Naapa kwa Mungu. Sijui niliijuaje. Halafu mi sidanganyi sana. Nikisema kitu niaminiUongo wa mchana huu
Black Panther, uongo Mkuu!
Na ndo lilikua lengoNadhan ushajua natumia simu gan mkuu.
Kwani unapungua nini mtu akijua unatumia iphone ama tecno?Shida inakuja pale tunapochunguzana akina nani wanatumia iPhone
Shemeji yakoHuyu ndio nani?
Mh una moyo
sijaona M-bet hapo
Tatizo humu watu wanajishtukia sana,wengi fake,simu yako uko unajishtukia nn?Kwani unapungua nini mtu akijua unatumia iphone ama tecno?
Sijakupata mkuuJ5prime
Moyo wa chumaaaMh una moyo
Uoga wa maishaTatizo humu watu wanajishtukia sana,wengi fake,simu yako uko unajishtukia nn?
Na ushamba pia unachangiaUoga wa maisha