How GOD is smart

Mbona easy tu

VYUONI KUNA RATIBA ZA VIPINDI NA MUDA WA KUINGIA DARASANI
SASA WEWE UENDE AU USIEDDE UTAJIJUA WEWE MWENYEWE MAADAMU RATIBA UNAIJUA VIZURI TUTAKUTANA KWENYE MTIHANI
HAKUNA MWALIMU ANAYEKULAZIMISHA KUINGIA DARASANI

NA HIVYO NDIVYO MUNGU ANAVYOTUONGOZA HAKULAZIMISHI KUTII SHERIA ZAKE ILA TUTAKUTANA SIKU YA MWISHO
 
Shukrani Sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.
Kuna baadhi ya member Ni wagumu kuelewa hata kwa hu mfano rahisi watakuja na Maswali kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvua yake huwanyeshea wote,,wema na waovu
Una uhakika watiifu wote hawajafanikiwa na hawana pesa??
Ukweli Ni kwamba wote hufanikiwa bila kujali Ana amini au haamini
Ni suala la muda tu
Usimuite Mungu mnafiki,,,unakosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yupo huyo mungu bas sio muweza wa yote bali mshindwa wa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni baada ya kukuumba kutoka ktk maji maji ya baba yaliyoungana na yai la mama, akakulinda ktk tumbo la mama yako Kwa miezi 9, ukazaliwa, akakulinda tena na magonjwa na mabalaa mpaka umefikia hapo ambapo umepewa nguvu kidogo na uwezo wa kuongea na kuandika, sasa Mungu yule yule aliyesababisha process nzima ya uumbaji wako Leo hii unamtukana, ofcoz amekupromise kua utarudi tu kwake na mtakwenda kudiscuss vizuri kuhusu hili.
 
Kama mm kpata nguvu ya kuandika {coment} hapa jf n ushaidi kuwa mungu yupo.Basi walioko mahospitalini n uthibitisho usio na shaka kuwa mungu mwenye upendo wote, haki sawa,asiye na upendeleo wowote hayupo.
mungu angelikuwepo bidamam wote tungelikuwa wazima wa afya tele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze nguvu nyingi kubishana na walioamua kwa dhati kupotoshana.
Zaburi 1: .....

"........Wala kuketi barazani mwa wenye MIZAHA......"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mungu akubariki sana kwa kipaji alichokupatia unachokitumia hapa kuwajibu Watu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akuidishie siku za kuishi ili upate kutangaza habari zake vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMINA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nayo hayo mawakala ya shetani, hapa kwenye keyboards yanapayuka kama hayana ufahamu wowo kuhusu Mungu lkn yakitikiswa kidogo tu kwa ajali yataita "Mungu nisaidie" mpaka mtaa wa 8 zitasikika sauti zao.

Mengine yakishaanza kupumulia mipira hospitalini utayakuta kila sekunde yanamtaja Mungu nakati kabla ya hapo yalikuwa mabishi kuhusu Mungu kama mawe ya baharini yanavyopigwa na mawimbi lkn hayatakati kamwe
Aiseeee

Kuna watu bado hawaamini Kama Mungu yupo???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…