Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
- Thread starter
- #41
Dah! hiyo makitu siyo rahisi kama unavyodhania au kama inavyoandikwa , kwa kifupi kuna wale watu wakishakuona targert yako ni ndoa toka mwanzo wa uhusiano mzuka unakufa............
yaani kwa kifupi if you are desperate to get married ,mtu anakuona mzigo ila hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano mwanaume yeyote anayopenda kama things zitatokea automatically na kujikuta mnaingia kwenye ndoa kwa pamoja bila mmoja wenu kuitafuta kwa nguvu kivile........... huwezi kulazimisha kuolewa , na ndoa ya kulazimisha siyo nzuri........
kweli, hata wanaume wanaokuja kwa gia za ndoa huwa wanaogopwa kama njaa.