How I met (and lost) Nyani Ngabu

Status
Not open for further replies.
Eeeh Mola wangu nisaidie nisizae na mtu kama wewe
I wouldn't put it that way!

Moderators, sikuandika hivyo!

Ni bora ufute post yangu au ufute jina langu na kulifungia moja kwa moja kuliko ku edit kitu nilichoandika na kukipa maana nyingine.

So much for that cheesy "Where we dare to talk openly" thing.
 
kuna somo liliitwa kemia ukiwa shuleni? Kuna kemia ya watu siku hizi baba. Chemical reaction babaa, usiombe ikakukuta. Bora utandikwe shock ya high tension, noumerre!
 
kuna somo liliitwa kemia ukiwa shuleni?
lilikuwepo somo la kemia lakini sikuliingia ndani kwa saaana, kidogo tu: Collision Theory of chemical kinetics inasema huwezi kuwa na chemistry kama vitu husika havijafanya physical contact of the right orientation, lugha ya ma cowboy ni it takes two to tangle.

hapa hapakuwa hata na eye contact, let alone conversation, mwingine alikuwa anaangalia chini kwenye simu, mwingine kawaka, kaanza kujisogelesha, kisa, kasikia marashi, na kaona misuli, na kaona kidevu kimenyolewa! Utawakia wangapi wa jinsi hiyo mjini hapa? Chemistry gani hiyo upande mmoja tu ndio umefikia kilele cha excited state mwingine hata haujui unawakiwa? Mwishowe uta react to dead bodies!

pepo la kusambaza maradhi la ku lose control kwa misuli na marashi lishindwe na lilegee!
 
Haya kaka, umesikika.
 
kuna somo liliitwa kemia ukiwa shuleni? Kuna kemia ya watu siku hizi baba. Chemical reaction babaa, usiombe ikakukuta. Bora utandikwe shock ya high tension, noumerre!
King why do you even bother justifying? tumesha fikia conclusion kua we are different
Mi sioni aibu kusema look, smell, talk, attitude etc vina-excite curiosity yangu
Hasa a killer look kama ya NN. Ikiwa yeye anaona it is repugnant ni sawa tu.
I am happy we are different coz I wouldn't want to be like anyway.
 
Unauliza wangapi kama NN? Hakunagaaaaa!
Halafu pamoja na kua hata mimi sikuingilia somo la kemia kwa sana,
Najua hiyo contact kati ya substances sio lazima solid or liquid particles
Mfano mdogo ni feromones ambazo zinatumika katika kutengeneza marashi
Halafu nani alikwambia nililose control, au nilifikia kilele cha exitment?
Mtu nilipanga strategy hadi nikaalikwa juice MaryBrown utasema I was not in control?
Kaka umependa story yangu, na unataka kuikoleza ifanane na unavyo taka wewe!
 


Usikonde Mwali labda jamaa alikuwa anakulia timing kawaka kuona umempa mgongo, na pengine huja notice hata existence yake.

Kula ile kitu roho inapenda bwaana!
 

we nae hebu usimwaribie Nyani Ngabu, ulitaka upendwe wewe?
 
Usikonde Mwali labda jamaa alikuwa anakulia timing kawaka kuona umempa mgongo, na pengine huja notice hata existence yake.

Kula ile kitu roho inapenda bwaana!
asante kwa kunijibia. Hasira za kukosa mbaya sana.
Mwali im out of here. Hongera kwa kung'oa jabali (sijawahi ona mtu amemfungukia NN. Kama siku Paw aki-rip, be assured im coming to compete with u. A nice yummy scented man ina a masculine way is irresistible, i should say)
 
Last edited by a moderator:
kuna somo liliitwa kemia ukiwa shuleni? Kuna kemia ya watu siku hizi baba. Chemical reaction babaa, usiombe ikakukuta. Bora utandikwe shock ya high tension, noumerre!

I do agree with Bu'yaka !!
 
Last edited by a moderator:
yaani siku yatima akipewa mkate mtaa unazizima. Muacheni NN wa watu jamani, it is his field day, kha!
Simwamini sana huyu mmbeba mabox, kingereza kingi cha utapeli tapeli tu, nasubili conformation kutoka kwa Smile kama alimpa BB yake ndio niwe msimamo tofauti na huu.
 
Last edited by a moderator:
They were attracted to each other

Ila hawakuwa wanajua
Walikuwa wanabishana hata over a fly, na kila mmoja anataka ashinde

Walikuja tambua hilo baadae sana

So watch out this movie
Ha ha ha ha ha, Kumbe? Hizo sinema za kihindi bwana. Kaka yetu Bu'yaka mkorofi sana, mi simwezi.
Huko nyuma alianza ku-complicate maneno kuchanga vya cosmos na universe ndani yake,
Later akaja kusema vya fusion and contacts sijui nini, that "savant syndrome" ain't appealing to me.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…