Housegirl katembea na mwanangu

Mnunulie dvd ya true love ya ken aka ramsey wa nigeria itamsaidia kama si wote
 
1. LABDA ULIKUWA UNAFANYA KOSA WANALALA CHUMBA KIMOJA.
2. SIKU ZOTE AJILI HG AMBAE BADO KIGOLI SIO UNAAJILI MAMA MZIMA ULITEGEMEA NINI?
3. MRUDISHE HG KWAO LEO,....MWANAO KAMA ANASOMA MTAFUTIE SHULE YA BORDING...ha ha ha ya boys tu asije AKABAKA visichana.
4. MPIME MWANAO UJUE KAMA HAJAATHIRIKA......FANYA HIVYO BAADA YA KUMFUKUZA HG.
 
Be blessed Brethren, nawashakuruni sana, ushauri wa kila mtu sijaupuuzia ila nimeutafakari kwa makini sana, Nguli asante sana
 
ARGHHHHH...AM ON THE SIDE OF HG...hivi nyie wanajamii wenzangu ni mara ngapi mmewaruhusu hg wenu kutoka na na vibwana/viboyfriends vyao hata vikawapunguzie muhemko wa mwili?....

Hg naye ni binadamu kama wewe na ana-hamu ya kufanya mapenzi kama wewe...tena kuliko wewe maana anakula vizuri anashiba na hayupo bize ki-saikolojia kama nyie mnaofokewa na maboss wenu maofisini mkirudi mpaka muweke movie za ngono ndio stimu za mapenzi ziwajie...

sasa basi kwa misingi hii niliyoieleza awali...ni vizuri HG wakapewa uhuru wa kuwa na boyfriends na wafanye mapenzi kupunguza mihemko yao mikali...la sivyo ndio wataishia kuwabaka watoto wetu na kuwasagilia mbali vibinti vyetu...au hata kututega sie baba zao...NI MAONI YANGU TUU JAMANI
 
Mi naona inabidi tuangalie upya hii taasisi inayoitwa ndoa na mgawanyo wa majukumu. Ni sred inayojitegemea.
 
Mkuu pole na matatizo yalikupatwa, kwanza naomba utulie halafu rudi nyumbani kaa na wife muonyeshe mapendo ya dhati kwa mtoto wenu, maana tayaria amesha athirika kisaikologia wakati mnasuri sheria ifuate mkondo wake hata kama HG umeletewa na mamammkwe hiyo haijalishi cha kujalisha i mwanao ambaye ndio tegemeleo lake la kesho, huyo HG hata akipelekwa mwa mjumbe wa nyumba kumi hahikisha panaulinzi wa kutosha ili asiweze kukumbia theni kafungueni mashtaka police muhakikishe kesi inapelekwa mahakamani na apewe stahili yake ya kifungo maan kama sijakosea hiyo ni kesi yajinai kubaka ama udhalilishaji kwa mtoto, pili mfanyeni maombi kwa sana pia hahikisheni mtot wenu mna mpa ushauri nasaha kama nyie wazazi hamtaweza pasi mtafuteni mtu ambaye mmnamwamini ili muumshauri mwanenu ili arudie hali yake ya zamani.
Pls pls usiache kumpeleka police huyo HG ili apewe stahili yake ya ubakaji hapo ni ndani miaka 30 ama maisha na kitu kingine muangalie mwanenu kama ameambukizwa magonjwa ya zinaa halafu muumpime huyo HG nae kama anamagonjwa ya zinaa na VVU pia.
 
Jamani nimesoma yote, nahs kizunguzungu, Eli umeshachukua hatua? and that baby atakua amefanywa nn sasa? niliwah kusikia eti hg alikua anampeleka mtoto kwa mwanaume alafu analipwa mama kila akirudi mtoto ameogeshwa na amelala, na anakua mchovu muda wote, she was 6yrs siku mama amekuja kujua ni too late na hg alitoroka. mbaya yule mtoto sasa ni teen lakini ameshakua dada poa cjui kama hajaathirika!
 
ARGHHHHH...AM ON THE SIDE OF HG...hivi nyie wanajamii wenzangu ni mara ngapi mmewaruhusu hg wenu kutoka na na vibwana/viboyfriends vyao hata vikawapunguzie muhemko wa mwili?....

