How to get a girl's attention via a mobile phone

How to get a girl's attention via a mobile phone

Ukishamwambia hivo,anajua wewe ni mzee wa trip za uchina.
KAMA HUNA PESA HATA UKIJIFANYA WEWE NI OBAMA SIJUI MTOTO OBAMA UTABAKIA KUNUKA MDOMO NA KUJAA MAVUMBI MPAKA KWENYE KORODAN,KUNUNUA MAJI YA KUNYWA PESA HUNA HALAFU UMEKAZANA KU TEXT ,..,,ETI HI, MY BABE UNAJUA NIKO UBALOZI WA CHINA, NIKITOKA HAPA NAENDA EMIRATES KUCHUKUA TICKET YA KWENDA GUANG ZHOU, BABY YAANI NIKO BIZEEEE NA MISHE ZIMEZIDI,UNITAFUTE USIKU.I RAVU YUU SOOO MACHI,ni mimi kadoda11 wako.KENGE BLUU kauze karanga upate lishe ya siku atleast sio kujijambia na kujinusa wewe mwenyewe.
 
Wakati mafanikio ya vijana wa mataifa mengine ni kuvumbua kitu chenye kuleta mafanikio kwenye jamii yake.....vijana wa kiTanzania mafanikio yake makubwa ni kupendwa na wanawake warembo....
Yani utalikuta jitu MISHIPA YA USO IMEKOMAA KAMA KENGE MIMACHO KAMA MJUSI KABANWA MLANGO ETI LINACHATI NA DEMU KWA SMS,YAANI LIMETOA MACHO LINAANDIKA ,..,.ETI NIKO SAMAKI SAMAKI OOH NIKO UBALOZI WA CHINA DOOO,HAPO SAA TISA MCHANA HALIJATIA RIZIKI MDOMONI TOKA JANA,BADALA YA KUTAFUTA AJIRA AU RIZIKI,AKILI YAKE IKO KWENYE CHUPI YA MWANAMKE.
 
Wakati mafanikio ya vijana wa mataifa mengine ni kuvumbua kitu chenye kuleta mafanikio kwenye jamii yake.....vijana wa kiTanzania mafanikio yake makubwa ni kupendwa na wanawake warembo....
Hatari sana mkuu.Mimi ni kijana miaka isiyozidi 28 lakini upuuzi huu siungi mkono.Nani kakudanganya mapenzi ni uongo uongo?
 
Hatari sana mkuu.Mimi ni kijana miaka isiyozidi 28 lakini upuuzi huu siungi mkono.Nani kakudanganya mapenzi ni uongo uongo?
Cha ajabu alieandika anakuzidi umri.
 
habari zenu wana mmu na poleni na sarakasi za utumbuaji majibu,mda mrefu sijaanzisha mada mtaa huu.

mada yangu ya mwisho kwa mmu iliku ni mwezi march 2015. hii hapa:www.jamiiforums.com/threads/kibongo-bongo-how-to-let-ladies-know-you-own-a-car.826790/

mada ya leo inazungumzia ujanja ambao wakaka huutumia/wanaweza kuutumia kuteka hisia za mtoto wa kike haraka
wanapozungumza katika simu.

labda baadhi yenu mnaweza dhani nataka kuzungumzia zile text za mahaba au lugha laini ambazo wapenda nao hupagawishana kwenye simu,la hasha,hatuzungumzii hilo.

nitazungumzia vitu vya kawaida sana ambavyo vinatokea katika mazingira yetu ya kitanzania au
east afrika,hususani katika majiji makuu ya dar,mwanza,arusha,nairobi,kampala nk.
unaweza ukawa hukuwai kuvifikiria lakini vinacheza part kubwa sana ktk mahusiano mapya yanayotarijia kuchipua.

TWENDE KWENYE MADA.
upo katika mitikasi yako jijini dsm,ghafla unakutana na mdada mrembo sana,baada ya salam na maongezi ya hapa na pale,
mnabadilishana namba za simu.

baada ya siku moja au mbili mnaanza kuchat na kupigiana simu ili mfahamiane zaidi.inafika wakati mtoto anaanza kukuuliza upo wapi and blablabla.

sasa hizi ndio aina ya activities na maeneo ambayo wakaka hutaja ili kujiongezea hadhi na hatimaye kuteka hisia za mtoto wa kike haraka.

1:samahani dear,nipo barabarani na-drive.

hakuna shaka kwamba watoto wa kike wengi huvutiwa na wakaka wanaomiliki magari.
mbinu hii hutumiwa na wakaka wengi mimi mwenyewe nikimwemo,
haijalishi una drive gari la kwako,la kuazima,la kazini,bodada,bajaj au hau-drive kabisa,pengine labda upo tu uswahilini kwenu umetulia.

kitendo tu cha kumwambia upo barabarani una-drive, automatically atajua wewe unamiliki gari.tayari hapo ushamteka.

