Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
Mie nishaanza kuwewesekaTaratibu usje zimia
Mie nishaanza kuwewesekaTaratibu usje zimia
Shogaa shanga hiyo nimeielewaa,imekaa mwake mwake
Nitakupeleka hospitalMie nishaanza kuweweseka
Mkuuu ivi hiyo Fontstyle inaitwaje, naitafuta saaana
sehemu yakeeeShogaa shanga hiyo nimeielewaa,imekaa mwake mwake
Wa Math au PhysicsDah!!!! mtihani huu![]()
![]()
![]()

Aisee hii balaa
Mkuu ngoja nikuchekieMkuuu ivi hiyo Fontstyle inaitwaje, naitafuta saaana
Hahahaha
Nchi kama hii ukiwa na tamaa ya kuona vitu tofauti na tecno ni lazima una matatizo ya akili.Naona Tecno zmetamalaki tu.
Nimekubali huu ubunifu WA kuchukua pic sehem kuweka prof nakuupload
Acha mbwembwe weye! Mbona alivyobana miguu anaonekana kikojozi tu huyo dame?Wa Math au Physics
Cjaona MTU mwenye VPN ,mwenye search engine ya Duck Duck Go ,Hahahaha
Badala ya kufanya manual configuration nenda Aple store download- adblock mobile baada ya ku install na kuiwasha nenda settings kwenye vpn utaikuta na huko iweke on pia.Mkuu nielekeze kuset vpn kwa iOS nami neset asee
Kupatwa kwa home screen