How to get a girl's attention via a mobile phone

How to get a girl's attention via a mobile phone

Kama una lengo la kupga tu ts ok.
Kwa sababu mwanamke wa ivo lazma atakukubali ili apate kajifaida fulani lkn c kuishi n ww
 
  • Thanks
Reactions: SDG
BASI KUNA DADA MMOJA LECTURE CHUO KIKUU FULANI HAPA DAR ALIKUWA KWENYE UHUSIANO NA KIJANA MMOJA AMBAYE ALIMWAMBIA YEYE NI MFANYABIASHARA MKUBWA HAPA MJINI,BASI HAIKUCHUKUA MUDA WAKAFUNGA PINGU ZA MAISHA THEN WAKAPATA WATOTO 3 BAADAYE MWANAMKE ANAKUJA KUJUA KAZI YA MUMEWE NI MMACHINGA TAYARI WANA MIAKA 11 YA NDOA
 
nipo nakula mihogo hapa
Kuna jamaa aliwahi mwambia mdada "nipo maeneo hospital ya mwananyamala"
Demu hakumpigia tena wala kumtext maana alijua kwa vyovyote jamaa ni mgonjwa,ameenda kucheki CD4 zake.
 
Dah,wanawake kweli wanasumbua akili zenu,mana kila kukicha hamuishi kupanga namna ya kuwanasa,ebu fanyeni mambo mengine jamani
 
Hizi ni tabia za kivulana.
Hii topic imekuwa dedicated kwa wavulana,ni fedhea kubwa kwa kidingi cha 40 year plus kama wewe ku-comment hapa.
Nina hakika 100% utarudi kunijibu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
sawa sikatai je ukimwambia no 4 umepata safar ya kwenda arusha kwa furaha na wew umeact boss mtoto akakwambia njoo na pete yenye madini ya tanzanite umvishe muoe kabsa utamlaumu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kakuona unashuka kwenye daladala lol! Kuweni wakweli sio kila msichana anapenda makuu, ya kawaida ndio bomba.
ha ha ha
learning has no end....

Yaani hapa mtu akiingia 18 tu ujumbe ni "Sorry dear, nina drive niko kwenye foleni kubwa sana hapa Mwenge-ntakucheki baadae kidogo"
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hizi mbinu kwa watoto wa chuo na secondary
Wengine watu wazima tukikuangalia usoni tunajua hili debe tupu
mkuu,
this topic is a special dedication to the younger generation since they are the one leading in owning/using smartphone perfectly than the older generation. so leave it alone if you find it unsuitable for you.
 
Back
Top Bottom