lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,365
Hakuna simu inayotengenezwa china mkuu...unajua maana ya phone assembling...?? china anatengeneza simu zenye silcon materiols kidogo sana ...kwa kukumbusha tu kuna mobile OS nyingi tu kule china hata huawei na alibaba wanaza kwao,hawa alibaba wana ya kwao inaitwa YunOS,OS zingine kuna emotion os,smartisan OS,oxygen OS,mmi OS zipo nyingi sana mkuu na zote zimebase kwenye Linux kama iliyokua android OS na zinatumika China japo share kubwa ipo kwa android na iphone kwa hiyo hata kama unasema watazima hiyo android hawa jamaa wataendelea vizuri tu na simu zao na hasara itakua kwa producer wote wa simu duniani ambapo ni wa nje ya china
kuanzia iphone,sony,HTC,google pixel itabidi warudi wakatengenezee simu makwao huko maana kwa sasa asilimia 90 ya simu zina tengenezwa China.
Sent using Jamii Forums mobile app
Transistor na motherboard zinatoka singapore na South korea kwa hiyo mchina kaingia tenda ya kufanya electronic assembling tu na kupiga chapa kwenye simu....
Ni components ndogo sana anazotengeneza mchina ukilinganisha na simu yote kukamilika...
Nchi zenye uchumi mkubwa duniani ni kama Singapore ambae anapiga pesa kimya kimya kwa kuwatengenezea motherboard pamoja na transistor za kutosha kisha anaziuza kwa nchi ambazo zimeingia ubia wa kufanya assembling ya electronic processors ...unakuta Simu ya Nokia imetengenezwa China lakini sio kuwa imetengenezewa kule ila imefanyiwa assembling na chapa nchini China..ukiangalia ndani ya vifaa vyake utakuta transistor inachapa ya south korea ,RAM ina chapa ya Singapore au Finland ,mpaka motherboard inakamilika imehusisha kampuni kama 6 kutoka nchi tofauti ambazo zinatengeneza components tofauti..
Naomba ufuatilie kwa ukaribu sana mnunuzi mkubwa wa madini ya Silicon na germanium ,na mara nyingi utakuta ni Singapore na South korea ..manake nini...Vifaa bora vya kielectronics tunaangalia muundo wa electronic diode system pamoja na transistor component formation yake katika materials...kinachoifanya simu kuwa na kasi kubwa na ufasta wake ni asilimia ya silicon components ilizonazo ...kuna kiwango gani cha silicon katika conduction ya umeme kwenye simu!!?? hicho ndo kitaipa simu bei kubwa....Silicon smartee ipo Singapore na South korea ,kidogo na Finland na marekani .
Silicon ndo madini ghali duniani kwenye system za umeme ndo vifaaa vyenye transistor za silicon vina ghalama sana...
Ndo mana utakuta iPhone inauzwa bei tofauti tofauti lakini jina ni moja na ukubwa ni moja pamoja na Android Operating System( OS) pamoja na Kennelly version pamoja na Android version kuwa sawa ila bei inatofautiana kabisa...
Kuna iPhone ya laki 5 na kuna iPhone ya laki 8 na kuna iPhone ya milion 1.6 lakini zote ni toleo jipya...
Utofauti unakuja kwenye transistor zimetengenezwa kwa aina gani ya madini...je ni silicon au ..! kwa hiyo unakuta motherboard ya iPhone ya milion 1.5 imeundwa na 80% ya silicon components transistors ila iPhone ya laki 5 ina transistor ambazo zina 30% silicon materials ...kwa hiyo kasi ya operation lazima iwe tofauti..mwenye ya milioni moja na laki 5 lazima itakuwa na speed kubwa sana kuliko ya laki 5..
Kwa hiyo nchi za south korea na singapore zinapiga pesa ndefu sana kwenye haya mambo na zimefikia hatua ya kuwalipa watu hata ambao hawana kazi yoyote nchini mwao...manake kazi ya kuuza electronic components za hali nzuri inaingiza pesa nene sana...