikumbusha mbali sana mtu wangu: enzi za voda kuuza ile card yao kwa la3.5! teh teh, miezi sita ijayo modem zitauzwa elf20- ,wrong timing buddy! lakn usijali sana, biashara ndvy zilivyo, wakati mwingine hesabu zinakuja usivyotegemea!
 
Imekula kwake
 
vodacom wanatoa UNLIMITED INTERNET ACCESS kwa mwezi mzima kwa 30,000/=, hiyo inawafaa watu wasipenda kuwa limited wakitumia internet service, iwe wanataka kuDownload movies na vitu vingine vyenye size kubwa..400mb kwa mwezi inawafaa wenye matumizi madogomadogo kama kucheki mail na facebook!
 
Unauziwa modem pamoja na kukomfiga na 1GB ya mwez mzima kwa Tsh 350,000/ baada yahapo utakuwa unanunu. Mb400 kwa elfu mbili mia tano kwa mwezi

mmh! Kwenye hiyo hela umejisahau ukaongezea sifuri nyingine nini?
 
hiyo bei ya modem ni tatizo ,watu wanapigania gharama za net zipungue wewe na ka puni yako mnapandisha gharama hizo,tafadhal omba radhi wand jf pliiZ.
 
huyo anayetumia mb atakuwa anashinda face book tu ndo mana hawezi maliza.Mi namaliza 2gb kwa 2dys na bado zantel wananibania eti hadi nisubiri wiki iishe na zaidi nitumie 5,000/= kwenye line yangu ya zantel huu ni unyanyasaji kwanini wakulazimishe matumizi yako yaweje wangeruhusu tu inapoisha unaweka nyingine bandika bandua na kama tayari umewaungisha kwa kuwa na modem yao wasilazimishe kutumia line zao kwa kupiga naungana na wanaolipia kwa speed bila kukadiriana mb wala gb na usilogwe ukanunua bundle ya unlimited almaarufu kama bomba 7 au 30 spidi yake ni aheri ya kobe anawahi hiyo unakesha ni mateso matupu kuna jamaa yangu alikuwa anadownload movie ya 700 mb ilichukua wiki kumaliza na kompyuta ilikuwa on 24hrz!!!!!!!!!!WEEEEZI HAWA tugome siku kutumia mitandao yao tuone watafika wapi!!!!!!
 
Mgomo ni siku gani?
 
huyo anayetumia mb atakuwa anashinda face book tu ndo mana hawezi maliza.Mi namaliza 2gb kwa 2dys na bado zantel wananibania eti hadi nisubiri wiki iishe na zaidi nitumie 5,000/= kwenye line yangu y!!!
Ukinunua sim card mbili je? Ikiisha moja unaitoa unaweka ingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom