sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,992
A na B ungeipa majibu ni sawa tuAliyeleta hizo habari wapi?Hapa hapa kwenye huu Uzi au Sehemu nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi BINAFSI nimegusia swala la kuumbwa kwa Adam wakati ulipotaka kujua Ni mwaka gani matukio ya roho kuwekwa ndani ya mwili wa Adamu yalitokea.A na B ungeipa majibu ni sawa tu
zipi embu zifafanue
Uko vizuri, karibu sanamaada nzuri na mimi kukikazia kazia kidogo ni hivi
1.Asili ya Mungu ni nini? Asili (Nature) ya Mungu ni Roho (YOHANA 4:24).Sasa kama Mungu asili yake ni Roho na kuna roho aina mbali mbali Roho ya mungu ni ya aina gani??,Roho ya Mungu ni TAKATIFU (HOLY).sasa kwa asili ya Mungu kuwa Roho inamaana anapatikana kila mahali,Duniani,chini ya dunia,angani,mbinguni na ulimwenguni koote kwa wakati mmoja!
2.Mungu Hakumtuma Yesu aje na mwili wa Binadamu,kilichofanyika nikwamba Mungu mwenyewe aliumba mwili then akaingia ndani yake,yaani Mungu alijificha kwenye ule mwili ambao ulizaliwa na Mariam,Mungu Mwenyewe alikuwa ndani ya YESU Kristo! angalia maajabu ya Mungu,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yesu,Muda huo huo alikuwa Mbinguni kwenye kiti cha enzi,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yohana mbatizaji kwakuwa yohana mbatizaji alizaliwa tayari amejaa roho mtakatifu(roho wa Mungu)!,hukusoma andiko lilikuwa linatabiri kuja kwa Yesu na likasema ataitwa Emmanuel maana yake MUNGU PAMOJA NASI?,(ISAYA 7:14),Na pia kuna andiko linasema Mungu alijidhihirisha katika mwili akakaa kwetu? (1Timotheo 3:16) maana yake Mungu alitengeneza mwili then akaingia ndani yake then akaja kwa binadamu,alijidhihirisha katika mwili,kama vile wewe unavyoweza kujidhihirisha kwenye mavazi mbalimbali,ukavaa suti,au jens,au ukajidhihirisha na nguo za cadet nk..zile ni nguo tu ila wewe uko ndani ya zile nguo,na kwakuwa Mungu alikuwa anakuja kukomboa wanadamu ilimbidi aje kwa sura ya kibinadamu aishi na binadamu,awaonyeshe binadamu namna ya kuishi bila kutenda dhambi sasa Mungu ni roho ilimpasa aende kwenye nyumba ya daudi atengeneze MWILI halafu auvae huo mwili azaliwe kwa njia ya mwanamke kama binadamu wengine then atufundishe namna ya kuishi maisha matakatifu na hatimaye kafara ifanyike msalabani kuukomboa ulimwengu woote
Kuna binti mdogo, umri kati ya miaka 4-5, aligongwa na gari na kufia hosipitalini baada ya siku tatu wakati akipatiwa matibabu. Chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva(anakesi ya kujibu, bado yupo lupango kwakukosa dhamana). Naomba kupata maoni yako juu ya kesi inayomkabili dereva, uoni ita make sense zaidi mungu ndio aende kujibu kesi(ikiwezekana awajibishwe kabisa maana kwa maelezo yako tunajua pasi na shaka yeye ndo kaua, na pia kwa maelezo yako, dereva hasingeweza kuzuia alilopanga mungu? (maelezo yako yalenge kesi inayomkabili dereva kama nilivyo uliza, tuachane kwanza na kifo ya mtoto maana kwa maelezo yako hapo juu, tunajua wazi mungu ndo mhusika mkuu na ndo mwenye majibu ya kwanini kamuua mtoto mdogo mwenye afya tele asiye na hati).Mungu alishagawa rizki kwa kila kiumbe hadi panya na kiroboto na alisha gawa uhai mpaka muda maalum alioamua yeye ufe. Haijalishi ni jambazi au padri au mchawi
maswali yako ni mazuri na nitayajibu kama ifuatavyo
1.Nature/Asili ya Mungu ni ROHO na ipo kila mahali
>Mungu hakujigawa vipande vipande,na wala Mungu huwa hajigawi yeye Alikuwepo mwanzo,Yupo sasa na Atakuwepo milele na milele,Mungu ni wa MILELE (EVALASTING) (ISAYA 40:28),
>Mungu yupo kila mahali (YEREMIA 23:23-33),Dunia na Mbingu hazimtoshi kukaa ndani yake (1 WAFALME 8:27,ZABURI 139:7-12)
2.swali la pili Kuhusu Mungu YESU
Naweza kuandika kitabu kizima kuhusu Uungu wa YESU kwakuwa ni maada pana sana na inahitaji uelewa wa hali ya juu wa ki biblia kwa mtu kuelewa hapa nitajitahidi kwa Ufupi,
YESU NI MUNGU SASA NA YESU HAKUWA MUNGU KILE KIPINDI YUPO DUNIANI ILA MUNGU ALIKAA NDANI YAKE!
