Kwa hyo mmenunua ndege ili muajiri marubani?sisi tunapokea wageni ila kwa kutumia mgongo wa mashirika mengine: hio tayar ni opprtunity: wtu wanaosomea urubani wafanye wapi kazi? na una opportunity mezan, another thing: Tanzania has received the highest revenues kutoka kwa watalii since ndege zianze operation, nmeweka post jana: tanzania ni nchi ya nne mda huu Africa kwa mapato ya watalii, yamechangiwa na direct flight to Tanzania, before lazima upitie kona kona nyingi:
Inachukuliwa na wengine kivipi? Ilihali wanalipa kodi?na sjasema hicho ndo kipaumbele kikubwa cha atcl kua ni watalii, there many things including usafirishaji wa vitu mbali mbali: hii hela yote imekaa mezan imechukuliwa na watu wengine which is stupid: We need more and more of these planes, as long we have a smart leader
Nimeona nikujibu kizungu.
You are indeed very stupid!!!!
Writing this article in English does not give it an academic or any intellectual edge. It's just horrendous!!!!
Huo ndio Uchumi wa vyuo vya kata
Maelezo mengi hakuna ulichoandika
Sasa nakufundisha hapa Jf
Uchumi upo wa aina mbili tu, Hizo zingine ni story za vijiweni ni Micro yaani Uchumi mdogo ndio unaouongelea wewe wa households au Individual
Uchumi wa pili ndio huu unaotupa taabu sana sana sisi sasa yaani Macro, Hizi step za kupunguza money supply ndio zinazolalamikiwa na wengi sasa, Heavy tax collection policy watu zimegeuka mzigo sasa
Madhara Haya yana pande mbili kwenye Uchumi mkubwa unayoyaona wewe ni short run tu ndio unaona negative au hasi
Wanywa bia watakuambia bei za bia zimekuwa inelastic regardless ya heavy tax au kodi kubwa bei za bia bado zipo straight line, badiliko la bei is just small amount ambayo hakuna anayesense
Hizi ndege na train is about longrun, Faida utaziona ten years to come
Faida ya Muhimbili University au hospital za kikatolic impact yake inaonekana sasa tunapoweza kutibu magonjwa makubwa hapa nchini
Wakati ule muhimbili kujitenga na udsm watu walilaumu sana sana, Leo ndio unaona impact
The president is done his part, The remaining are dramers
We are on the right track.Tanzania is a country in East Africa with a population of over 50 million people and per capita income of just about 1000 USD. The country has one of the fastest growing graduates unemployment in the region with a very high dependent ratio and rapid population increase.
For the past few years the country has undergone tremendous change in the areas of infrastructure,human rights democracy,freedom as well as inflation.The inflation especially in food crops is rising steadily while the incomes of majority of the population is shrinking due to unemployment and low wages.
Despite all these Tanzania has invested heavily in infrastructure projects including the construction of the SGR, A Hydro Power Project as well the purchase of brand new aircraft to revamp the national career Air Tanzania.
The recent purchase of aircrafts which included a dream liner (Boeing 787-800) comes amidst divided opinion among the majority of the people in the country with some criticizing and others supporting the move.
Analyst have looked at the decision to purchase aircrafts amidst tight resources and majority of them are against the move due to the fact that resources a limited and an aircraft carries with it costs to maintain it and the current aviation market in the country cannot support the operations of a Dreamliner or Air crafts in general.
Some analyst believe that the next president will have to make tough decisions to dispose of the aircrafts and invest the monies where they will have major impacts such as in health,education,water and sanitation as well as in improving the business environment and youth empowerment .
Do you think the Dreamliner will take aways Tanzanians dreams?Let us discuss on other productive use to which the money used to pay for the dreamlines could have been used and the impact that would have.
Umemaliza mkuu.....wenzetu hadi airport zinaendeshwa na private sector, serikali ilishajitoa kwenye biashara imebaki kusimamia tu!If it was my decision I would rather leave airline business to private sector and the concentrate on policy issues Airline is a business that require an Investor to be very dynamic, with the government system of delaying decision making I do not see how this airline is going to compete in this very saturated market. We do not need a rocket science to know that airline business is too risk for a country like Tanzania. Every one would expect that the little resources that we have would be used with highest care but the opposite is the reality. As a transport professional I do not see any good future for ATCL, except political mileage.
Why not?Muhogo kiks,
It's not a matter of presenting an article in English, Swahili, Sukuma or whatever language you gonna use.
The issue here is why prioritize purchase of Airplanes instead of say for example invest in Agriculture by giving subsidy to Agriculture sector, in which more than 80% of Tanzanians depends on Agriculture?
Airway business is a very competitive industry. Just try to compare performance of other giant International carriers like Ethiopian Airlines, The Emirates, British Airways, Kenya Airways, South Africa Airways, just to mention a few of them...you will find that they're not economically health at all!!!
ATCL will be no special in this business...!!They must face the same music of competition and challenges.
The main task of a good government is to collect TAX and do nothing on business...!!
You are free to express what you feel. The reality remains, we have to move forward, water projects and health facilities are underway.We nae hutumii hta akili kufikiri
Hujui kuwa wananchi kupata maji safi ni advantage kwao kwani watatumia muda mwingi kwenye shughuli za uzalishaji mali badala ya kutumia muda huo kwenda kutafuta maji!
