Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,825
- 5,295
Umetuonyesha utamu ndio ugonjwa wetu huo, malizia tu naza kiunoni itapendeza zaidi . akili yangu ishahamia chini dahMkuu kwan umeambiwa hapa tutume picha au
Mpaka utake na za kiunoni
Umetuonyesha utamu ndio ugonjwa wetu huo, malizia tu naza kiunoni itapendeza zaidi . akili yangu ishahamia chini dahMkuu kwan umeambiwa hapa tutume picha au
Mpaka utake na za kiunoni
Yeah picha zake zinakuaga nzuriHiyo App inatumika kupigia picha?
Theme gan iyoo mzeeSio ya zamani ni latest kabisa theme ninayotumia ndio haiweki icon mpya ya insta
Tuma banaa raia tunahitaji, tii kiu yetuMkuu kwan umeambiwa hapa tutume picha au
Mpaka utake na za kiunoni
Imependeza sana.......nipe namna ya kuweka hivyoMine is![]()
Hahahahaaa. Ukianza kurecord au kupiga picha tap kwenye uso zitakuja zile maurembo.Mi napenda vdeo zake lakin ndo cwezi yan naeza kurekod nispaone pa kuweka yale maurembo wala inaposeviwa sipaon aaai nikaachana nayo
SawaYeah picha zake zinakuaga nzuri
Aiseee hiyo rang yako naijua toka zamanUmeweka rangi yangu hadharani jamani
SawaHiyo km huijui usiitafute,acha nayo
HayaAiseee hiyo rang yako naijua toka zaman
Mbn unatoka nje ya madaaaUmetuonyesha utamu ndio ugonjwa wetu huo, malizia tu naza kiunoni itapendeza zaidi . akili yangu ishahamia chini dah
Mhh ivi app za camera inaongezaga uzuri wa picha? Maana ninachojua camera ndio inayo amua uzuri wa picha. au zile effect?Yeah picha zake zinakuaga nzuri
Mfyuuuuuuu zakoTuma banaa raia tunahitaji, tii kiu yetu
Acha izoooMfyuuuuuuu zako
Sasa wewe utawekaje picha za vishawishi ili hali humu unajua kuna jinsia tofautiMbn unatoka nje ya madaaa
Ilete hivyo hivyo tutaitoa wenyewe......Nataka kupost yangu ila ina sura yangu halafu nashindwa kuitoa.

Kuna kamera zingine hazitoagi picha zenye qualityMhh ivi app za camera inaongezaga uzuri wa picha? Maana ninachojua camera ndio inayo amua uzuri wa picha. au zile effect?
Kwani nawe unapenda hyo icon ya zamaniTheme gan iyoo mzee
Tumaa bana haijalishiiMbn unatoka nje ya madaaa