2: samahani dear nitakupgia baadae,namalizana na watu bandarini.

hii nayo hutumiwa sana,yeye atadhani wewe ni mtu wa bandari na unahusika na issue kubwa kubwa za ku-clear makontena au magari bandarini,kumbe kapuku tu fulani.
hapa lazima utang'oa mzigo.

3:samahani dear nitakupgia baadae,nipo kwenye mazungumzo na rafiki zangu hapa samaki samaki mlimani city.

kuna maeneo hapa dar ukiyataja kwenye simu,lazima mtu wa upande wa pili unaye zungumza naye ashtuke.
kwa mtoto wa kike ambaye anapenda starehe,ukimwambia kwenye simu kwamba upo ktk maeneo hayo, atapagawa tu maana hakuna namna.

samaki samaki mlimani city ni eneo moja wapo lakini yapo maeneo mengi ya kula bata ambayo wakaka huyatumia kuwadanganyia watoto wa kike
kwenye simu kwa lengo kuteka hisia zao.

4:samahani dear ,nimepata safari ya ghafla naelekea arusha.

sote tunajua arusha ni mji wa kitalii,lakini pia ni mji wa kula bata kama chenji unazo.
kuna mikoa hapa nchini,kuisafiri ni zaidi ya kwenda kikazi au kutembela ndugu na jamaa.ni sehemu ya kufanya adventure.

kwa wenzetu wa jinsia ya kike,ukishamwambia kwenye simu kwamba upo safarini kuelekea mikoa hiyo,wanakuwa so excited.

wakaka hutumia sana mkoa wa arusha na baadhi ya mikoa mengine nchini kuteka hisia za wadada.

5:samahani dear nitakupgia baadae,nipo busy hapa TRA nashughulikia swala langu.

naam,walipa kodi na wafanyabiashara mpo?.
baadhi ya wadada wana imani kwamba wakaka wanaofanya kazi TRA au wale wanaoshinda/kufuatilia masuala yao ktk viunga vya jengo la TRA pale samora avenue na lile jengo pale stesheni,wana pesa.

hili niliwahi kulishuhudia kwa rafiki yangu wa karibu.hakuwa mfanyakazi wa TRA na hakuwa na baishara yoyote ambayo ingeweza kumpeleka eneo lile.
alitamka tu kwenye simu alipokuwa anazungumza na binti fulani aliyekutana naye siku kadhaa nyuma.hatimaye akaja kula mzigo.

6:......nipo masaki,nikitoka nakucheki.

ndio masaki hutaki au?.
kwa wakazi wa dar,masaki,osterbay,mikocheni na mbezi beach ni baadhi tu ya maeneo ya kutaja na kujiongezea hadhi unapozungumza na mtoto wa kike kwenye simu ili
kumteka kiakili.tupo akina sie tunao ishi mbagara,kimara bonyokwa,gongo la mboto,manzese nk tushataja sana maeneo hayo kwenye simu tunapo zungumza na wadada ilhali hatupo huko.

kwa uchache huo ndio uchambuzi wangu kuhusu mada husika,
wewe kama mwana MMU unaweza ongezea pale nilipoishia.
karibuni.

MK254 tuweke kando upinzani kwetu wa jadi,najua pande za nairobi mna maeneo yenu ya kutaja sambamba na aina ya shughuli mnazotumia kuteka hisia za wadada mnapozungumza nao kwenye simu.nawe pia nakukaribisha.
Hii post inafundisha wakaka kuwa matapeli, wadada kuweni makini
 
Lol! huyo demu anaezuzuka kwa hizo mbinu nae ni mbulura tu. Afu unajisikiaje kudanganya.
HATA WEWE UMEONA EENH,.,,.,ETI SAMAKI SAMAKI OOH ETI SEA CLIFF OOOH ETI NILIKUA KWENYE MKUTANO NA JOHN CHEYOOOOH ETI NIKO UBALOZI WA BLA BLA BLA ,.,,.,KUMBE LIMBULULA HALIJALA CHAKULA TOKA JANA.
 
