How GOD is smart

Uko vizuri, karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu alishagawa rizki kwa kila kiumbe hadi panya na kiroboto na alisha gawa uhai mpaka muda maalum alioamua yeye ufe. Haijalishi ni jambazi au padri au mchawi
Kuna binti mdogo, umri kati ya miaka 4-5, aligongwa na gari na kufia hosipitalini baada ya siku tatu wakati akipatiwa matibabu. Chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva(anakesi ya kujibu, bado yupo lupango kwakukosa dhamana). Naomba kupata maoni yako juu ya kesi inayomkabili dereva, uoni ita make sense zaidi mungu ndio aende kujibu kesi(ikiwezekana awajibishwe kabisa maana kwa maelezo yako tunajua pasi na shaka yeye ndo kaua, na pia kwa maelezo yako, dereva hasingeweza kuzuia alilopanga mungu? (maelezo yako yalenge kesi inayomkabili dereva kama nilivyo uliza, tuachane kwanza na kifo ya mtoto maana kwa maelezo yako hapo juu, tunajua wazi mungu ndo mhusika mkuu na ndo mwenye majibu ya kwanini kamuua mtoto mdogo mwenye afya tele asiye na hati).
 
Iv unaweza Ku research "kifo" participatory ?
 
Dah unajitahidivsana kuelezea kuna madini nimeyapata japo tu maswali huwa hayaachi kuibuka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwepo vilee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Mungu ni mwanaume!!?? Hizi dini zenu takataka tupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Mungu ni mwanaume!!?? Hizi dini zenu takataka tupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kuwa Mungu ni roho,basi roho haiwezi kuwa na jinsia isipokuwa Roho inaweza kuwa na vyeo mbalimbali kulingana na kazi zake,Anaitwa Mungu baba sio kwasababu ana jinsia ya kiume hapana neno Baba limetumika kuelezea moja ya sifa za kazi zake,Anaitwa Mfalme wa Wafalme na sio Malkia wa Mamalkia sababu yeye ndio mtawala wa kila kitu,Anaitwa Bwana wa Mabwana sio kwakuwa ana mke ndiomaana akaitwa bwana hapana,ni neno la sifa linaloonyesha sehemu tu ya ukuu wake
 
Umesema kwamba Mubgu havunji ahadi zake alizojiwekea sa kwanini alivyowaona hao binadamu wa kipinei cha noha wameamua kuchagua mfumo wao wa maisha yeye akataka kuwaingilia na kuwalazimisha kufata mfumo wake yeye na wakati uko juu umesema havunjagi ahadi zake na ahadi moja wapo ni kutomuingilia binadamu kwenye m:umo wake wa maisha ambao atachagua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda buree hadi like nikakupa. Sina hata la kuongeza...
 
hapo kwenyewekundu hiyo ahadi imeandikwa wapi kwenye Biblia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…