THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Huawei [emoji2]
Huawei [emoji2]
Mkuu nielekeze kuset vpn kwa iOS nami neset asee
Mi na we tuna simu saresare[emoji12] [emoji12]Myscreen![]()
![]()
Mkuu inategemea unatumia kwa matumizi gani ... binafsi naitumia sana kwenye channels na group chartsHii telegrm kwangu mimi mbona hakuna chochote ninachopata?
Mkuu inategemea unatumia kwa matumizi gani ... binafsi naitumia sana kwenye channels na group chartsHii telegrm kwangu mimi mbona hakuna chochote ninachopata?
Duh!!kwan namna hii mpaka simu itakua nzito kuibeba[emoji2]Apps![]()
Bila shaka we ni keMyscreen![]()
![]()
Mimi ipo ila sijaipiga screenshot(ilikuwa upande mwingine wa home screen)Kwanini watu wengi hamna app ya Facebook!!
Naona majority ni messenger tu 🙄
Set wallpaper nyingine hakafu ukimaliza kuipiga screenshot utairejesha ile yenye sura yakoNataka kupost yangu ila ina sura yangu halafu nashindwa kuitoa.
Nimeona mmoja tu ndo kathubutu kuweka screen ina picha yake[emoji23]Nataka kupost yangu ila ina sura yangu halafu nashindwa kuitoa.
[emoji124] [emoji124]Wakuu, poleni na majukumu. Leo naomba tushare jinsi home screen za simu zetu zinavoonekana. Mpe like utakae pendezwa na home screen yake.. Nawasilisha