Mto uliojaa hauna kelele,
Kwa Mwanaume aliyefanikiwa hana mbwembwe,
Mbwembwe za nini, Fully Kujiamini.
Cheki Maongezi:
Msichana: Hello
Jembe: Niambie Mrembo
Msichana: mmmh Umeniona wapi?
Jembe: Nilipokuona tu, daah.....ndiyo maana ikawa hivyo
Msichana: Uko wapi mbona kelele? Samahani naweza kukuuliza kitu....
Jembe: ....................................................................................(Jaza Mwenyewe)
 
Umeona amekupa za uso na kutufanya wengi kujua IQ yako ilivyo ndogo,unajihami kwa njia ya kitoto,..ETI KIDINGI 40 YEAR PLUS BLA BLA BLA,,.,, OOH DEDICATED MY FOOOT,Huna adabu wala akili wewe una mapungufu katika kufikiri,huyo unaemuita kidingi cha 40 unamjua kiukweli? au unarukia tu,hapa wewe unajiita kadoda na kuweka picha ya kiume na kumbe unaweza kuwa SHOGA au vipi?
Punguza hasira na jaribu kuwa mstaarabu.wewe na huyo wote umri wenu sawa.ni watu wa 45 or above.

Umri ushawatupa,hamuwezi kuendana na maudhui ya hii thread.

nawashauri,ili kuzuia mihemuko yenu ya uzee,bora mkae mbali nayo.

otherwise mkiendelea kurudi na kukomenti,mnanisaidia kuifanya mada yangu izidi ku-trend na ku- invite more viewers/contributors

simple math:
topic trending + viewers/contributors =kadoda11 becoming more popular on JF
 
......ero dearest niko hapa olkokolaa nachukua cha bob....polisi msala ntakucheck....
 
Mto uliojaa hauna kelele,
Kwa Mwanaume aliyefanikiwa hana mbwembwe,
Mbwembwe za nini, Fully Kujiamini.
Cheki Maongezi:
Msichana: Hello
Jembe: Niambie Mrembo
Msichana: mmmh Umeniona wapi?
Jembe: Nilipokuona tu, daah.....ndiyo maana ikawa hivyo
Msichana: Uko wapi mbona kelele? Samahani naweza kukuuliza kitu....
Jembe: ....................................................................................(Jaza Mwenyewe)
Umefunguka vizuri mkuu.
 
Punguza hasira na jaribu kuwa mstaarabu.wewe na huyo wote umri wenu sawa.ni watu wa 45 or above.

Umri ushawatupa,hamuwezi kuendana na maudhui ya hii thread.

nawashauri,ili kuzuia mihemuko yenu ya uzee,bora mkae mbali nayo.

otherwise mkiendelea kurudi na kukomenti,mnanisaidia kuifanya mada yangu izidi ku-trend na ku- invite more viewers/contributors

simple math:
topic trending + viewers/contributors =kadoda11 becoming more popular on JF
MASKINIIIIIIIII ,.,,.SAMAKI SAMAKI,EMBASSY,ARUSHA BLA BLA BLA ,.,..,ETI UNATUFUNDISHA UPUMBAVU WAKO,MAISHA YAKO UTAKUA MASIKINI MPAKA UNAKUFA SABABU UNA UMASIKINI WA AKILI,NA SISHANGAI KUSIKIA WEWE NI KUWADI,KWA HIYO NIKIKUPATIA PESA UNAWEZA KUNILETEA MKEO,FIRST AND LAST USIWE UNAJARIBU KUKISIA UMRI WA WATU HALI YA KUWA HUWAJUI UTAKUJA KUPUMULIWA KISOGONI.
 
Seriously?! Hebu prove hapa im 45 or above. Halafu kwani kuna ubaya gani kuchangia hii thread wakati umesema inakuongezea umaarufu, wacha tukupe umaarufu. Now prove that im 45 or above. Mind kuna watu hapa tena kwenye hii thread wananifahamu kabisa. Haya onesha jinsi ulivyo mweupe. Prove it.
 
  • Thanks
Reactions: kui
MASKINIIIIIIIII ,.,,.SAMAKI SAMAKI,EMBASSY,ARUSHA BLA BLA BLA ,.,..,ETI UNATUFUNDISHA UPUMBAVU WAKO,MAISHA YAKO UTAKUA MASIKINI MPAKA UNAKUFA SABABU UNA UMASIKINI WA AKILI,NA SISHANGAI KUSIKIA WEWE NI KUWADI,KWA HIYO NIKIKUPATIA PESA UNAWEZA KUNILETEA MKEO,FIRST AND LAST USIWE UNAJARIBU KUKISIA UMRI WA WATU HALI YA KUWA HUWAJUI UTAKUJA KUPUMULIWA KISOGONI.
Endelea kukomenti zaidi na ziadi,tumebakiwa na kurasa nne tu kufikikisha page ya 15 ili malengo yangu yatimie.

Mada ina trend vizuri sana.asante kwa kunirahisishia kazi.
 
Back
Top Bottom