Kumbuka tuna Mungu mmoja tu! narudia Tuna Mungu mmoja tu na ambaye hajagawanyika kwa namna yoyote ile,hana Baba wala hana Mama na hana Wasaidizi,Hakuumbwa,Alikuwepo,Yupo,na atakuwepo! MUNGU NI MMOJA Soma (Kumbukumbu 6:4,Marko 12:32,Wagalatia 3:20, nk.....)
Sasa kwa ufupi nianze kuelezea kwanini Yesu alikuja duniani ,chanzo cha Yesu kuja duniani ni Adam na hawa kutenda ile dhambi pale bustani ya eden Uhusiano wa mwanadamu na Mungu ukavurugika wanadamu woote tukawa tunarithi ile dhambi ya ADAM NA HAWA (Warumi 5:12-15),kutokana na ukaidi wa Adam na Hawa dhambi iliingia kwa vizazi vyoote vya Wanadamu sasa ili kurejesha uhusiano na Mungu,Mungu mwenyewe aliweka Sheria,kanuni na taratibu kwa wanadamu wa kufanya na kuzifuata ili wawe safi machoni pake(wajitakase) utaratibu huo ilikuwa ni Kutoa kafara ya mnyama (MWANAKONDOO AU NG'OMBE nk ALIYENONA),hii iliitwa KAFARA YA MNYAMA ndio hii ilianza kifanywa na ABELna KAINI ndugu yake mmoja kafara yake ilikubaliwa na mwingine ilikataliwa sababu alitoa wanyama ambao hawakunona nadhani story unaijua vizuri ipo (MWANZO 4:4),sasa hizi kafara za mnyama ziliendelea kufanyika kwenye Agano loote la kale kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka Malaki utakutana na kafara za aina hii ambazo zilikuwa ni kama ishara(SYMBOLISM) tu ya kurejesha mahusiano kati ya Mungu na wanadamu na Yule mnyama anayetolewa kafara ndio alikuwa anawakilisha kubeba dhambi za hao wanadamu waliomtolea kafara kupitia damu yake,na ndiomaana kafara zoote mnyama alikuwa anachinjwa au anachomwa moto ili damu itoke ifanye upatanisho kati ya wanadamu na Mungu
Sasa kwa miaka Mingi Mungu alianza kuwaambia wanadamu kupitia manabii na mitume wake kuwa kunakafara Halisi atakuja kuifanya Duniani,MUNGU ATAFANYA KITU KIPYA DUNIANI! (ISAYA 43:19,ISAYA 11:1,ISAYA 7:14,ISAYA 9:6,HESABU 24:17) ,sasa hikikitu kipya ni Kuzaliwa kwa Yesu Kristo na hadi kufa kwake,haya tukija agano Jipya sasa tunaona unabii unatimizwa Mwanamke Bikira anapata Mimba kwa njia ya uweza wa Roho mtakatifu anazaa mtoto wa Kiume jina anaitwa YESU!
> Sasa nirudi kwenye swali lako Je Huyu mtoto wa kiume aliyezaliwa akaitwa Yesu alikuwa ni Mungu??! Jibu ni HAPANA hakuwa Mungu,ukisema yule mwana wa YUSUFU NA MARIAMU aliyeitwa YESU alikuwa ni Mungu utakuwa unapingana na maandiko inamaana kuna Miungu zaidi ya wawili! na wakati biblia yoote inasema Mungu ni mmoja na hajagawanyika!.
> Na pia ukisema Yesu mwana wa Yusufu alikuwa ni Mungu unakosea Sababu utakuwa unaweka Umri Juu ya Mungu wakati Mungu hana umri nimeandika juu hapo kuwa Mungu ni wamilele aliumba vyoote pamoja na MUDA!,Yesu alizaliwa na mwanadamu ila Mungu hakuzaliwa alikuwepo kabla ya mwanadamu na aliumba mwanadamu,Yesu aliitwa Mtume/mwalimu na Nabii (WAEBRANIA 3:1) lakini MUNGU sio mtume wala sio nabii kwasababu hatumwi na kitu chochote lakini nabii na mitume ni watumwa wa Mungu!
>Sasa Yesu ni nani kile kipindi yupo Duniani? Aliitwa MWANA WA MUNGU,kwanini aliitwa mwana wa Mungu sababu kuja kwake hapa duniani ni Mungu mwenyewe alimfanya,kumbuka bikira mariamu alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu na si kwa kukutana na mmewe YUSUFU! ndiomaana aliitwa Mwana wa MUNGU,mtu mwingine aliitwa mwana wa MUNGU ni ADAMU sababu ADAMU hakuzaliwa na binadamu naye kuja kwake hapa duniani aliumbwa na MUNGU moja kwa Moja (Luka 3:38) ndiomaana kuna mitume walisema na kuandika kuwa YESU alikuwa ADAMU WA PILI (1Wakolinto 15:22)
>Biblia inasema wazi kuwa kabla ya Mungu kuamua kuja duniani kupitia Yesu Kristo ili kufanya upatanisho baina yake na wanadamu alitafuta wa kumtuma ,MBINGUNI,DUNIANI,ULIMWENGUNI NA CHINI YA DUNIANI hakuona anayefaa kwenda kuwakomboa wanadamu (UFUNUO 5:3) hapa inakupa mwanga kuwa kumbe alishuka mwenyewe kuja duniani kufanya upatanisho kati yake mwenyewe na wanadamu sasa alishuka kivipi????, Aliingia kwenye ukoo wa Daudi kama ilivyotabiriwa na Manabii (ISAYA 11:1-2,ZAKARIA 3:8,6:12) then akatengeneza mwili ambao ukazaliwa na mwanamke bikira Halafu Mungu akajificha ndani ya huo mwili (2 Wakorinto 5:17-21),ndiomaana Yesu kazi zoote alizokuwa akifanya hapa Duniani alikuwa anampoint Mungu aliyekuwa ndani yake,aliweza kufufua wafu,kutembea juu ya maji,kuponya wagonjwa na vilema,kulisha maelfu ya watu,vyoote hivyo alivifanya kama chombo tu lakini mfanyaji mkubwa alikuwa ndani yake (YOHANA 5:17-27,Yohana 14:10),Yesu nje alikuwa MTU kwa asilimia 100 halafu ndani alikuwa MUNGU kwa asilimia 100!
>Sasa Muda wa kufanyika kafara ukafika pale masalabani (Hapa ndipo pana akili sana),Mungu mwenyewe alitoa kafara pale msalabani ili kujipatanisha yeye na Wanadamu,wayahudi walipomsulubisha Yesu pale msalabani kuna vitu muhimusana vilifanyika kwenye maisha ya wanadamu Cha kwanza Yesu alisema imekwisha akaisalimisha Roho yake(Yohana 19:30),kimsingi Mungu aliyekuwa ndani ya Yesu akatoka sasa kwenda wapi?,kwenda kuhubiria roho zilizokuwa mateka kuanzia kizazi cha Adamu hadi wakati ule wa Yesu woote walihubiriwa injili kusudi siku ya mwisho woote tuhukumiwe kwa hukumu moja!, then cha pili wayahudi walipokuja mara ya pili kuwavunja Miguu wale watu watatu akiwamo Yesu pale msalabani yeye Yesu hakuvunjwa mahalipopote kumbuka hukomwanzo nimesema mnyama aliyekuwa akitolewa kafara hakutakiwa awe kilema wala mwenye mawaa,ndiomaana Yesu hakufunjwa mguu wowote pale msalabani ili kafara yake iwe parfect! (Yohana 19:32-34) ila wale askari walimchoma ubavuni mwake then ikatoka DAMU na MAJI!!!! Ndio hii kafara ilifanyika pale msalabani na wanadamu tulikombolewa kwa damu ya Yesu kristo na Maji,(nitakufafanulia kwanini ilitoka Damu na Maji kwenye topic zijazo)
uliza tu nitajitahidi kukujibu ka kadri niwezavyoDah unajitahidivsana kuelezea kuna madini nimeyapata japo tu maswali huwa hayaachi kuibuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah unajitahidivsana kuelezea kuna madini nimeyapata japo tu maswali huwa hayaachi kuibuka

ubarikiwe
Lete andiko acha porojoMalaika waliuliza kwa mungu kwamba mbona unamuweka kiumbe mwengine ambae atakuja kukuasi/kufanya ufisadi/kula hilo tunda/ e.t.c
Mungu akawaambia Malaika kuwa yeye anayajua wasiyo yajua.