By the way utatumia vipi billions of money kwenye sekta ambayo inawakilisha only 1% ya population na kuitekeleza sekta sekta ya kilimo inayowakilisha 80% ya population?
Hyo itakuwa akili au matope?
Japo mwamuzi wa mwisho ni mmoja, ile principle ya a collective responsibility applies. Hivyo sisi wote tulioamua kuunga mkono juhudi, tumeamua kwa pamoja.QUOTE="Danny Jully, post: 33271510, member: 160061"]
Mkuu Pascal tumeamua na nani? Au ameamua tu mwenyewe!!
It is better to shut up than to shoutKupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
Mkuu je sisi tunafanya export gani kubwa kwa kipindi hiki?Huwezi endeleea bila kuwa na kitu cha kuingiza pesa za kigeni ndani. Ndege ni moja ya biashara nzuri sana ya export inayokuingizia pesa ndani na time to market is very short.
Biashara zinazozungurushwa ndani mnazotaka ndo zitawatia watu umasikini zaidi.
Ukitaka kufahamu hilo, nenda kijijini kwenu kawape milion 100 uwafungie wafanye biashara wao kwa wao, wasitoke nje, rudi baada ya miaka 5 utakuta wamekuwa masikini zaidi, na hizo milion 100 zimepugua zaidi maana zingine zimechanika na zingine zimepotea.
Mkumbuke biashara inayofanyika humo ndani bila export hiyo si biashara bali ni service. Hii service itaenda kwa pyramid scheme na mwisho kuanguka.
Magufuli na serikali yake kununua ndege is the right approach.
Hata mradi mkubwa wa umeme ukifanywa bila mipango unakuwa bure tu.Mkuu uko vizuri. Idea yako iko sawa. Lakin kwenye kuchagua mradi gan mkubwa unaweza kuleta mult plier effect ni tatizo kwako. Unajua ukiangalia kwa mapana, mtanzania anahitaji kwanza kabisa umeme. Umeme ni kitu cha kwanza kabisa. Ni muhimu tukawa na umeme kila kona ya nchi ili kuwezesha shughuli ndogo ndogo za kiuchumi kwa kila mtanzania ikiwemo kilimo cha kisasa. Kwa maana hiyo mradi wa stigler gorge ni muhim sana. Unahitajika sana. Pamoja na mradi wa umeme vijijin - rea. Nategemea watanzania wapige kelele utekelezaji wa miradi hii uende kwa kasi sana.
Lakin watanzania hawa wanahitaji masoko ya bidhaa zako. Masoko ya mazao na kazi za mikono. Masoko ya vivutio vya utalii. Kwa maana hiyo miradi yoyote yenye kuleta au ku saidia hayo mambo ni muhimu sana. Mfano ni mradi wa miundo mbinu. Bara baara, madaraja, viwanja vya ndege na ndege zenyewe. Ni muhimu sana. Miradi hiyo ni muhimu sana kwa maendeleo ya uchumi wetu. Mtanzania mwenye akili timamu ata suport miradi ya aina hii kwa nguvu zake zote.
Lakin pia tunahitaji miradi ya kubadilisha afya zetu na maisha yetu. Miradi kama ya elimu bure kwa watoto wetu, miradi ya maji vijijin, na miradi ya hospitali au dispensary kwa kila kata.
Ni muhimu kwa ajili ya kubadili maisha ya mtanzania.
Sielewi kwann mtanzania wa kawaida haelewi maana ya investment kubwa zinazofanyika nchin.
Lakin pia ni vizuri kutambua kuwa kila sehem, kila mahali pakiweza kufikika then inakuwa rahisi kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi kwa kila mwananchi wa kawaida.
Pia ni vizuri ikawa wazi kuwa labda awamu zijazo zinaweza kuwa na program ya kugawa hela au ajira kwa kila mtanzania. Lakin kwa sasa tunaomba haya niliyoyataja yafanyike kwa faida ya kila raia wa tanzania.
Hayo ni maamuzi ya mtu mmoja wala sio shirikishi. Ni lini tuliamua kama taifa kujenga uwanja mkubwa wa ndege Chato, kujenga bwawa Rufiji nk. Dikteta amepora madaraka ya wananchi kupitia bunge sasa yeye ni bunge, mahakama nk.
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
😂😂😂😂 bora tungeiimarisha sekta binafsi, governments are all over the world catastrophic in doing business, history is a great teacher and soon we will see the impact of our decision. Kupanga ni kuchagua kweli ila tupange kwa uangalifu. Maendeleo ya vitu bila watu sio sustainableKupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
Hizo ndege zina export nini?
Mkuu kwani hujui maana ya export? Export siyo lazima upeleke mahindi na maharage ama kahawa. Ndege ina export services. Inapimwa je export ni pesa ya kigeni imeingia kutoka nje na kuwa ndani ya mzurunguruko wa pesa ndani. Mfano Mtalii kaja hapo karuka kutoka Dar hadi Musoma kwa air Tanzania maana yake amelipa dola ambazo hazikuwepo. Ama ndege imeenda India ama London maana yake wasafiri wahindi wameleta dola ndani kwa kulipa nauli. Hiyo ndo export.Mkuu je sisi tunafanya export gani kubwa kwa kipindi hiki?
Ndege na Mbuga kipi kinaweza kutupatia fedha nyingi za kigeni? Ikiwa tuna import kuliko ku export hilo pato la fedha za kigeni zitakazoletwa na midege litakuwa na tija?
Mambo ni mengi muda ni mchache...