Hg naye ni binadamu kama wewe na ana-hamu ya kufanya mapenzi kama wewe...tena kuliko wewe maana anakula vizuri anashiba na hayupo bize ki-saikolojia kama nyie mnaofokewa na maboss wenu maofisini mkirudi mpaka muweke movie za ngono ndio stimu za mapenzi ziwajie...

sasa basi kwa misingi hii niliyoieleza awali...ni vizuri HG wakapewa uhuru wa kuwa na boyfriends na wafanye mapenzi kupunguza mihemko yao mikali...la sivyo ndio wataishia kuwabaka watoto wetu na kuwasagilia mbali vibinti vyetu...au hata kututega sie baba zao...NI

MAONI YANGU TUU JAMANI

Nimerudi, kaka, mbona sijawahi kumkataza hata siku moja, nilichokataa mimi ni yeye kumuacha mwnanangu na kwenda kufanya mambo yake kama hayo au kuniletea wanaume ndani ya nyumba, basi.,...ok, nimeyasoma na kuyapokea mawazo yako, asante
 
Jamani nimesoma yote, nahs kizunguzungu, Eli umeshachukua hatua? and that baby atakua amefanywa nn sasa? niliwah kusikia eti hg alikua anampeleka mtoto kwa mwanaume alafu analipwa mama kila akirudi mtoto ameogeshwa na amelala, na anakua mchovu muda wote, she was 6yrs siku mama amekuja kujua ni too late na hg alitoroka. mbaya yule mtoto sasa ni teen lakini ameshakua dada poa cjui kama hajaathirika!

.....What??? kichefuchefu.....arrrrggggg
 
Mom, nalifanyia kazi kwa karibu mno kuliko maelezo yeyote, nimecheki na broo wangu ambaye ni mtaalam wa haya mambo pale chuo kikuu health center amesema nimchukue mtoto niende nae kesho.
 
Ni kweli na Waifu ndo kawasha moto tayari huko home, nakubali kuwa nilifanya kosa kwani mwanzoni sikumwamini Waifu, nilimwona kama vile anamsoingizia lakini kila siku mtoto anazidi kuwa karibu na huyu binti ( Limama jitu zima)kuogeshwa aogeshwe nae, wale wote, dukanoi wote, kulala wote, kila kitu wote.... Kweli yamenikuta, naenda kumuondoa kwa amani tu, sina haja ya kumfanya lolote....

...pheeeeeewwww, Pole sana.
ushauri wangu ni mu handle hii kitu with care. Muathirika mkubwa ni huyo 6yrs old!
Ukiihandle vibaya kesi hii, psychological impact ya huyo mwanao itakuja waathiri wengi sana ukubwani.
Hata ukimpeleka polisi haitasaidia kitu, sana sana atachapwa mikwaju na kuachiwa huru...kasheshe ni huyo mwanao bana ambaye tayari alianza ku "fall in love" , sijui unanielewa?

ndio maana watu huwa wanaua bila kukusudia ...hivi hawa ma H/G wote akili zao zinafanana miaka 6 ?
Huyu nadhani alikutegeshea vimtego wewe havikunasa kaamia kwa mtoto
Pole sana Elli.....
 
ndio maana watu huwa wanaua bila kukusudia ...hivi hawa ma H/G wote akili zao zinafanana miaka 6 ?
Huyu nadhani alikutegeshea vimtego wewe havikunasa kaamia kwa mtoto
Pole sana Elli.....

ha ha ha,...usimtie 'shetani' bana!
 
ARGHHHHH...AM ON THE SIDE OF HG...hivi nyie wanajamii wenzangu ni mara ngapi mmewaruhusu hg wenu kutoka na na vibwana/viboyfriends vyao hata vikawapunguzie muhemko wa mwili?....

Hg naye ni binadamu kama wewe na ana-hamu ya kufanya mapenzi kama wewe...tena kuliko wewe maana anakula vizuri anashiba na hayupo bize ki-saikolojia kama nyie mnaofokewa na maboss wenu maofisini mkirudi mpaka muweke movie za ngono ndio stimu za mapenzi ziwajie...

sasa basi kwa misingi hii niliyoieleza awali...ni vizuri HG wakapewa uhuru wa kuwa na boyfriends na wafanye mapenzi kupunguza mihemko yao mikali...la sivyo ndio wataishia kuwabaka watoto wetu na kuwasagilia mbali vibinti vyetu...au hata kututega sie baba zao...NI MAONI YANGU TUU JAMANI[/QUOTE]....Kuna ndugu yangu mmoja aliwahi kunishauri kuwa h/girl wetu tuwe tunamruhusu kila jumapili kwenda kutembea ili angalau huko barabarani vijana wamuone na yeye wampunguzie ganzi. Ilikuwa hata akichelewa kurudi mpaka saa 2 usiku hakuna kumuuliza alichelewa wapi tulikaa naye kwa miaka 3 mpaka mwenyewe akaomba kuondoka. Ni kweli mtu anakula tena top layer ukizingatia yuko engine room (jikoni), hakuna stress wala nini, hana wazo la bajeti ya mboga, unga, kitunguu wala sabuni wanajinenepea tu lazima watakuwa na hamu sana...akikosa ndio hapo anabeba vitoto vya kiume na vitoto vyenyewe vya siku hizi mh!
 
Aisee pole sana Elli pamoja na Nguli...mie huwa nakisoma mikasa mingine naishiwa nguvu,sijui yakinikuta itakuwaje...
 
Back
Top Bottom