Kujua Kiswahili ndio Kipimo cha akili?Kujua kingereza sio kipimo cha akili kama unavyotaka kutuaminisha
Kwahiyo Mungu ni mwanaume!!?? Hizi dini zenu takataka tupu!Neno "Mungu Baba" ni cheo (TITLE)" kinachotumika kuelezea shughuli za Mungu,kwanini aitwe Baba na sio Mama,Anaitwa Baba kwanza kwasababu Yeye ndio muumba wa vitu vyoote vinavyoonekana na visivyoonekana (1 wakolinto 8:6),Pili anaitwa Baba kwasababu hapo mwanzo aliumba mtu kwa mfano wake na aliumba Mwanaume kwanza na sio mwanamke,sasa kama aliumba mwanaume kwa mfano wake hawezi kuitwa Mama inamaana yeye ni Baba.
kwa kuwa Mungu ni roho,basi roho haiwezi kuwa na jinsia isipokuwa Roho inaweza kuwa na vyeo mbalimbali kulingana na kazi zake,Anaitwa Mungu baba sio kwasababu ana jinsia ya kiume hapana neno Baba limetumika kuelezea moja ya sifa za kazi zake,Anaitwa Mfalme wa Wafalme na sio Malkia wa Mamalkia sababu yeye ndio mtawala wa kila kitu,Anaitwa Bwana wa Mabwana sio kwakuwa ana mke ndiomaana akaitwa bwana hapana,ni neno la sifa linaloonyesha sehemu tu ya ukuu wake
Umesema kwamba Mubgu havunji ahadi zake alizojiwekea sa kwanini alivyowaona hao binadamu wa kipinei cha noha wameamua kuchagua mfumo wao wa maisha yeye akataka kuwaingilia na kuwalazimisha kufata mfumo wake yeye na wakati uko juu umesema havunjagi ahadi zake na ahadi moja wapo ni kutomuingilia binadamu kwenye m:umo wake wa maisha ambao atachagua!1.Unadhani Ni kwa Nini aliileta hiyo gharika?
2.Je unaujua uovu wa wanadamu kipindi hicho ulikuwa wa kiwango gani?
3.Je unajua MUNGU MWENYEZI aliwapa mda gani haoWatu kujirudi kabla ya kuleta hiyo adhabu?
MUNGU MWENYEZI HAKUPI ADHABU BILA KUKUPA ONYO NA MDA WA KUJIRUDI NA KUTUBU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupenda buree hadi like nikakupa. Sina hata la kuongeza...Why alaumiwe Adamu wakati alieumba vitu hivyo ni Mungu mwenyewe? Na hata kabla ya kuviumba alijua fika mwisho vitaleta shida na akaandaa na Jehanam kabisa.
Yaani hii ni sawa na unampa mtoto mtihani unaojua fika ataushindwa ili mwisho wa siku umuadhibu.
hapo kwenyewekundu hiyo ahadi imeandikwa wapi kwenye Biblia???Umesema kwamba Mubgu havunji ahadi zake alizojiwekea sa kwanini alivyowaona hao binadamu wa kipinei cha noha wameamua kuchagua mfumo wao wa maisha yeye akataka kuwaingilia na kuwalazimisha kufata mfumo wake yeye na wakati uko juu umesema havunjagi ahadi zake na ahadi moja wapo ni kutomuingilia binadamu kwenye m:umo wake wa maisha ambao atachagua!
Sent using Jamii Forums mobile app