How your home screen looklike

How your home screen looklike

Huyo simjui bado ila wadada wenye balaa huku snapchat karibia wote ninao

Mwanangu akiwa likizo huwa na-hide snapchat asije kupofuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana atapofuka kweli. Maana nasikia Sanchoka anafanyaga mabalaa kweli huko. Wadada wengine wepi hao? Siingiagi huko mara nyingi ila kama kuna wakichaa niwe naingia niobe uchizi wa watu
 
[emoji12]
431ea31375394fd9b56a809ba0991698.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana atapofuka kweli. Maana nasikia Sanchoka anafanyaga mabalaa kweli huko. Wadada wengine wepi hao? Siingiagi huko mara nyingi ila kama kuna wakichaa niwe naingia niobe uchizi wa watu
Ndio sanchoka?
 
Mi sipendi picha za effect kweli yani napenda sana kuona hadi ile skin tone ya mtu ndio najisikia raha..
We mwanaume huwez elewa haya mkuu. Sababu skin tone ya mtu ukipiga na huawei mbaya mbaya zile na IPhone lazima zitokee tofauti sasa utaonaje hiyo skin tone?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom