How to get a girl's attention via a mobile phone

Seriously?! Hebu prove hapa im 45 or above. Halafu kwani kuna ubaya gani kuchangia hii thread wakati umesema inakuongezea umaarufu, wacha tukupe umaarufu. Now prove that im 45 or above. Mind kuna watu hapa tena kwenye hii thread wananifahamu kabisa. Haya onesha jinsi ulivyo mweupe. Prove it.
Hahaha kwani ugomvi mbabu prondo...opps sorry rrondo?.

haya Nita prove.subiri mada ifike page ya 20.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huitaji kuwa mzee kujua hii thread ni ya kitoto, hata under 28 wanaona huu ni utoto. Kuna mwanamke na akili zake utapata attention yake kisa umemwambia una drive? Au uko samaki samaki?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huitaji kuwa mzee kujua hii thread ni ya kitoto, hata under 28 wanaona huu ni utoto. Kuna mwanamke na akili zake utapata attention yake kisa umemwambia una drive? Au uko samaki samaki?
Basi sawa.
 
Yap, nshaulizwa uko wapi dear nikajbu GOMS simu ikakatwa, OK nimegundua
 
ishi kiuhalisia kaka.......utawapata tuu,, sinema za nini?
 
Kinyume chake, unanikumbusha Mlimbwende mmoja akitaka kwenda Viwanja vya starehe au misele yake alikuwa na kawaida ya kuja kuniazima Gari, ananiambia kuna wanaume wakimwona Demu amekuja peke ake sehemu za starehe na Gari, basi wanakuwa rahisi sana kuingia mkenge kwa kuwa wanajua demu Matawi.

Muwe makini jamani, kuna baadhi ya Wanawake hawafagilii Wanaume wenye mambo makubwa.

Na kingine ukumbuke njia ya mtu mwongo ni fupi, itafika siku ya siku uongo wako utastukiwa.

Ishi maisha yako achana na mambo ya kujikweza kwa ajili ya kuonekana babu kubwa kwa mwanamke
Sasa akifika kiwanja anakaa humo humo kwenye gari au vipi?nashndwa kuelewa utajuaje kama kaja na gari peke ake ila hali magari yanaachwa parking?
 
Hapo utaambulia vinuka nanihii wenzio... mwanamke wa kujielewa humteki ng'ooo kwa upuuzi huu...
 
Sasa akifika kiwanja anakaa humo humo kwenye gari au vipi?nashndwa kuelewa utajuaje kama kaja na gari peke ake ila hali magari yanaachwa parking?
Sijui unataka nisemeje ili unielewe.

Ngoja nikupe mfano mmoja.

Mfano mdogo, tufanye wewe umemuona Demu yuko peke ake kiwanja chochote kile, na ukamtokea kwa mfano, ukijua fika yule demu yuko peke ake, labda ndio umemletea mashauzi na kila kitu, ikafikia mida ya kuondoka na wewe labda ukamuuliza umekuja na nani, maswali ya hapa na pale, na demu akafunguka, mfano anakujibu "nimekuja na usafiri wangu".

Au hata kama yuko na wenzake mfano ukamtokea, mambo mengine yanafuata mnapoendelea na mazungumzo, lazima maswali haya yapo "umekuja na nani", "utaondoka saa ngapi" nk.

Mifano ni mingi ila nimekutolea huo mfano mmoja tu, kama ni mtu wa viwanja hukupaswa kuuliza swali kama hilo, kuna mifano mingi sana
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Uchawi wa mzungu(motokaa) umechangia vijana wa mjini kung'oa michuchu ya aina mbali mbali mikali.
 
gari noma mkuu,inachangia kwa kiasi kikubwa sana kwa watoto wa kike kutoa "nanilii".
 
Uongo wote huo wa nini? Ni bora uwe mkweli. Kujipaisha hivyo ndio mnakuja kupata madem waluwalu wanaowapenda kwaajili vitu ambavyo wanadhani mnavyo, halafu baadae mnalalamika dem hafai. Be yourself, and the right people will like the real you!
 
Back
Top Bottom