chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,086
- 1,021
Hahaha mkuu we acha tu .... huu mtego sitanasa peke yangu , si unaona mawingu haya na tego lenyewe lilivyoMtego umekubali
Hahaha mkuu we acha tu .... huu mtego sitanasa peke yangu , si unaona mawingu haya na tego lenyewe lilivyoMtego umekubali
Ukitoa Insta na FB zile zingine zote zinazoonekana hapo lazima nitie jicho japo kidogo kila sikuUnaificha kama gazeti LA udaku? Mi huwa nasomea ndani kwa siri kisha naliteketeza
media tekHii hapa japo haina mbwembwemba![]()
samsung j series OG
samsung j series OG
Kwanini watu wengi hamna app ya Facebook!!
Naona majority ni messenger tu 🙄
Nitajie na ya kwangusamsung j series OG
Kwann unajaza sms hivyo pooo hasalaa kwa nan kwann hauwajibu watu poooooh![]()
Home![]()
Kwann unajaza sms hivyo pooo hasalaa kwa nan kwann hauwajibu watu poooooh
Simjui nahisi umegugo ur more than thatni nan sasa
Saivi watu wananichukia sababu ya kuwa busy na jf poooo hasala kwanguMsg nyingine sio za kujibu asee.. mf ok,poa na viemojis
Telegram inafanya nini ? naomba tujuzaneTelegram ni nzuri sana.
Fanya kuifuatilia utaipenda mwenyewe