Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

unasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Unaweza ukawa unaongoza kwenye market share lakini usiongoze kwenye utengenezaji wa wingi wa bidhaa zako

Apple walisema ana market share kubwa sana sababu ana revenue kubwa kuliko mobile maker wote duniani lakini sio kwamba yeye ndio mtengenezaji wa simu nyingi duniani sijui umeelewa au vipi

Apple ana revenue kubwa sababu bei ya vifaa vyake ni kubwa kushinda hao maker wote waliobaki na ndio maana ana revenue kubwa

Nimekuambia kua apple kapitwa na hauwei kwa uzalishaji wa simu nyingi duniani ila sijasema kapitwa kwenye market share wala revenue.

Nafikiri umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na China ni lazima wauze bidhaa zao USA? Hakuna soko jingine? Bandiko la kipuuzi hili la mwaka 47, 2019 huwezi kuwa na wazo la ujima kama hili.
Hao USA ndio wajima sasa wanaweka protectionism wao ila wakiwekewa wao wanaanza kulalama

Wanaingilia affairs za government zingine ila wakiingiiliwa wao dunia nzima itajua

Mkuki wa nguruwe au siyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa unaongoza kwenye market share lakini usiongoze kwenye utengenezaji wa wingi wa bidhaa zako

Apple walisema ana market share kubwa sana sababu ana revenue kubwa kuliko mobile maker wote duniani lakini sio kwamba yeye ndio mtengenezaji wa simu nyingi duniani sijui umeelewa au vipi

Apple ana revenue kubwa sababu bei ya vifaa vyake ni kubwa kushinda hao maker wote waliobaki na ndio maana ana revenue kubwa

Nimekuambia kua apple kapitwa na hauwei kwa uzalishaji wa simu nyingi duniani ila sijasema kapitwa kwenye market share wala revenue.

Nafikiri umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee nakufuatilia nakuelewa sana unajibu kitaalam..kuna wadau humu bado wana mahaba na marekani bila kujua trump anauua uchumi wa marekani kila siku...china wana vitu muhimu vyote katika biashara..soko la ndani,vitendea kazi pamoja na nguvu kazi..marekani wanajijua ni mda tu na fitna ndo vinavyowabeba
 
Huu Uzi toka mwanzo nilitaka kuleta ushabiki na fix lkn nilivyosoma comment nikagundua huu Uzi unaitaji akili kubwa na fact

Wewe ni mmoja kati ya ma GENIUS umetoa bonge wa comment aise umewazidi wote

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Huyo jamaa ni noma sana, nimempa likes kibao lkn hata sichoki kwa kadri ninavyozidi kusoma comments zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unasemaje anaongoza market share halafu hapo hapo ukasema alipitwa?... ina maana haongozi.... msitulishe matango pori nyinyi
Soma vizuri hizo screenshots kutoka forbes nafikiri utaelewa vizuri hawa Samsung na huawei ni maker wakubwa wa simu duniani na wamempita apple lakini apple ndio ana market kubwa zaidi kutokana na kua na revenue kubwa kuzidi wote hao

Ni hivi hauwei na samsung wamejikita kwenye customer wa kawaida sana ambapo wananunua devices kwa bei rahisi ila apple amebase sana kwenye high end profile devices na high end consumers ndio maana hapo umeona ana revenue kubwa sana

IPhone XR inauzwa dollar 1000,je hi dollar 1000 unapata hauwei ngapi za mtu wa kawaida?
Screenshot_2019-03-08-13-22-12.jpg
Screenshot_2019-03-08-13-16-40.jpg
Screenshot_2019-03-08-13-11-54.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha weye ukauze bidhaa zako nchi A bila masharti na ni soko lako kubwa sana kuliko nchi yoyote ile duniani, na nchi A ikitaka kuja kuuza bidhaa zake kwako uanze kujibaraguza na masharti ili upate technology kwa kuforce kupitia mlango wa nyuma. Amka mkuu this is 2019 scratch my back I’ll scratch yours otherwise WE DONT PLAY.

Hao USA ndio wajima sasa wanaweka protectionism wao ila wakiwekewa wao wanaanza kulalama

Wanaingilia affairs za government zingine ila wakiingiiliwa wao dunia nzima itajua

Mkuki wa nguruwe au siyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha weye ukauze bidhaa zako nchi A bila masharti na ni soko lako kubwa sana kuliko nchi yoyote ile duniani, na nchi A ikitaka kuja kuuza bidhaa zake kwako uanze kujibaraguza na masharti ili upate technology kwa kuforce kupitia mlango wa nyuma. Amka mkuu this is 2019 scratch my back I’ll scratch yours otherwise WE DONT PLAY.
vp mzee bado unabeba box huko?karibu Tanzania ya viwanda fursa kibao ah ah maana unatetea mbele mbele sanaaa
 
Kwenye sheria uhuru na haki haihusu kitu uko wapi duniani ili ujue nani mwenye haki na nani mwenye makosa. Sikubaliani na Trump kwenye kila kitu with exception of this one to make sure that when it comes to trade China participate fairly instead of forcing to acquire technology through back doors.

