Kwenye suala zima la teknolojia China yupo nyuma sana.
Vumbuzi nyingi zilizoenda shule zinafanyika nchi za magharibi ila mass production inafanyika China.
Anachoweza fanya mchina ni reverse engineering. Anaichukua product anaisoma then anatengeneza clone.
Ndio maana unaona televisheni ziandika Singsang ili wajinga wahisi zimetengenezwa na Samsung.
Iwe software au hardware, China yupo nyuma mno.
Anachoweza pekee ni kudukua makampuni ya west kuiba teknolojia.
China huyohuyo aliiba teknolojia toka kampuni ya At&t. Akawaibia Siemens teknolojia ya kutengeneza treni za umeme.
Hiyo 5G imefanyika kwa partnership kati ya Huawei, Nokia na Siemens ila wenyewe hawawezi fika popote.
Hata Chips na Semi Conductors zinazoendesha mitambo ya 5G zinatengenezwa marekani.
China ni mwizi kupita maelezo. Mitambo anayokuja ifunga afrika lazima kuna backdoor inaachwa kwa ajili ya kudukua. Mfano wa ile mitambo ilofungwa makao makuu ya umoja wa afrika.
Mwaka jana kuna components za servers zilizouzwa makampuni ya ulaya wameweka vifaa vya kudukua system nzima hadi congress ikaingilia kati.
China hana uwezo wa kusimama na nchi kama Finland let alone Japan kwenye ugunduzi. Wao kama sisi tu Afrika, sema wao wana skilled cheap labour ya kufanya mass production.
Huawei au kampuni yeyote ya china haiwezi simama na Apple au Nokia kwenye ubora wa bidhaa zao. Never Ever.
Ulaya na marekani wameamua kwenda South East Asia kama Thailand, Malaysia, Phillipines na India. Wanaweka huko mitambo yao.
Hawa jamaa ni wa kupigwa vita duniani kote. Ni parasites waliopitiliza. They are way below standards kwenye kila kitu dunia nzima.
Ukija Afrika, unamkuta mchina anafanya kazi za kuchimba mtaro, halafu anaitwa muwekezaji. Wakati huwezi mkuta mzungu anafanya hizo kazi hata nchini kwao.
Sent using
Jamii Forums mobile app