How to get a girl's attention via a mobile phone

How to get a girl's attention via a mobile phone

Wakati mafanikio ya vijana wa mataifa mengine ni kuvumbua kitu chenye kuleta mafanikio kwenye jamii yake.....vijana wa kiTanzania mafanikio yake makubwa ni kupendwa na wanawake warembo....

Hiyo sentensi ya mwisho ni "mafanikio yake ni kutunga na kutangaza na kusema uongo".

Halafu kuna vijana wengi wengine wanaunga mkono huo ujinga.

Halafu hao hao ndiyo wa kwanza kulalamika fursa zilizopo Tanzania hawazioni, wakija vijana wa kichina wanaziona.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ni "mafanikio yake ni kutunga na kutangaza na kusema uongo".

Halafu kuna vijana wengi wengine wanaunga mkono huo ujinga.

Halafu hao hao ndiyo wa kwanza kulalamika fursa zilizopo Tanzania hawazioni, wakija vijana wa kichina wanaziona.

Asante kwa kuongezea mzee mwenzangu......vijana wetu ni kama wana laana hivi.....
 
We tuambia una ID ngapi sio kutuambai amra yako ya mwisho kuwa humu.
 
Nipo Serena hotel tuna meeting ya business ntakuchek nikitoka
Km upo poa saa kumi tukutane double tree Masaki ikifka saa kumi oooh sorry beb nmepata emergency call ya Mo Dewij hahahahahaha baadae njoo geto sijui geto itakuaje naeza kwenda geto kwake tu nikamalize hukohuko
Lemut nahis wewe utakua.
 
Wakati mafanikio ya vijana wa mataifa mengine ni kuvumbua kitu chenye kuleta mafanikio kwenye jamii yake.....vijana wa kiTanzania mafanikio yake makubwa ni kupendwa na wanawake warembo....

Hiyo sentensi ya mwisho ni "mafanikio yake ni kutunga na kutangaza na kusema uongo".

Halafu kuna vijana wengi wengine wanaunga mkono huo ujinga.

Halafu hao hao ndiyo wa kwanza kulalamika fursa zilizopo Tanzania hawazioni, wakija vijana wa kichina wanaziona.
Naona mbabu kikulacho na mbibi faiza mnanisaidia kufanya thread yangu i-trend kwa kasi sana.

msiache kukomenti Tafadhali.mjitahidi angalau ifike 15 pages. thanks for giving me mileages.
 
sisi watu wa nyaya tunasema, baby later basi maana kuna nyumba ime short circuit,
 
Halafu tunategemea maendeleo ya haraka Tanzania hii?!
Eti Tanzania yenye uchumi wa kati,Tanzania ya viwanda,tunatumbua majipu hahaaahaa .Eti kibali caha kuagiza sukari kinatoka IKULU,wakati wa Nyerere tulitakiwa kuomba kibali cha kununua soda(Double cola au Twiga) kutoka kwa RDD iwapo tuna ka sherehe ka kuzaliwa mtoto au harusi,ni kutokana na mijitu ya aina hii tutabaki makabwela mpaka mwisho wa Dunia.
 
Hii topic imekuwa dedicated kwa wavulana,ni fedhea kubwa kwa kidingi cha 40 year plus kama wewe ku-comment hapa.
Nina hakika 100% utarudi kunijibu.
Umeona amekupa za uso na kutufanya wengi kujua IQ yako ilivyo ndogo,unajihami kwa njia ya kitoto,..ETI KIDINGI 40 YEAR PLUS BLA BLA BLA,,.,, OOH DEDICATED MY FOOOT,Huna adabu wala akili wewe una mapungufu katika kufikiri,huyo unaemuita kidingi cha 40 unamjua kiukweli? au unarukia tu,hapa wewe unajiita kadoda na kuweka picha ya kiume na kumbe unaweza kuwa SHOGA au vipi?
 
Lol! huyo demu anaezuzuka kwa hizo mbinu nae ni mbulura tu. Afu unajisikiaje kudanganya.
 
habari zenu wana mmu na poleni na sarakasi za utumbuaji majibu,mda mrefu sijaanzisha mada mtaa huu.

mada yangu ya mwisho kwa mmu iliku ni mwezi march 2015. hii hapa:www.jamiiforums.com/threads/kibongo-bongo-how-to-let-ladies-know-you-own-a-car.826790/

mada ya leo inazungumzia ujanja ambao wakaka huutumia/wanaweza kuutumia kuteka hisia za mtoto wa kike haraka
wanapozungumza katika simu.

labda baadhi yenu mnaweza dhani nataka kuzungumzia zile text za mahaba au lugha laini ambazo wapenda nao hupagawishana kwenye simu,la hasha,hatuzungumzii hilo.

nitazungumzia vitu vya kawaida sana ambavyo vinatokea katika mazingira yetu ya kitanzania au
east afrika,hususani katika majiji makuu ya dar,mwanza,arusha,nairobi,kampala nk.
unaweza ukawa hukuwai kuvifikiria lakini vinacheza part kubwa sana ktk mahusiano mapya yanayotarijia kuchipua.

TWENDE KWENYE MADA.
upo katika mitikasi yako jijini dsm,ghafla unakutana na mdada mrembo sana,baada ya salam na maongezi ya hapa na pale,
mnabadilishana namba za simu.

baada ya siku moja au mbili mnaanza kuchat na kupigiana simu ili mfahamiane zaidi.inafika wakati mtoto anaanza kukuuliza upo wapi and blablabla.

sasa hizi ndio aina ya activities na maeneo ambayo wakaka hutaja ili kujiongezea hadhi na hatimaye kuteka hisia za mtoto wa kike haraka.