Nothing is fair in this world bro and industrial espionage is is the new thing...end are the days to send spies for military gains..even USA become superpower because of technology transfer from German jews
 
Kiukweli USA ndiyo inayo tapatapa haitaki kuona multipolar world

Kila mtu anayefanya biashara vizuri anamuwekea vikwazo hapa inaonekana ameshindwa kufanya biashara ushindani umemshinda kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya zimeanza kumstukia

Mfano kujenga tu bomba la gas kutoka russia kwenda Germany hataki ili tu aje kuuza LNG yake ambayo ni very expensive kwa ulaya

Na Germany imesema haitakubali watajenga tu hilo bomba maana anajua faida zake na yule ndio powerhouse ya Europe na bomba kwa sasa lipo 70%

Juzi Italy imetangaza kujiunga na silk road project ya china ambayo inapunguza karibia nusu ya gharama za biashara kwa sasa marekani alivyosikia hivyo kaanza kumpiga mkwara Italy

One road,one belt (silk) ni muunganiko wa network za barabara,reli na meli na njia zingine za usafiri kuanzia china mpaka ulaya mpaka africa kwa hiyo itafikia kipindi utatoka na gari/train kutoka china mpaka ulaya mpaka africa hapo ita harakisha sana global trade kwa kiasi kikubwa sasa hapa marekani anaona wivu sana china atapata influence kubwa mno na faida pia

kila atakaye ingia kwenye hiyo project anampa vikwazo huko ni kutapa tapa aache watu wafanye biashara kama kashindwa ushindani akae pembeni au ajipange upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh .... byeee byeee Amerca..hahaa China wakifikia hii hatua USA haiwezi tena kuendelea kuwa super power " I wish ninge zaliwa 2030 ili haya yajayo niweze kuyaona wakati waujana wangu " .... hivi hakuna dawa ya kurudisha umri nyuma !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichukua GDP peke yake kabla hujaweka PPP unakua hujaelezea uchumi vizuri wa nchi husika ndio maana hata IMF huwa wanaangalia uchumi uliobase kwenye nguvu ya manunuzi(purchasing power parity)

Kwa GDP peke yake USA ina global share ya 24% ila nilichokua ninazungumzia mimi ni GDP based on PPP ambayo ni indicator iliyokomaa zaidi kwenye kuelezea uchumi wa nchi

According to IMF GDP based on PPP USA ana 17% ya global economy

Hawa jamaa wajanja mno mwaka 2016 walivyozidiwa PPP na china wakabadili gear angani wakaanza kusema PPP sio kigezo kizuri cha kiashiria cha uchumi na wakati hapo mwanzoni ndio ilikua kigezo kikubwa kabisa chaku onyesha uchumi wa nchi husika,wakadai kigezo kizuri ni GDP na wala sio ile per capita kama zamani iliyokua,siku wakizidiwa GDP sijui itakuwaje

Zamani kabisa ilikua ukiwa mtumiaji mkubwa wa nishati duniani wewe ndio unakua na kiashiria cha uchumi mkubwa na ulioimarika waliyopitwa wakatoa hiyo kwenye makaratasi,ni fitna juu ya fitna

View attachment 1040632

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee !!! Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa vizuri kwenye suala la Tech..mmarekani lazima tu atakuletea fitina.Hii ni mara ya pili wanafanya ban ya product za Huawei.Wivu umewajaa sanaa.. Huawei kaongoza sokoni mwaka jana ulaya na Asia.Huawei imeshakuwa threat kwa kampuni yao ya apple na bado..Mnyama Nokia naye hayupo nyuma..katoa kitu hatari sana(Nokia9)..Noana Aple watapata tabu sana kwenye market this time..Nokia,Xiomi and Huawei these are the future mobile thech giants..
nokia-9-10.jpeg

#Muungwana_John
 
Huh! Technology transfer should be done in a proper way. Forcing in one way or another to acquire technology is not right and USA has all the rights to fight back.

Nothing is fair in this world bro and industrial espionage is is the new thing...end are the days to send spies for military gains..even USA become superpower because of technology transfer from German jews
 
Duhh .... byeee byeee Amerca..hahaa China wakifikia hii hatua USA haiwezi tena kuendelea kuwa super power " I wish ninge zaliwa 2030 ili haya yajayo niweze kuyaona wakati waujana wangu " .... hivi hakuna dawa ya kurudisha umri nyuma !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kurudisha ujana ipo tena hiyo inaitwa kanombe grade one saana inatumika kigoma

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
mzee nakufuatilia nakuelewa sana unajibu kitaalam..kuna wadau humu bado wana mahaba na marekani bila kujua trump anauua uchumi wa marekani kila siku...china wana vitu muhimu vyote katika biashara..soko la ndani,vitendea kazi pamoja na nguvu kazi..marekani wanajijua ni mda tu na fitna ndo vinavyowabeba
Dah na mimi namfatilia huyu jamaa majibu yake hadi naona napata shule ya bure bila ada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom