Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 625
hata kioo kitakuwa kimevunjikaIla inaonekana imetumika sana ..
Duh,app nimezikubali
1. Una uwezo wa kutumia account moja kwenye device tofauti mf. simu na PCTelegram inafanya nini ? naomba tujuzane
Uchochezi huo
Pia unaweza kutengeneza group ambalo members ni unlimited hata dunia nzima wanajiunga1. Una uwezo wa kutumia account moja kwenye device tofauti mf. simu na PC
2. Ukijoin kwenye group hata leo lakini group likiwa limeundwa mwaka 2015, post zote utazikuta tangu group liundwe
3. Ni rahisi kwa kushare docx tofauti tofauti( soft copy) na ukiifuta hiyo docx unauwezo wa kuja kuidownload tena ukiihitaji
4. Ina uwezo wa kutengeneza Supergroups ambacho member wanakuwa wengi sana tofauti na WhatsApp ambao ina limit ya member 250 tu.
Hizi ni baadhi ya sifa za telegrma
Naam uko sahihiPia unaweza kutengeneza group ambalo members ni unlimited hata dunia nzima wanajiunga
Duuuh ! Shazam je ? Naiyona ina wengi wamewekaPia unaweza kutengeneza group ambalo members ni unlimited hata dunia nzima wanajiunga
Ahsante kaka, Isimila Stone Age site hio
Mine![]()
Asante mkuu, nmezikubali sana hzHiyo mkuu![]()
![]()