Mi napenda vdeo zake lakin ndo cwezi yan naeza kurekod nispaone pa kuweka yale maurembo wala inaposeviwa sipaon aaai nikaachana nayoMi naitumiaga kupiga picha tu. Inakula bundle sana tatizo
Sawa wewe kazi kwako kufikiria mbaliMiguu inaleta ujumbe wa umbo ,ni MTU wa aina gani![]()
Na ni ngumuHuko ni kutafuta privacy za mtu, ni kama kutafuta jina na picha halisi ya member wa JF.
Ndo nini hiyo duck duck go?Cjaona MTU mwenye VPN ,mwenye search engine ya Duck Duck Go ,Hahahaha
Tuonyeshe naza kiuno.ni .
We jamaa una app za zamani sanaa kama hiyo instagram...

Huo mguno vepeeeeMmmmhh
Hiyo km huijui usiitafute,acha nayoNdo nini hiyo duck duck go?
Ongeza na FMWhatsapp mkuu
Sio ya zamani ni latest kabisa theme ninayotumia ndio haiweki icon mpya ya instaWe jamaa una app za zamani sanaa kama hiyo instagram...![]()
Umeweka rangi yangu hadharani jamaniHuo mguno vepeeee
Mkuu kwan umeambiwa hapa tutume picha auTuonyeshe naza kiuno.ni .
Bila shaka umemfollow yule mnaijeria anaepostigi wadada wako uchiHiyo snapchat yangu ukifungua ni laana tupu
Mshipa mbona huja update insta???
Hizo zinatosha mkuuOngeza na FMWhatsapp mkuu
HahaHizo zinatosha mkuu
Nimeapdate theme ninayotumiaMshipa mbona huja update insta???
Na mimi nilitaka kumwambia hivyoWe jamaa una app za zamani sanaa kama hiyo instagram...![]()
Nani huyo nipe jina ili nidownload snap fastaBila shaka umemfollow yule mnaijeria anaepostigi wadada wako uchi