nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,513
Tecno nyingi humu



Done ✅Badala ya kufanya manual configuration nenda Aple store download- adblock mobile baada ya ku install na kuiwasha nenda settings kwenye vpn utaikuta na huko iweke on pia.
Haya majaribu mkumbuke huu mwezi Wa kwaresma , moderator Fanya yako
Ila inaonekana imetumika sana ..
Kwani Shunie wa Genta simpati nikiitumia?Naona Tecno zmetamalaki tu.
Hatar sanaNimekubali huu ubunifu WA kuchukua pic sehem kuweka prof nakuupload
Na imepatw mubasharaKupatwa kwa home screen
Halafu we unakumbuka kwamba nakudai?Hatar sana
Umeona ilivyohumukaIla inaonekana imetumika sana ..
Dawa ya deni kulipa haya nidai haraka sanaHalafu we unakumbuka kwamba nakudai?
Au niweke bango kwamba umeuteka moyo wangu???
Na ndio tunaotamba Tanzania.Nimegundua kitu hapa. TeamTecno mpo wengi sana...
Na kiuno anacho shoga yakoShogaa shanga hiyo nimeielewaa,imekaa mwake mwake
AhsanteNitakupeleka hospital
Naamsehemu yakeee
Kumbuka tu nnachakudai halafu unambie.Dawa ya deni kulipa haya nidai haraka sana
Mie mgonjwa wa nundu km hizoUmeona ilivyohumuka
HahahahaNimegundua kitu hapa. TeamTecno mpo wengi sana...