How to get a girl's attention via a mobile phone

How to get a girl's attention via a mobile phone

Nipo Serena hotel tuna meeting ya business ntakuchek nikitoka
Km upo poa saa kumi tukutane double tree Masaki ikifka saa kumi oooh sorry beb nmepata emergency call ya Mo Dewij hahahahahaha baadae njoo geto sijui geto itakuaje naeza kwenda geto kwake tu nikamalize hukohuko
 
Ule si mchongo wa maaskofu wa kanisa katoliki akina Kilaini na askofu Nzigirwa. Umesahau?
Vp kuhusu Yale mabilioni yaliyopitia stanbink na kuhamishwa kwa kubebwa kwenye sandarusi?.yalikuwa ya nani?.
 
teh teh teh
watoto wazuri usipojua kumix kauongo kidogo kwenye kauli zako wanakuona "hauna swaga", wanakuona umekaa kibabu babu.

Hasa ukiwa na likitambi
Kitambi noma, ukiwa unadrive, unadandia daladala au wa tz 11.
 
teh teh teh
watoto wazuri usipojua kumix kauongo kidogo kwenye kauli zako wanakuona "hauna swaga", wanakuona umekaa kibabu babu.

Hasa ukiwa na likitambi
Madingi wenye vitambi vikubwa kama ndg yangu @PRONDO wao hawana mda wa kuchombeza uwongo.fedha yao inaongea.

ab846779248f12c21473a0697e2ab194.jpg
 
Vijana wanafundishana uongo halafu wanajisifu!

Ndiyo maana vijana wengi wa siku hizi ni kama misukule.
Kibibi cha miaka 50 na ushee kipo busy JF mda huu kufatilia conversation za vijana.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji107]
 
Ha ha ha ha
mkuu huyu jamaa hicho sio kitambi, hilo ni jitambi aiseeee
Ndio hivo mkuu.
Madingi kama hao hawapigi porojo nyingi kwenye simu,wao hutoa order tu.
Utasikia "chukua teksi njoo hapa Serena hotel Mara moja...nitalipa"
 
Tactics nzuri sana hizi.

Umenifundisha kitu hapa, watanikoma kitaaa
Tatizo hizi tactics zinaenda na umri... Kwa mtu wa umri wangu huwezi tumia trick kama hizi. Itakuwa ni kujishushia kiwango... Ila kwa watoto wa 18 mpaka 25 hivi zinawafaa sana...
 
Kibibi alielewa nilipo sema JK nilimainisha nani,ila aliamua tu kujitoa ufahamu.

Linganisha katika nyanja yoyote ile, tuanzie ipi? Hii yako ya kufundisha majuha wenzako uongo wa kuwa una gari?

Enzi za Nyerere gari ikipita mtaa wa tatu huko mnaijuwa kwa mlio tu, hiyo ya fulani.

Simu zenyewe mpaka uende kwa kina FaizaFoxy mtaa wa sita, utawahi kudanganya?

Fikiri.
 
Hii topic imekuwa dedicated kwa wavulana,ni fedhea kubwa kwa kidingi cha 40 year plus kama wewe ku-comment hapa.
Nina hakika 100% utarudi kunijibu.
Ok sikujua kama wakaka ni wavulana nashukuru umekubali kuwa haya ni mawazo ya kivulana. Halafu inaelekea unaiweza kazi ya sheikh Yahya (R.I.P) maanake umepatia kabisa, mimi ni kidingi cha 46yrs na kitambi kikubwa kama cha kwenye picha uliopost, si unajua utu uzima kuepuka kitambi si kazi ndogo?
 
Linganisha katika nyanja yoyote ile, tuanzie ipi? Hii yako ya kufundisha majuha wenzako uongo wa kuwa una gari?

Enzi za Nyerere gari ikipita mtaa wa tatu huko mnaijuwa kwa mlio tu, hiyo ya fulani.

Simu zenyewe mpaka uende kwa kina FaizaFoxy mtaa wa sita, utawahi kudanganya?

Fikiri.
Amesema eti hii ni maalum kwa watoto hivyo tumuache tu awajaze ujinga, halafu yeye mwenyewe anakiri kwa umri wake hawezi kufanya hivi ila anaona sawa kuhubiri utoto.
 
Ok sikujua kama wakaka ni wavulana nashukuru umekubali kuwa haya ni mawazo ya kivulana. Halafu inaelekea unaiweza kazi ya sheikh Yahya (R.I.P) maanake umepatia kabisa, mimi ni kidingi cha 46yrs na kitambi kikubwa kama cha kwenye picha uliopost, si unajua utu uzima kuepuka kitambi si kazi ndogo?

Amesema eti hii ni maalum kwa watoto hivyo tumuache tu awajaze ujinga, halafu yeye mwenyewe anakiri kwa umri wake hawezi kufanya hivi ila anaona sawa kuhubiri utoto.
He!!,kibabu prondo umerudi tena?!..asante kwa kuniongezea mileage. hahahaha
 
Linganisha katika nyanja yoyote ile, tuanzie ipi? Hii yako ya kufundisha majuha wenzako uongo wa kuwa una gari?

Enzi za Nyerere gari ikipita mtaa wa tatu huko mnaijuwa kwa mlio tu, hiyo ya fulani.

Simu zenyewe mpaka uende kwa kina FaizaFoxy mtaa wa sita, utawahi kudanganya?

