Nakuona free mason
Mtumiaji wa app ya freemasonUnaniona freemason au unaiona app ya freemasonry?
Balaa tupuNILICHOGUNDUA NI KUWA 90 YA WATU TULIOPOST HOME SCREEN ZA IPHONE TUNAZITUMIA ZIKIWA KWENYE CHARGE.NIMEAMINI iOS 11 NI MAJANGA MAANA NYINGI NI KUANZIA 5-6s+
Mzee wa kubeti !
Mtumiaji wa app ya freemason

Mbona haujaongelea biblia na Quran mkuu?Au nawewe ni miongoni Mwao.Hiyo pia ni elimu ya kujifunza.Telegram ni nzuri sana.Hii telegrm kwangu mimi mbona hakuna chochote ninachopata?
Bible na quran ni kawaida ila freemason ni jambo geni kwa wengi, si unajua kitu kipya/chatofauti ndio kionekanacho!Mbona haujaongelea biblia na Quran mkuu?Au nawewe ni miongoni Mwao.Hiyo pia ni elimu ya kujifunza.