How GOD is smart

Nahitaji mafundisho zaidi kutoka kwako ndugu, ntapataje?
 
Ahsante sana Mungu alimuumba Adam wawili 2, ili jina LA Eva alipewa na Adam na sio Mungu
 
asa kwanin mungu na shetani wasielewane.? yaan wamalize tofauti zao .mungu hua anasamehe kwa asimsamehe xhetani.? alaf makosa aliyafanya adam na eva 'c.c yanatuhusu nin.?
 
Mi huwa najiuliza kama Mungu aliwapa wanadamu uwezo wa kufanya maamuzi either yeye mungu au shetan

Sasa kwa nini awa adhibu amabao hawato mchagua yeye.. Na kumtukuza yeye...


Kama mtu umempa choice mbili kachagua yake kwa nni usimwache.. Na choice yake jaman...!??

Walio mchagua shetan awache wale bata na shida zao.. Walio mchagua yeye ale bata nao

Na sio kuwa tupa kwenye ziwa liwakalo moto.... Amabo hawaja mchagua... Unless...hukana kitu ka hicho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko sahihi kabisa,anaekupinga hajui lolote au anachuki binafsi...
Sent using Jamii Forums mobile app
 

wewe umetoa wapi elimu hii?
 
Kwa nini aliuumba huo mti hali akijua Adam na Eve, assuming they were real, wangeula?
 
Kwa hiyo walimshinda akili na uwezo mpaka akaamua kwa hasira (mungu wa upendo usiopimika) kuwauwa kwa maji?
 
ningependa kujua zaidi, iv kwann mungu alituletea shetan, ambae ni kiumbe aliewazingua kuishi nae pahapa pamoja huko mbinguni hadi kufkia hatua akaona hawezi kukaa nae sehem moja hivyo akamtimua.. lkn akaamua kumleta dunian tena kwa madai kuwa cye tumshinde huyo muovu.. iv tutamshinda vp wakati yy mwenyewe alimshindwa? Na hapo hapo ikumbekwe sisi hatuna nguvu zaidi ya kumshinda huyo muovu maana inasemekana nguvu zake zote wala hakunyang'anywa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…