Fikiri.
Basi sawa.
 
habari zenu wana mmu na poleni na sarakasi za utumbuaji majibu,mda mrefu sijaanzisha mada mtaa huu.

mada yangu ya mwisho kwa mmu iliku ni mwezi march 2015. hii hapa:www.jamiiforums.com/threads/kibongo-bongo-how-to-let-ladies-know-you-own-a-car.826790/

mada ya leo inazungumzia ujanja ambao wakaka huutumia/wanaweza kuutumia kuteka hisia za mtoto wa kike haraka
wanapozungumza katika simu.

labda baadhi yenu mnaweza dhani nataka kuzungumzia zile text za mahaba au lugha laini ambazo wapenda nao hupagawishana kwenye simu,la hasha,hatuzungumzii hilo.

nitazungumzia vitu vya kawaida sana ambavyo vinatokea katika mazingira yetu ya kitanzania au
east afrika,hususani katika majiji makuu ya dar,mwanza,arusha,nairobi,kampala nk.
unaweza ukawa hukuwai kuvifikiria lakini vinacheza part kubwa sana ktk mahusiano mapya yanayotarijia kuchipua.

TWENDE KWENYE MADA.
upo katika mitikasi yako jijini dsm,ghafla unakutana na mdada mrembo sana,baada ya salam na maongezi ya hapa na pale,
mnabadilishana namba za simu.

baada ya siku moja au mbili mnaanza kuchat na kupigiana simu ili mfahamiane zaidi.inafika wakati mtoto anaanza kukuuliza upo wapi and blablabla.

sasa hizi ndio aina ya activities na maeneo ambayo wakaka hutaja ili kujiongezea hadhi na hatimaye kuteka hisia za mtoto wa kike haraka.

1:samahani dear,nipo barabarani na-drive.

hakuna shaka kwamba watoto wa kike wengi huvutiwa na wakaka wanaomiliki magari.
mbinu hii hutumiwa na wakaka wengi mimi mwenyewe nikimwemo,
haijalishi una drive gari la kwako,la kuazima,la kazini,bodada,bajaj au hau-drive kabisa,pengine labda upo tu uswahilini kwenu umetulia.

kitendo tu cha kumwambia upo barabarani una-drive, automatically atajua wewe unamiliki gari.tayari hapo ushamteka.

2: samahani dear nitakupgia baadae,namalizana na watu bandarini.

hii nayo hutumiwa sana,yeye atadhani wewe ni mtu wa bandari na unahusika na issue kubwa kubwa za ku-clear makontena au magari bandarini,kumbe kapuku tu fulani.
hapa lazima utang'oa mzigo.

3:samahani dear nitakupgia baadae,nipo kwenye mazungumzo na rafiki zangu hapa samaki samaki mlimani city.

kuna maeneo hapa dar ukiyataja kwenye simu,lazima mtu wa upande wa pili unaye zungumza naye ashtuke.
kwa mtoto wa kike ambaye anapenda starehe,ukimwambia kwenye simu kwamba upo ktk maeneo hayo, atapagawa tu maana hakuna namna.

samaki samaki mlimani city ni eneo moja wapo lakini yapo maeneo mengi ya kula bata ambayo wakaka huyatumia kuwadanganyia watoto wa kike
kwenye simu kwa lengo kuteka hisia zao.

4:samahani dear ,nimepata safari ya ghafla naelekea arusha.

sote tunajua arusha ni mji wa kitalii,lakini pia ni mji wa kula bata kama chenji unazo.
kuna mikoa hapa nchini,kuisafiri ni zaidi ya kwenda kikazi au kutembela ndugu na jamaa.ni sehemu ya kufanya adventure.

kwa wenzetu wa jinsia ya kike,ukishamwambia kwenye simu kwamba upo safarini kuelekea mikoa hiyo,wanakuwa so excited.

wakaka hutumia sana mkoa wa arusha na baadhi ya mikoa mengine nchini kuteka hisia za wadada.

5:samahani dear nitakupgia baadae,nipo busy hapa TRA nashughulikia swala langu.

naam,walipa kodi na wafanyabiashara mpo?.
baadhi ya wadada wana imani kwamba wakaka wanaofanya kazi TRA au wale wanaoshinda/kufuatilia masuala yao ktk viunga vya jengo la TRA pale samora avenue na lile jengo pale stesheni,wana pesa.

hili niliwahi kulishuhudia kwa rafiki yangu wa karibu.hakuwa mfanyakazi wa TRA na hakuwa na baishara yoyote ambayo ingeweza kumpeleka eneo lile.
alitamka tu kwenye simu alipokuwa anazungumza na binti fulani aliyekutana naye siku kadhaa nyuma.hatimaye akaja kula mzigo.

6:......nipo masaki,nikitoka nakucheki.

ndio masaki hutaki au?.
kwa wakazi wa dar,masaki,osterbay,mikocheni na mbezi beach ni baadhi tu ya maeneo ya kutaja na kujiongezea hadhi unapozungumza na mtoto wa kike kwenye simu ili
kumteka kiakili.tupo akina sie tunao ishi mbagara,kimara bonyokwa,gongo la mboto,manzese nk tushataja sana maeneo hayo kwenye simu tunapo zungumza na wadada ilhali hatupo huko.

kwa uchache huo ndio uchambuzi wangu kuhusu mada husika,
wewe kama mwana MMU unaweza ongezea pale nilipoishia.
karibuni.

MK254 tuweke kando upinzani kwetu wa jadi,najua pande za nairobi mna maeneo yenu ya kutaja sambamba na aina ya shughuli mnazotumia kuteka hisia za wadada mnapozungumza nao kwenye simu.nawe pia nakukaribisha.
Huu ni utapeli tu hamna kitu hapa,TRA,BANDARI,GARI,SAMAKI,MASAKI,eti ndio attention???
 
Wakati mafanikio ya vijana wa mataifa mengine ni kuvumbua kitu chenye kuleta mafanikio kwenye jamii yake.....vijana wa kiTanzania mafanikio yake makubwa ni kupendwa na wanawake warembo....
 
Back
Top Bottom