1:samahani dear,nipo barabarani na-drive.

hakuna shaka kwamba watoto wa kike wengi huvutiwa na wakaka wanaomiliki magari.
mbinu hii hutumiwa na wakaka wengi mimi mwenyewe nikimwemo,
haijalishi una drive gari la kwako,la kuazima,la kazini,bodada,bajaj au hau-drive kabisa,pengine labda upo tu uswahilini kwenu umetulia.

kitendo tu cha kumwambia upo barabarani una-drive, automatically atajua wewe unamiliki gari.tayari hapo ushamteka.

2: samahani dear nitakupgia baadae,namalizana na watu bandarini.

hii nayo hutumiwa sana,yeye atadhani wewe ni mtu wa bandari na unahusika na issue kubwa kubwa za ku-clear makontena au magari bandarini,kumbe kapuku tu fulani.
hapa lazima utang'oa mzigo.

3:samahani dear nitakupgia baadae,nipo kwenye mazungumzo na rafiki zangu hapa samaki samaki mlimani city.

kuna maeneo hapa dar ukiyataja kwenye simu,lazima mtu wa upande wa pili unaye zungumza naye ashtuke.
kwa mtoto wa kike ambaye anapenda starehe,ukimwambia kwenye simu kwamba upo ktk maeneo hayo, atapagawa tu maana hakuna namna.

samaki samaki mlimani city ni eneo moja wapo lakini yapo maeneo mengi ya kula bata ambayo wakaka huyatumia kuwadanganyia watoto wa kike
kwenye simu kwa lengo kuteka hisia zao.

4:samahani dear ,nimepata safari ya ghafla naelekea arusha.

sote tunajua arusha ni mji wa kitalii,lakini pia ni mji wa kula bata kama chenji unazo.
kuna mikoa hapa nchini,kuisafiri ni zaidi ya kwenda kikazi au kutembela ndugu na jamaa.ni sehemu ya kufanya adventure.

kwa wenzetu wa jinsia ya kike,ukishamwambia kwenye simu kwamba upo safarini kuelekea mikoa hiyo,wanakuwa so excited.

wakaka hutumia sana mkoa wa arusha na baadhi ya mikoa mengine nchini kuteka hisia za wadada.

5:samahani dear nitakupgia baadae,nipo busy hapa TRA nashughulikia swala langu.

naam,walipa kodi na wafanyabiashara mpo?.
baadhi ya wadada wana imani kwamba wakaka wanaofanya kazi TRA au wale wanaoshinda/kufuatilia masuala yao ktk viunga vya jengo la TRA pale samora avenue na lile jengo pale stesheni,wana pesa.

hili niliwahi kulishuhudia kwa rafiki yangu wa karibu.hakuwa mfanyakazi wa TRA na hakuwa na baishara yoyote ambayo ingeweza kumpeleka eneo lile.
alitamka tu kwenye simu alipokuwa anazungumza na binti fulani aliyekutana naye siku kadhaa nyuma.hatimaye akaja kula mzigo.

6:......nipo masaki,nikitoka nakucheki.

ndio masaki hutaki au?.
kwa wakazi wa dar,masaki,osterbay,mikocheni na mbezi beach ni baadhi tu ya maeneo ya kutaja na kujiongezea hadhi unapozungumza na mtoto wa kike kwenye simu ili
kumteka kiakili.tupo akina sie tunao ishi mbagara,kimara bonyokwa,gongo la mboto,manzese nk tushataja sana maeneo hayo kwenye simu tunapo zungumza na wadada ilhali hatupo huko.

kwa uchache huo ndio uchambuzi wangu kuhusu mada husika,
wewe kama mwana MMU unaweza ongezea pale nilipoishia.
karibuni.

MK254 tuweke kando upinzani kwetu wa jadi,najua pande za nairobi mna maeneo yenu ya kutaja sambamba na aina ya shughuli mnazotumia kuteka hisia za wadada mnapozungumza nao kwenye simu.nawe pia nakukaribisha.
sasa bahati iwe upande wako unapodanganya hivyo asiwe aidha eneo ulipo kweli na labda kipindi hicho umejikunja kwenye kibanda cha mama ntilie halafu ukajifanya upo samaki samaki au kusema una drive kumbe anakuona buguruni kituo cha daladala unagombania kupanda. I think there is no better way of winning a woman's heart than being your true self, itakuepushia fedheha na usumbufu wa mbeleni. Ukiona kakutaa kwa vile unapanda daladala ujue asingekufaa kwenye maisha pia.
 
Naona mbabu kikulacho na mbibi faiza mnanisaidia kufanya thread yangu i-trend kwa kasi sana.

msiache kukomenti Tafadhali.mjitahidi angalau ifike 15 pages. thanks for giving me mileages.
Jifunze ustaarabu sio kukashifu watu,ukiona mtu haendani na UPUPU wako sio lazima UMKASHIFU sababu kila mtu ana vision yake,unaanza kuita watu MADINGI or sijui upuuzi gani? wewe mwenyewe umeandika PUMBA tupu,,,,..OOH ETI NIKO EMBASSY OOH NIKO SAMAKI SAMAKI OOH NIKO ARUSHA OOH NIKO NAENDESHA GARI OOH NIKO MASAKI,..MY FOOOOOOOOOOOOOOOOOOT .,unatufundisha kutongoza? ARE YOU SERIOUS?
 
Nipo Serena hotel tuna meeting ya business ntakuchek nikitoka
Km upo poa saa kumi tukutane double tree Masaki ikifka saa kumi oooh sorry beb nmepata emergency call ya Mo Dewij hahahahahaha baadae njoo geto sijui geto itakuaje naeza kwenda geto kwake tu nikamalize hukohuko
akifika geto anakuta banda la uani, kitanda mbavu za mbwa halafu saa sita za usiku inabidi alale tu.
 
Back
Top Bottom